Kuna Rafiki yangu wa kike tulikutana Chuo na urafiki wetu ukaanza tangu mwaka wa kwanza mpaka leo. Ni rafiki ambae tumeshibana sana, ananijua kiundani namimi namjua kiundani kuliko ambavyo ata ndugu zetu wanatujua.
Amekua akigusia suala la mimi kumuoa mara kwa mara nachukulia tu kawaida...
Wapendwa katika Kristo, BWANA YESU asifiwe sana,, Asalaam Aleykum kwa Waislam wote ,Twende kwa maada wapendwa,kuna binti yupo kidato cha sita na atamaliza mwaka huu baadae ataenda chuo kama miaka mitatu japo sijajua atasomea nini,huyu Binti tupo nae mtaa mmoja japo kuna umbali kiasi na tunasali...
I will be short
Iko hivi after mishe mishe week iliyopita , nimepoa zangu home na stress za maisha , doing life analysis , napigiwa whatsap yoh . nani ex ,what new? , mimi sina neno nipo na pigika.
Anasema unajua nafanya kazi taasisi fulani , kubwa sana , am now economically stable ebu we...