Msitofautiane sana...mfano elimu,ukwasi,elimu,mila na desturi,imani n.k
Awe rafiki yako...mnaweza jadili mambo ya michezo,cinema au burudani mkafurahi mkiwa wawili tuu tena kwa mda mrefu na mkafurahi sana
Awe mchamungu...huhitaji kumchunga au kumweleza mtu kila mara kuhusiana na jambo...