anafaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. musicarlito

    Huyu anafaa kuwa mke/mme wako

    Msitofautiane sana...mfano elimu,ukwasi,elimu,mila na desturi,imani n.k Awe rafiki yako...mnaweza jadili mambo ya michezo,cinema au burudani mkafurahi mkiwa wawili tuu tena kwa mda mrefu na mkafurahi sana Awe mchamungu...huhitaji kumchunga au kumweleza mtu kila mara kuhusiana na jambo...
  2. B

    Mkuu wa Mkoa wako uliko anafaa kuwatumikia au awekwe kando?

    Mkuu wa Mkoa wako uliko sasa je anafaa kuendelea kushika wadhifa huo kuwahudumia wananchi? mimi Mkuu wangu wa Mkoa Chalamila naona ni vema akae pembeni sijui wewe huko uliko mkuu wako wa mkoa anawajibika?
  3. F

    Tundu Lissu anafaa sana kuwa mbunge au hata rais lakini sio kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA

    Lissu anaweza kuwa mbunge mzuri sana kwenye jimbo lolote Tanzania lakini sio kuwa mwenyekiti wa CDM. Kuongoza chama cha upinzani tena hapa Tanzania ni ujuzi mwigine kabisa. CDM inataka kiongozi mwenye hekima na busara kubwa. Kiongozi mwenye diplomacy ya hali ya juu. Lissu bado hajafikia huko.
  4. Miss Natafuta

    John Heche ndo anafaa kuwa mwenyekiti CHADEMA

    Merry Christmas 🎄 Lissu big no. Ana mihemko.hataweza kudeal na mambo makubwa.itakuwa vurugu Mbowe nae big noo.miaka zaidi ya 20 jamani apumzike. John Heche.kwanza handsome, bonge la genius, ana point za maana All in all mama Samia forever
  5. D

    Biteko anafaa kuwa rais baasa ya Samia kuongoza nchi kwa takribani 40 years mana hatujawahi kuwa na rais aina hii.

    Hakina Samia ni rais na nunu nchi haijawahi kuwa na rais kama huyu tangu tupate uhuru. Rais mpole na msikivu Rais mpenda maendeleo tena kimya kimya bila kelele eti kishindo cha samia kama ilivyokuwa kwa jpm After 10 years to come unemployment rate iliyotengenezwa na jpm itakuwa imeisha na...
  6. Yericko Nyerere

    Ufafanuzi: Kwanini tuliona Lissu anafaa urais 2020 na sasa hafai Uenyekiti?

    Ipo hoja inaendelezwa kutoka kwenye Makala yangu ya juzi licha ya kuijibu vizuri katika makala ile ya kwanini Tundu Lissu hana sifa ya kuwa Mwenyekiti wa Chadema taifa, Wanajenga hoja ya kujirudia Kwamba Lissu chama kilionw anafaa kuwa Rais wa Jamhuri yenye Majeshi JWTZ, Usalama wa Taifa, TRA...
  7. M24 Headquarters-Kigali

    Dr Mollel anafaa kuwa Boss UNICEF HQ

    Mheshimiwa Msomi Dr Mollel, G (DDS)anafaa kuongoza taasisi ya umoja wa Mataifa kuhusu watoto (UNICEF). Kama Taifa tumpe support stahiki.
  8. Huihui2

    Dkt. Neema Rusibamayila Kimambo: Huyu ndiye anafaa kugombea nafasi iliyoachwa wazi na Dkt. Ndugulile

    Kwa sasa ni WHO Representative huko Malawi. Aliwahi kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Kinga Wizara ya Afya hadi 2016. Moja kati ya achievements zake kubwa ni kuiwezesha Tanzania kufikia Millenium Development Goal #4 inayohusu kupunguza vifo vya akinamama na watoto. Malengo ilikuwa yafikiwe mwaka...
  9. Eli Cohen

    Kocha gani anafaa kurithi mikoba ya Ten Hug pale Manchester United?

    Wana Man Utd, Xavi au Nagelsmann yupi anafaa kuwa kocha mpya wa Man Utd? Kipara ngoto kashaondoka. Yupi anayefaa? Pia soma > Erik Ten Hag atimuliwa Manchester United baada ya kipigo dhidi ya West Ham United
  10. Nehemia Kilave

    Pre GE2025 Nadhani kwa 2025 John Mnyika anafaa zaidi kugombea Urais kuliko kina Lissu na Mbowe apewe nafasi

    Mnyika kajifunza mengi kwa Lissu ,Mbowe , Slaa na wengine hivyo ashakomaa na nadhani 2025 atatufaa zaidi . 1.Mjasiri 2.Mtu mwenye busara 3.Mtu mwenye uelewa mkubwa na asie kurupuka . Upinzani mtuandalie mtu huyu
  11. kimsboy

    Lissu angekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA ingekuwa vizuri, Mbowe akae pembeni

    Binafsi naona Mbowe angeachia kijiti cha uenyekiti wa Chama ampe Lissu au Heche John Nasema haya kwasababu Chadema kwa sasa na upinzani unahitaji mtu mwenye maamuzi magumu, misimamo mikali na ambaye hajapoa sana Simchukii Mbowe hata kidogo wala siangalii ukabila wala dini, ingekua natizama...
  12. and 300

    Prof Mkumbo anafaa Wizara ya Elimu, Mkenda peleka Uwekezaji

    Kama kweli tunataka mabadiliko katika sekta ya elimu Profesa Kitila Mkumbo apelekwe ELIMU, mwamba kafanya tafiti haswa kwenye ELIMU. Nimechungulia profile yake huko GOOGLE SCHOLAR unaweza kulia namna ambavyo hatumtumii kwenye sekta husika...
  13. Street brain

    Ukimtongoza anaenda kwenye kundi lao anauliza “Jamani eeee, huyu anafaa tutoke nae

    Sishangai kwanini ukiachana na mwanamke, wenzake wote hawataki kukusikia. Mahusiano ya wanawake wengi ni suala la kikundi kama vikoba. Ukimtongoza anaenda kwenye kundi lao anauliza “Jamani eeee, huyu anafaa tutoke nae?”… Sasa kauli nitayoisema next ni ita-make sense ukiliwaza vizuri, “Ni...
  14. Kinjekitile Jr

    KWENU CHADEMA; Yule Mwenyekiti wa Wafanyabiashara pale SIMU2000 anafaa kuwa M/KITI badala ya Pambalu

    Wakuu kwema!??? Ndani ya week hii kumeibuka jambo moja la kupigiwa mfano na Watanzania wote wanaopenda mabadiliko. Kuna kijana Machachari sana anaitwa anaitwa Mussa Ndile(Kama sijakosea) nimepitia background yake jamaa ana profile kubwa kidogo sio kitoto ,yeye ndie master mind wa ule mgomo...
  15. M

    Makonda ni karata muhimu CCM kwa jimbo la Arusha mjini 2025. Anafaa kupewa jimbo.

    Katika majimbo yanayoleta changamoto kubwa kwa CCM nyakati za uchaguzi ni jimbo la Arusha mjini. Kibaya zaidi changamoto kubwa huwa ni ndani ya CCM kwenyewe wakati wa kupata mgombea ubunge kupitia CCM. Kwa utafiti wangu binafsi nadhani CCM Arusha ndo imejaa mamluki wengi sana wa CHADEMA kuliko...
  16. L

    Hayati Magufuli alimkataa Mangungu mwaka 2020 na akakata jina lake licha ya kushinda kura za maoni, sisi Simba ndio tukamuona anafaa na sasa tunalia

    Kwa wasiofahamu, Murtaza Mangungu ni mmatumbi wa Kilwa Kaskazini, kwao ni Kipatimu kule kulikoanza vita ya Maji Maji, Mangungu amekuwa mbunge wa jimbo la Kilwa Kaskazini, baadae akaangushwa na mbunge wa Cuf ambaye ni mpwa wa marehemu Kingunge Ngombale Mwiru aitwae Vedasto Ngombale. Baadae...
  17. and 300

    Betty Mkwasa anafaa kuwa Mkurugenzi - Mawasiliano

    Mheshimiwa Ni mzoefu na anajua kazi ya uandishi vyema
  18. Dr Matola PhD

    Kwa mafanikio inayopata Simba Mangungu anafaa sana Simba, asibughuziwe. Tujihepushe na maadui wa Simba.

    Simba ndio timu pekee Tanzania mpaka sasa yenye mafanikio na vikombe kabatini. Sasa kelele za Mangungu na Try again zinatoka wapi? Ukisikia hatumtaki Mangungu na Try again basi ujuwe hao ni Yanga. Wana Simba tushikamane na viongozi wetu hawa ni lulu, jana Saido Mchezaji bora, Lakredi kipa...
  19. P

    Pre GE2025 Makonda kuteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa Arusha, ngome ya Chadema yaingiliwa

    Binafsi ningependa Paul Makonda apewe huu Mkoa wa Dar. Ila kwa kuwa Mwenyekiti wetu wa Chama ameona kimkakati Paul Makonda akaivunjilie mbali Chadema na kuizika kabisa, tunaunga mkono uteuzi huu. Hata kama hakuna upinzani wowote nchini. Wapinzani wote wamepoteana. Siasa za rais SSH siyo za nchi...
  20. Mowwo

    Tendo la Ndoa lifanyike mara ngapi kwa wiki kwa wanandoa/wapenzi?

    Kulingana na utafiti uliochapishwa kwenye jarida la labia ya kujamiiana unaonesha, wanandoa wastani hufurahia tendo la ndoa mara 54 kwa mwaka. Huu ni utafiti, tuje kwenye uhalisia. Wengi tunapenda sana hili tendo. Japo msukumo wa kulifanya unatofautiana kati ya mtu na mtu. Wapenzi walioanza...
Back
Top Bottom