anafaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. dubu

    Mabadiliko CCM: Nani kuchukua nafasi ya Daniel Chongolo? Kinana kurejea kama Makamu Mwenyekiti

    Salaam Wakuu, Inadaiwa Daniel Chongolo anatemwa Ukatibu Mkuu CCM! Kinana aandaliwa kuwa Makamu Mwenyekiti, hana Mpinzani Vyanzo ndani ya CCM vinadokeza kuwa fukuto linaendelea ndani ya Chama Cha Mapinduzi na ndugu Daniel Chongolo amekalia kuti kavu. Chanzo kinabainisha kuwa wanaodaiwa...
  2. gango2

    Mshindo Msola ni kiongozi mwenye weledi sana, anafaa Urais TFF

    Habari wanabodi Pasi na shaka, wapenda kabumbu wengi wanamfahamu au wamewahi kulisikia hili jina Dr Msindo Msolla na kwa mashabiki wa klabu ya Yanga au Simba wana mjua kama Mwenyekiti wa Club ya Yanga. Pia naamini kuna wengi sana hawamjui kiongozi wa juu kabisa wa Club ya Yanga kuwa ni Dr...
  3. MR KADIDY

    Mwanamke wa aina gani anafaa kuwa naye kwenye mahusiano?

    Habari JF Mimi ni kijana wa miaka 25 naishi morogoro na najitegemea nilikuwa naomba ushauri juu ya mwanamke wa aina gani naweza kuwa nae akanipa furaha na hata kufika malengo yetu. Ahsanteni sana 🙏
  4. Analogia Malenga

    Wana-CCM wajitokeza kuchukua fomu ya kutia nia ya kuwania nafasi ya Spika wa Bunge la JMT. Yupo Dkt. Tulia na Masele

    Aliyewahi kuwa Makamu wa kwanza wa Rais katika Bunge la Afrika (PAP), Stephen Masele na Naibu Spika wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia Ackson wamechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea nafasi ya Spika wa Bunge la Tanzania Mtu mwingine aliyechukua fomu ni Patrick...
  5. ESCORT 1

    Nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

    Kufuatia kujiuzulu kwa Spika wa Bunge, Job Ndugai leo hii, kiti cha Spika kipo wazi. Je nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge letu?
  6. James Martin

    Nani anafaa kujaza pengo la Ndugai?

    Nafikiri mpaka sasa Watanzania wengi watakuwa wamepata habari kuhusu tukio la spika wa bunge kujiuzuru. Swali litakalofuata ni, nani anafaa kuziba pengo lake? Mimi binafsi nafikiri Mussa Azzan Zungu ni mtu sahihi wa kujaza nafasi hiyo ya spika wa bunge. Sababu ya kwanza ni kwamba Mh. Zungu ana...
  7. 2019

    Kassim Majaliwa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2025

    Umuhimu wa kitu kizuri huonekana baada ya kutoweka. Jiwe walilolikataa waashi lilikuwa jiwe kuu la pembeni. Hakuna nabii anaekubalika kwao. Mimi ni mmoja wa mtu aliemkosoa sana Magufuli, baada ya kufa nimegundua ukweli wa misemo hiyo hapo juu. Rais Samia alianza kwa kuwapa tumaini Watanzania...
  8. kmbwembwe

    Mtu anayemchukia Hayati Magufuli anafaa kuwa Waziri Tanzania?

    Sitegemei unafiki iwe jadi iliyokomaa kiasi cha namna hii nchini Tanzania. Alivyoapishwa Samia Suluhu kwa kujua mapenzi na imani kubwa waliyokua nayo watanzania kwa Magufuli alisema baada ya kuapa kua rais wa tanzania kwamba yeye na magufuli ni kitu kimoja. Na amerudia kusema hivyo mara kadhaa...
  9. T

    Jaji Eliezer Mbuki Feleshi anafaa kuwa AG

    Kutokana na kujiuzulu kwa aliyekuwa mwanasheria mkuu wa serikali Jaji Werema ni wazi sasa nafasi hiyo inabaki wazi. Kwa walio wadau wa tasnia hii ya sheria nadhani wataungana nami pasina shaka lolote kuwa kutokana na nafasi hiyo kuwa nyeti kwa ustawi wa Taifa lolote lile duniani, inahitaji...
Back
Top Bottom