anafaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Mwenezi CCM kupatikana 03/04/2024; Nani anafaa kurithi mikoba ya Makonda?

    Halmashauri kuu ya CCM itakutana tarehe 03/04/2024 jijini DSM ambapo pamoja na mambo mengine itapitisha jina la Mwenezi mpya wa CCM Source: Mwanahalisi Digital Mlale Unono 😀😀
  2. Tumsaidie Rais Samia kupata mtu sahihi wa ITIKADI na UENEZI, Weka jina humu JF na toa sababu

    Nafasi ya uenezi ni kubwa sana maana ndio kipaza sauti cha chama! Tunatakiwa kupata mtu anayekubalika na jamii na hana makandokando, awe mwenye kujishusha na kupokea maelekezo ya wakubwa zake! Wana JF tumsaidie mama kupata mtu sahihi hapa!
  3. Fred Lowassa: Baba hakuwahi kumsaliti rafiki yake

    Fred Lowassa akihojiwa na Millard baada msiba wa Lowassa ameongea mambo kadhaa kuhusu baba yake. Moja ya swali aliloulizwa ni kipi hawezi kusahau kutoka kwa baba yake. Fred amesema kitu kikubwa alichokuwa nacho mzee wake ni 'Loyalty' akiita kama 'kufa na mtu wako' kwani katika historia yake ya...
  4. Kati ya Ibrahim Class (King Class Mawe) na Hassan Mwakinyo Champez (Colorado King/Tornado) nani anafaa kuwa Pound for Pound namba 1 hapa nchini?

    Ibrahim Class anacheza uzito wa super feather wakati Hassan Mwakinyo anacheza uzito wa light middle weight. Je kama wangekuwa kwenye uzito sawa unahisi nani angeshinda pambano? Kwa upande wangu mimi binafsi naona Ibrahim angeshinda pambano ,na kwangu ndio Pound for Pound namba 1 hapa bongo na...
  5. Taifa limechelewa sana kumtumia Upendo Peneza, anafaa kuwa Mkurugenzi, Mkuu wa Wilaya, au mtaalamu mkubwa sana serikalini au balozi

    Nimemfuatilia sana Upendo Peneza. Ni kiongozi anayetumia akili sana, na amekuwa tofauti na Chadema wengi wanaokurupuka. Ni msomi wa haja, madigirii yamejaa kichwani, ana hekima kubwa sana. Natamani mama ampe majukumu makubwa sana serikalini. Pamoja na hayo, kama anapenda siasa, apewe nafasi...
  6. Je huyu mdada anafaa kuwa mke?

    Nina mpenzi wangu kutoka kaskazini (mchaga) ambaye kwa sasa tumetimiza mwaka 1 katika mahusiano huyu dada ni mpambanaji haswaaa nimemkuta na biashara yake hivyo anajimudu SIFA ZA HUYU DADA 1. Si mtu wa vizinga nazani kwa sababu ana biashara yake kuna muda akija nitembelea gheto nikimaliza...
  7. S

    Mchumba (wife material) ambaye hawezi kuendesha hata genge kwasabb kutoa chenji hawezi. Je, anafaa kuwa mke?

    Mteja wangu kaniandikia ujumbe ufuatao:- "Kungwi nina mhumba wangu kakulia hapa hapa mjini, siyo mshamba wa mji. Lkn shule aliishia form 2D (nadhani unajua uwezo wa kiakili wa wanafunzi wanaowekwa stream D). Hakuweza kuendelea baada wazazi wake kufariki. Mchumba huyu ana sifa zote, tatizo lake...
  8. Polepole anafaa kwa Ukatibu Mkuu CCM

    Kama kweli Mwenyekiti wa CCM Taifa anataka kuongeza mvuto, basi aende na Humphrey Polepole. Kiukweli Mzee wa "kataa wahuni" analog kundi kubwa sana Tena zaidi hata ya MAKONDA. Sasa fikiria combination ya Makonda na Polepole hii itakua CCM ya moto sana. Hii combination itaongeza Imani kwa...
  9. Ewe mwanamke ni mwanaume yupi kati ta hawa anafaa kuwa mumeo?

    Kumekuwa na makundi mbalimbali ya wanawake wakitaja sifa za mwanaume anayefaa kuwa baba wa watoto wake. Hawa ndio wanaume wanaotajwa na wanawake kila uchwao kuwa wanatamani sana kuwa wandani wao haki kifo. 1: Mrefu mweupe 2: Mwenye pesa 3: Mwenye hofu ya Mungu na upendo 4: Mrefu mweusi 5...
  10. V

    Angalia mrembo huyu alivyonijibu, anafaa kweli huyu?

    Angalia mrembo huyu alivyonijibu, anafaa kweli huyu?
  11. Dkt. Festus Bulugu Limbu anafaa nafasi ya juu Serikali humu nchini

    Mtajwa hapo juu aliwahi Mbunge Jimbo la Magu, lakini pia aliwahi kuwa Naibu waziri wa fedha katika awamu ya 3 akishughulikia masuala ya SERA na Mipango ya wizara hiyo. Na kwa hakika kazi yake ilionekana na inaonekana mpaka wa leo na kuifaidisha nchi na wananchi pakubwa. Dr. Limbu is among...
  12. Mtathmini mpenzi wako, anafaa kuwa mke/mme?

    Kwa haraka haraka, muonekano wa mtu kimavazi, kimiondoko, kimaongezi, na alivyosuka kichwani; humtambulisha huyu ni mtu wa namna gani, na kupitia maeneo hayo unaweza pia kujua tabia ya muhusika. Kwa hiyo kama wewe ni mwanaume na unatafuta mke, kwa haraka haraka anza na mavazi; kama anavaa...
  13. Kati ya hawa nani anafaa?

    Kuolewa na hawa wafuatao, A. Muarabu B.Mzungu C.Mchina D. Mkongo E. Muhindi F. Mkenya G. Mmalawi H. Uganda Kwa uzoefu wenu yupo ni tiki?? Atakuwa mvumilivu, muelewa , anajali, anatunza , anatambua familia yake .
  14. M

    Majaliwa akiwa Rais ataleta nidhamu na Uwajibikaji . Anafaa sana

    Nikimuangalia Khasim Majaliwa naona kwa kiasi kikubwa anaweza kuvaa viatu vya JPM hasa katika kuleta Nidhamu na Uwajibikaji kwa watendaji wa Serikali. Kwa tabia za watanzania wengi hasa watumishi wa uma/Serikali wasipojengewa hofu ya kuwajibishwa basi huzembea, huiba, hufanya kwa ufanisi duni...
  15. Je, Mwanamke mvuta Bangi anafaa Kuolewa?

    Wakuu tujuzane kama mwanamke mvuta bangi anafaa kuoa. Tupo wanaume ambao baadhi yetu tumeshakutana na wanawake warembo lakini wanavuta bangi hali hiyo ikatusikitisha sana. Je, mwanamke kama huyu ambaye ameshakuwa mtumiaji wa bangi anafaa kuoa? Je anaweza kuhudumia watoto wake kama wanawake...
  16. Albert Chalamila "akipikwa vizuri" anafaa kuwa Katibu wa Siasa na Uenezi wa CCM

    Albert Chalamila akiandaliwa vizuri, anaweza kuwa Katibu wa Uenezi mzuri sana wa CCM. Anahitaji mentorship kumuondolea mambo madogo madogo yanayomkwaza kiuongozi. CCM inaweza kumuweka karibu na magwiji ya Siasa yakaendelea "kumpika", na pia akapata mafunzo ndani na nje ya nchi, hasa katika vyuo...
  17. Roma Mkatoliki anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Roma ni mzarendo na anaipenda nchi yake kwa dhati. Licha ya kuishi nchi ya mbali na nyumbani, tena nchi ya kitajiri, moyo wa Roma umekuwa ukinung'unika sana kuona ni kwa namna gani pesa za kuezeka nchi zinavyopigwa na wavaa tai Roma anaijua siasa vizuri, elimu anayo, ana IQ kubwa. Pia ni...
  18. Kati ya single mama na Asiekuwa na mtoto Nani anafaa

    Hellow habari, nisiwachoshe direct niendee kwenye point . Nilikuwa na my girlfriend tukawa na mahusiano tumpatie jina prisca ambayo nilidumu nae almost 3 years kwenye relationship ukweli nilimpenda Ila alikuja nisaliti kwa mshikaji mmoja akampiga na mimba juu akanimwaga chini kwa madharau na...
  19. W

    Mke anayekujibu, 'amua vyovyote unavyoona', anafaa kuendelea nae kweli?

    Huyo ni mke anamjibu mume kwa ukali kuhusu kutoa talaka au baada ya mapishano madogo tu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…