Salaam,
Dont get me wrong, Mbowe ni kiongozi mzuri na amekipigania chama kwa mda mrefu. Mbowe amekiletea mafanikio makubwa chama cha CHADEMA kwa muda wa miaka 30 aliyokitumikia lakini zifuatazo ni hoja zinazompa Lissu karata turufu ya uongozi wa chama dhidi ya Mh. Mbowe.
1. Umri. Mbowe...
Kwa mujibu wa imani ya kiislamu mtoto ambaye amezaliwa nje ya ndoa hatambuliki Kwa mujibu wa Sheria kama mtoto wa Baba husika.
Kwasababu kizazi au uzao WA familia unatakiwa upatikane ndani ya ndoa ya kisheria au ndoa iliyofungwa Kwa misingi ya Dini,na nje ya hapo huyo ni mtoto wa zinaa ambaye...
Tufikie hatua tuweke pembeni tofauti zetu. Naona kuna mwanga mkubwa mbeleni kwa mwenendo ambao unaonekana kwa matendo ya Rais.
Ni Rais mchapa kazi na ana nia ya dhati ya kufanya kazi na watanzania wote. Naamini akiendelea hivi kuna siku tutakuwa na nchi nzuri huko mbeleni. Hili la kuruhusu...
Wampige chini asicheze leo fala huyu. Yaani asitolewe? Akitolewa anasusa? Hata kama uwanjani ana ruka ruka tu? Tabia za kipuuzi sana.
Mimi ngekuwa coach. Ndo simpangi acha kama tutatolewa tutolewe hamna kumbembeleza mtu utadhani yeye Mungu. Fala kabisa.
Nimefuatilia michango yake tokea akiwa diwani huko Tarime mpaka kuwa Mbunge 2015, unaweza kubaliana na Mimi kuwa huyu ni msomi anayejitambua, anajua kujenga hoja, mzalendo haswaa, mtiifu, na misimamo isiyoyumba
Alipokuwa mwenyekiti BAVICHA ndipo tulishuhudia taasisi imara ya vijana iliyozaa...
Hatimaye fursa imekuja mlangoni kabisa mwa makazi ya Ufipa. Huyu katibu mkuu wa zamani atawafaa sana Ufipa kuwa mgombea wao wa urais endapo atajitoa au kufukuzwa CCM kufuatia hili sakata lake linaloendelea. Mimi kama mtu ninayependa kuona upinzani unastawi basi ninawasihi ndugu zangu kwa kipindi...
Bwana Freeman Mbowe alitangaza kuwa ataachia uenyekiti wa chama baada ya kukitumikia kwenye nafasi hiyo kwa miaka mingi. Unafikiri ni nani anastahili kumpokea kijiti huyu mwamba?
Asisubiriwe mpaka apoe, muda sahihi ni huu wakati bado anashika chati kwenye muziki.
Jux ni msanii alieweza kufanya muziki na kusoma kwa mpigo, anastahili kupewa ajira ya kipendeleo kabisa, ilibidi na mshahara wa ziada ili awe balozi kwa vijana wengi nao watamani kupita njia aliyopitia Jux...
Salaam,
Sio kawaida yangu kusikiliza briefing za kitaifa kwa siku za hivi karibuni, ila kwa jana kulikua hakuna haja hata ya wale mawaziri wengine kuwepo pale ulitosha kabisa, na huyu ndio Mwigulu tunaemtaka sio yule wa kutuhamisha Burundi.
Ile briefing sio tu ilitoka kwa Waziri wa Fedha kwangu...
Dr. Chibukati kwa namna ya uongozi alioonyesha IEBC anastahili kuongoza taifa kubwa zaidi kiuchumi Afrika Mashariki.
Ikiwezekana uchaguzi wa marudio awemo ili iwe rahisi kutangaza kwa uwazi bila tashwishwi!
SWALI: Familia yake inaishi nchi gani kwa sasa?
Nina mke wangu tunaishi wote mwaka wa kumi na moja Sasa (hatujafunga ndoa lakini, kwasababu zangu maalumu)huyu binti nilifahamiana nae akiwa chuo cha ushirika Moshi. Tuna watoto watatu.
Sasa mwaka juzi kuna rafiki yake nlikutana nae nje ya mkoa tunaoishi, kama zali tu. Tukapiga story mbili tatu...
Habari za asubuhi wana JF wenzangu.
Ndugu zang baada ya kufuatilia kwa makini utendaji wa kazi unaofanywa na jeshi la polisi, pamoja na mbinu mbalimbali zinazotumiwa na makanda wa jeshi hilo katika jitihada za kupambana na uhalifu nchini, hasa kwa mkoa wenye uhalifu mwingi kama Dar es...
Inawezekana Rais kumchagua CDF mwanamke? Nani anafaa? Wapo wanawake gani kule ambao sasa hivi wana cheo?
Ngome inaweza kumruhusu Rais amchague CDF mwanamke?
Mungu atusaidie,
Huyu mpemba mwenzangu tumepigwa.
Halieleweki analo ongea.
Haeleweki anakokwenda.
Anakotupeleka ndio giza gizaaaa.
Bora mmanyema ameshafanya kazi benki ya dunia anajua uchumi wa dunia ukoje.
Nimeshangaa sana kuona kwenye mitandao ya kijamii Zitto akijinasibu kuwa eti ana uwezo, elimu na kila hali ya kuwa rais wa JMT.
Watanzania wengi wanajua kabisa hafai hata kiduchu maana ni oppoturnist, mpenda fedha na mnafiki.
Nani atampa kura yake Zitto Kabwe?
Huko nyuma ziliwahi kuwekwa...
Alilalamika kuwa maelfu ya wapemba walipigwa risasi na wengi kuuawa baada ya uchaguzi wa Oktoba 2020.
Lakini kwa jinsi navyopenda pesa na kulisha tumbo lake alisahau kuwa kurasa zake za twita zilijaa picha za wapemba waliopigwa risasi na kuuawa na akaunga umoja na aliodai ni wauaji.
Sasa huyu...
Habari Wakuu,
Bila kupoteza mda niende Moja kwa Moja kwenye mada.
Nilikuwa na mpenzi ambaye ndiyo nilikuwa nategemea kumuoa, kilichofanya nije niulize hapa ni hili tukio. Mimi Niko mkoa mwingine na mpenzi wangu alikuwa anafanya kazi mkoa mwingine.
Siku moja nikawa nimeenda kumsalimia na...
Huyu mtu ana akili nyingi sana na ni mzalendo wa dhati mwenye maono mazito juu ya nchi yake. Ni nadra sana kuwa na watu wa aina hii. Tatizo letu watanzania ni kushindwa kuwatumia vizuri watu wa aina hii kwa maendeleo ya taifa letu.
Tangia awe mbunge zaidi ya miaka 10 mfululizo, michango yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.