anafaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tundu Lissu ndiye anayefaa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA

    Salaam, Dont get me wrong, Mbowe ni kiongozi mzuri na amekipigania chama kwa mda mrefu. Mbowe amekiletea mafanikio makubwa chama cha CHADEMA kwa muda wa miaka 30 aliyokitumikia lakini zifuatazo ni hoja zinazompa Lissu karata turufu ya uongozi wa chama dhidi ya Mh. Mbowe. 1. Umri. Mbowe...
  2. Je, Mtoto aliyezaliwa nje ya Ndoa anafaa kuitwa Jina la ubini la Baba yake?

    Kwa mujibu wa imani ya kiislamu mtoto ambaye amezaliwa nje ya ndoa hatambuliki Kwa mujibu wa Sheria kama mtoto wa Baba husika. Kwasababu kizazi au uzao WA familia unatakiwa upatikane ndani ya ndoa ya kisheria au ndoa iliyofungwa Kwa misingi ya Dini,na nje ya hapo huyo ni mtoto wa zinaa ambaye...
  3. Kwa yale ambayo ameyafanya Rais mpaka sasa anafaa kupongezwa sana

    Tufikie hatua tuweke pembeni tofauti zetu. Naona kuna mwanga mkubwa mbeleni kwa mwenendo ambao unaonekana kwa matendo ya Rais. Ni Rais mchapa kazi na ana nia ya dhati ya kufanya kazi na watanzania wote. Naamini akiendelea hivi kuna siku tutakuwa na nchi nzuri huko mbeleni. Hili la kuruhusu...
  4. Christian Ronaldo ana utoto sana. Huwa namchukia sababu ya kudhani yeye ni bora sana anafaa kuogopwa

    Wampige chini asicheze leo fala huyu. Yaani asitolewe? Akitolewa anasusa? Hata kama uwanjani ana ruka ruka tu? Tabia za kipuuzi sana. Mimi ngekuwa coach. Ndo simpangi acha kama tutatolewa tutolewe hamna kumbembeleza mtu utadhani yeye Mungu. Fala kabisa.
  5. John Heche anastahili kuvaa viatu vya Freeman Mbowe

    Nimefuatilia michango yake tokea akiwa diwani huko Tarime mpaka kuwa Mbunge 2015, unaweza kubaliana na Mimi kuwa huyu ni msomi anayejitambua, anajua kujenga hoja, mzalendo haswaa, mtiifu, na misimamo isiyoyumba Alipokuwa mwenyekiti BAVICHA ndipo tulishuhudia taasisi imara ya vijana iliyozaa...
  6. Bashiru anafaa kuwa mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA. Ufipa changamkeni

    Hatimaye fursa imekuja mlangoni kabisa mwa makazi ya Ufipa. Huyu katibu mkuu wa zamani atawafaa sana Ufipa kuwa mgombea wao wa urais endapo atajitoa au kufukuzwa CCM kufuatia hili sakata lake linaloendelea. Mimi kama mtu ninayependa kuona upinzani unastawi basi ninawasihi ndugu zangu kwa kipindi...
  7. Itakuwaje CHADEMA mwakani Mbowe aking'atuka uenyekiti? Nani anafaa kumpokea kijiti?

    Bwana Freeman Mbowe alitangaza kuwa ataachia uenyekiti wa chama baada ya kukitumikia kwenye nafasi hiyo kwa miaka mingi. Unafikiri ni nani anastahili kumpokea kijiti huyu mwamba?
  8. Jux apewe ajira ya kuwa mwalimu chuoni (lecturer), anafaa kuwa balozi wa kuwapa moyo vijana wasiache elimu kwajili ya usanii

    Asisubiriwe mpaka apoe, muda sahihi ni huu wakati bado anashika chati kwenye muziki. Jux ni msanii alieweza kufanya muziki na kusoma kwa mpigo, anastahili kupewa ajira ya kipendeleo kabisa, ilibidi na mshahara wa ziada ili awe balozi kwa vijana wengi nao watamani kupita njia aliyopitia Jux...
  9. Kwa briefing ya Mwigulu jana hakika anafaa 2025

    Salaam, Sio kawaida yangu kusikiliza briefing za kitaifa kwa siku za hivi karibuni, ila kwa jana kulikua hakuna haja hata ya wale mawaziri wengine kuwepo pale ulitosha kabisa, na huyu ndio Mwigulu tunaemtaka sio yule wa kutuhamisha Burundi. Ile briefing sio tu ilitoka kwa Waziri wa Fedha kwangu...
  10. Tofauti ya teuzi za Samia na Jakaya Kikwete ni wino wa kalamu tu vinginevyo ni mmwendo ya mwenye nacho uongezewa hasiye nacho akafie mbali anafaa kugo

    Je nawaza tofauti au Niko sawa?kichwa Cha habari chajitosheleza
  11. Kenya 2022 Chebukati anafaa kuwa Rais wa Kenya

    Dr. Chibukati kwa namna ya uongozi alioonyesha IEBC anastahili kuongoza taifa kubwa zaidi kiuchumi Afrika Mashariki. Ikiwezekana uchaguzi wa marudio awemo ili iwe rahisi kutangaza kwa uwazi bila tashwishwi! SWALI: Familia yake inaishi nchi gani kwa sasa?
  12. Kenya 2022 Wakenya kwa kauli hizi, anafaa kuwa Rais huyu ndugu yenu?

  13. Huyu mke nafaa kuoa kweli?

    Nina mke wangu tunaishi wote mwaka wa kumi na moja Sasa (hatujafunga ndoa lakini, kwasababu zangu maalumu)huyu binti nilifahamiana nae akiwa chuo cha ushirika Moshi. Tuna watoto watatu. Sasa mwaka juzi kuna rafiki yake nlikutana nae nje ya mkoa tunaoishi, kama zali tu. Tukapiga story mbili tatu...
  14. Kwa usalama wa nchi yetu, huyu afande anafaa kuwa IGP ajaye

    Habari za asubuhi wana JF wenzangu. Ndugu zang baada ya kufuatilia kwa makini utendaji wa kazi unaofanywa na jeshi la polisi, pamoja na mbinu mbalimbali zinazotumiwa na makanda wa jeshi hilo katika jitihada za kupambana na uhalifu nchini, hasa kwa mkoa wenye uhalifu mwingi kama Dar es...
  15. Kama Rais Samia akiamua kumchagua CDF mwanamke, nani anafaa?

    Inawezekana Rais kumchagua CDF mwanamke? Nani anafaa? Wapo wanawake gani kule ambao sasa hivi wana cheo? Ngome inaweza kumruhusu Rais amchague CDF mwanamke?
  16. Makamu wa Rais Dkt. Mpango ndio anafaa kuwa Rais hasa kipindi hiki cha uchumi legevu

    Mungu atusaidie, Huyu mpemba mwenzangu tumepigwa. Halieleweki analo ongea. Haeleweki anakokwenda. Anakotupeleka ndio giza gizaaaa. Bora mmanyema ameshafanya kazi benki ya dunia anajua uchumi wa dunia ukoje.
  17. Zitto kabwe hana usafi wowote kujinasibu kuwa anafaa Urais. Alishawahi kupata kashfa kubwa ya kuhongwa pesa

    Nimeshangaa sana kuona kwenye mitandao ya kijamii Zitto akijinasibu kuwa eti ana uwezo, elimu na kila hali ya kuwa rais wa JMT. Watanzania wengi wanajua kabisa hafai hata kiduchu maana ni oppoturnist, mpenda fedha na mnafiki. Nani atampa kura yake Zitto Kabwe? Huko nyuma ziliwahi kuwekwa...
  18. Kama alipost picha za maiti na waliopigwa risasi huko Twitter lakini akajiunga na Serikali ya Umoja kwa ajili ya tumbo lake anafaa kweli huyu mtu?

    Alilalamika kuwa maelfu ya wapemba walipigwa risasi na wengi kuuawa baada ya uchaguzi wa Oktoba 2020. Lakini kwa jinsi navyopenda pesa na kulisha tumbo lake alisahau kuwa kurasa zake za twita zilijaa picha za wapemba waliopigwa risasi na kuuawa na akaunga umoja na aliodai ni wauaji. Sasa huyu...
  19. A

    Huyu mwanamke anafaa kuwa mke kweli?

    Habari Wakuu, Bila kupoteza mda niende Moja kwa Moja kwenye mada. Nilikuwa na mpenzi ambaye ndiyo nilikuwa nategemea kumuoa, kilichofanya nije niulize hapa ni hili tukio. Mimi Niko mkoa mwingine na mpenzi wangu alikuwa anafanya kazi mkoa mwingine. Siku moja nikawa nimeenda kumsalimia na...
  20. Livingstone Lusinde anafaa kuwa Waziri wa Wizara ngumu na nyeti nchini

    Huyu mtu ana akili nyingi sana na ni mzalendo wa dhati mwenye maono mazito juu ya nchi yake. Ni nadra sana kuwa na watu wa aina hii. Tatizo letu watanzania ni kushindwa kuwatumia vizuri watu wa aina hii kwa maendeleo ya taifa letu. Tangia awe mbunge zaidi ya miaka 10 mfululizo, michango yake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…