Binti wa Chuo anataka nimuoe na nimvumilie amalize masomo, najiuliza itakuwaje badae?

Bin Shaib

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2019
Posts
1,434
Reaction score
1,363
Wapendwa katika Kristo, BWANA YESU asifiwe sana,, Asalaam Aleykum kwa Waislam wote ,Twende kwa maada wapendwa,kuna binti yupo kidato cha sita na atamaliza mwaka huu baadae ataenda chuo kama miaka mitatu japo sijajua atasomea nini,huyu Binti tupo nae mtaa mmoja japo kuna umbali kiasi na tunasali pamoja na Huwa ankuja likizo baada ya masomo yeye anasoma huko Msoma yupo Boarding school ya wasichana ,sasa nilishaangaa naletewa taarifa na make wa jamaa yangu kuwa A nasema anakupenda,,,

Baada ya kusikilizia kidogo binti alianza chatting na mimi japo ye hakujua kuwa nishapata taarifa zake na pia wakati huo hajaenda form 5,,me kwa haiba yangu ni mtu ambae sitakagi mambo mengi yaani nimkimya fulani hivi japo naongea sana na mtu niloyemzoe sana,nisiwachoshe baada ya kuendelea na urafiki huo wa kama kaka na dada maana alikiuwa akiniita kaka,,

So baada ya kwenda huko chuo akawa anipigia kwa simu za walimu anapopata chance,,hivyo tumeendelea baada ya kurudi likizo hiyo ya kwanza akiwa form 5 ndo akanifungikia akanambia ananipenda japo mwanzoni kupitia txt zake za kuzunguka nilikuwa japo alikuwa kama anaficha code fulani,,, basi baada ya kunifungukia nikamuulza hatma ya mahusiano yetu akasema ni ndoa maana yake Mimi na yeye tuwe wachumba sahizi,,,maana pia alisema ananipenda sana nisije muacha ntaujeruhi sana moyo wake,,,kwakweli mimi mpaka sasa sijazama deep sana kwenye haya mahusiano.

Kinachosababisha sijawekeza na ninawaza sana hatma ya mahusiano haya nikiingia maana ana miaka kama minne ya kuendelea na masomo mpaka kumaliza kwa hiyo anasema nimvumilie Now me naelekea 31 years na natamani kupata mke niwe na familia,,pia kwa hili nikiingia kwa maombi kuliombea lakini bado moto umeganda sijajua nini Cha kuamua mpaka sasa mpaka nahisi kuna nini?
Mawazo yenu wakuu naamini kuna baadhi wamepitia situation kama yangu,,maana nawaza je nikimsubiri hatanisaliti badae na kuolewa na mwingine?
Wakati huo nimemsubiri bila mafanikio?

Mimi pia nilimwambia siwezi kumwachisha masomo kisa nimuoe sahizi ,,,atimize tu ndoto zake,pengine nawaza about my age halafu badae niambulie patupu na ndo maana nipo njia panda kwa hili msada wenu wa mawazo wakuuu. Nahitaji mke mwema katika maisha yangu MUNGU anisaidie
🙏🙏🙏
 
Tafuta mwanamke mwingine uoe siyo huyu. Huu ni ushauri naoweza kukupa.
Wapendwa katika Kristo, BWANA YESU asifiwe sana,, Asalaam Aleykum kwa Waislam wote ,Twende kwa maada wapendwa,kuna binti yupo kidato cha sita na atamaliza mwaka huu baadae ataenda chuo kama miaka mitatu japo sijajua atasomea nini,huyu Binti tupo nae mtaa mmoja japo kuna umbali kiasi na tunasali pamoja na Huwa ankuja likizo baada ya masomo yeye anasoma huko Msoma yupo Boarding school ya wasichana ,sasa nilishaangaa naletewa taarifa na make wa jamaa yangu kuwa A nasema anakupenda,,,baada ya kusikilizia kidogo binti alianza chatting na mimi japo ye hakujua kuwa nishapata taarifa zake na pia wakati huo hajaenda form 5,,me kwa haiba yangu ni mtu ambae sitakagi mambo mengi yaani nimkimya fulani hivi japo naongea sana na mtu niloyemzoe sana,nisiwachoshe baada ya kuendelea na urafiki huo wa kama kaka na dada maana alikiuwa akiniita kaka,,so baada ya kwenda huko chuo akawa anipigia kwa simu za walimu anapopata chance,,hivyo tumeendelea baada ya kurudi likizo hiyo ya kwanza akiwa form 5 ndo akanifungikia akanambia ananipenda japo mwanzoni kupitia txt zake za kuzunguka nilikuwa japo alikuwa kama anaficha code fulani,,, basi baada ya kunifungukia nikamuulza hatma ya mahusiano yetu akasema ni ndoa maana yake Mimi na yeye tuwe wachumba sahizi,,,maana pia alisema ananipenda sana nisije muacha ntaujeruhi sana moyo wake,,,kwakweli mimi mpaka sasa sijazama deep sana kwenye haya mahusiano.

Kinachosababisha sijawekeza na ninawaza sana hatma ya mahusiano haya nikiingia maana ana miaka kama minne ya kuendelea na masomo mpaka kumaliza kwa hiyo anasema nimvumilie Now me naelekea 31 years na natamani kupata mke niwe na familia,,pia kwa hili nikiingia kwa maombi kuliombea lakini bado moto umeganda sijajua nini Cha kuamua mpaka sasa mpaka nahisi kuna nini?
Mawazo yenu wakuu naamini kuna baadhi wamepitia situation kama yangu,,maana nawaza je nikimsubiri hatanisaliti badae na kuolewa na mwingine?
Wakati huo nimemsubiri bila mafanikio?

Mimi pia nilimwambia siwezi kumwachisha masomo kisa nimuoe sahizi ,,,atimize tu ndoto zake,pengine nawaza about my age halafu badae niambulie patupu na ndo maana nipo njia panda kwa hili msada wenu wa mawazo wakuuu. Nahitaji mke mwema katika maisha yangu MUNGU anisaidie
🙏🙏🙏
 
Kubababake sasa una miaka 31 halafu unauliza maswali ya kizenge ikatokea unaoa mambo ya ndoa yako si utashare we dogo?

Mtu anakuambia anakupenda unakuja kuuliza ufanye nini?
 
Wapendwa katika Kristo, BWANA YESU asifiwe sana,, Asalaam Aleykum kwa Waislam wote ,Twende kwa maada wapendwa,kuna binti yupo kidato cha sita na atamaliza mwaka huu baadae ataenda chuo kama miaka mitatu japo sijajua atasomea nini,huyu Binti tupo nae mtaa mmoja japo kuna umbali kiasi na tunasali pamoja na Huwa ankuja likizo baada ya masomo yeye anasoma huko Msoma yupo Boarding school ya wasichana ,sasa nilishaangaa naletewa taarifa na make wa jamaa yangu kuwa A nasema anakupenda,,,

Baada ya kusikilizia kidogo binti alianza chatting na mimi japo ye hakujua kuwa nishapata taarifa zake na pia wakati huo hajaenda form 5,,me kwa haiba yangu ni mtu ambae sitakagi mambo mengi yaani nimkimya fulani hivi japo naongea sana na mtu niloyemzoe sana,nisiwachoshe baada ya kuendelea na urafiki huo wa kama kaka na dada maana alikiuwa akiniita kaka,,so baada ya kwenda huko chuo akawa anipigia kwa simu za walimu anapopata chance,,hivyo tumeendelea baada ya kurudi likizo hiyo ya kwanza akiwa form 5 ndo akanifungikia akanambia ananipenda japo mwanzoni kupitia txt zake za kuzunguka nilikuwa japo alikuwa kama anaficha code fulani,,, basi baada ya kunifungukia nikamuulza hatma ya mahusiano yetu akasema ni ndoa maana yake Mimi na yeye tuwe wachumba sahizi,,,maana pia alisema ananipenda sana nisije muacha ntaujeruhi sana moyo wake,,,kwakweli mimi mpaka sasa sijazama deep sana kwenye haya mahusiano.

Kinachosababisha sijawekeza na ninawaza sana hatma ya mahusiano haya nikiingia maana ana miaka kama minne ya kuendelea na masomo mpaka kumaliza kwa hiyo anasema nimvumilie Now me naelekea 31 years na natamani kupata mke niwe na familia,,pia kwa hili nikiingia kwa maombi kuliombea lakini bado moto umeganda sijajua nini Cha kuamua mpaka sasa mpaka nahisi kuna nini?
Mawazo yenu wakuu naamini kuna baadhi wamepitia situation kama yangu,,maana nawaza je nikimsubiri hatanisaliti badae na kuolewa na mwingine?
Wakati huo nimemsubiri bila mafanikio?

Mimi pia nilimwambia siwezi kumwachisha masomo kisa nimuoe sahizi ,,,atimize tu ndoto zake,pengine nawaza about my age halafu badae niambulie patupu na ndo maana nipo njia panda kwa hili msada wenu wa mawazo wakuuu. Nahitaji mke mwema katika maisha yangu MUNGU anisaidie
🙏🙏🙏
Mwambie Sawa nenda chuo kwanza ukimaliza tutazungumza,hapo ukitegemea nguvu ya ushawishi chuoni kukuongoza kumtoa kwenye hesabu zake,

NB kama humtaki hakikisha humgusi
 
Wapendwa katika Kristo, BWANA YESU asifiwe sana,, Asalaam Aleykum kwa Waislam wote ,Twende kwa maada wapendwa,kuna binti yupo kidato cha sita na atamaliza mwaka huu baadae ataenda chuo kama miaka mitatu japo sijajua atasomea nini,huyu Binti tupo nae mtaa mmoja japo kuna umbali kiasi na tunasali pamoja na Huwa ankuja likizo baada ya masomo yeye anasoma huko Msoma yupo Boarding school ya wasichana ,sasa nilishaangaa naletewa taarifa na make wa jamaa yangu kuwa A nasema anakupenda,,,

Baada ya kusikilizia kidogo binti alianza chatting na mimi japo ye hakujua kuwa nishapata taarifa zake na pia wakati huo hajaenda form 5,,me kwa haiba yangu ni mtu ambae sitakagi mambo mengi yaani nimkimya fulani hivi japo naongea sana na mtu niloyemzoe sana,nisiwachoshe baada ya kuendelea na urafiki huo wa kama kaka na dada maana alikiuwa akiniita kaka,,

So baada ya kwenda huko chuo akawa anipigia kwa simu za walimu anapopata chance,,hivyo tumeendelea baada ya kurudi likizo hiyo ya kwanza akiwa form 5 ndo akanifungikia akanambia ananipenda japo mwanzoni kupitia txt zake za kuzunguka nilikuwa japo alikuwa kama anaficha code fulani,,, basi baada ya kunifungukia nikamuulza hatma ya mahusiano yetu akasema ni ndoa maana yake Mimi na yeye tuwe wachumba sahizi,,,maana pia alisema ananipenda sana nisije muacha ntaujeruhi sana moyo wake,,,kwakweli mimi mpaka sasa sijazama deep sana kwenye haya mahusiano.

Kinachosababisha sijawekeza na ninawaza sana hatma ya mahusiano haya nikiingia maana ana miaka kama minne ya kuendelea na masomo mpaka kumaliza kwa hiyo anasema nimvumilie Now me naelekea 31 years na natamani kupata mke niwe na familia,,pia kwa hili nikiingia kwa maombi kuliombea lakini bado moto umeganda sijajua nini Cha kuamua mpaka sasa mpaka nahisi kuna nini?
Mawazo yenu wakuu naamini kuna baadhi wamepitia situation kama yangu,,maana nawaza je nikimsubiri hatanisaliti badae na kuolewa na mwingine?
Wakati huo nimemsubiri bila mafanikio?

Mimi pia nilimwambia siwezi kumwachisha masomo kisa nimuoe sahizi ,,,atimize tu ndoto zake,pengine nawaza about my age halafu badae niambulie patupu na ndo maana nipo njia panda kwa hili msada wenu wa mawazo wakuuu. Nahitaji mke mwema katika maisha yangu MUNGU anisaidie
🙏🙏🙏
Usisubiri
 
🙏🙏
Swali la kizushi
Una elimu ya kiwango gani na unajishughulisha na nini?
Usije kuwa unaandaliwa kuwa sponsor wa elimu yake
 
Nipo kwenye situation kama hii Ila sio mambo ya ndoa kuna binti mmoja naye kila siku ni kutuma salamu kupitia jamaa

sasa huyo ni mpemba na lafudhi yake sikumwelewa bado

Haya 👇
Mbona wanachuo wanaolewa vizuri tuu mzee kikubwa ni wewe kutuliza akili maake unahitaji ndoa na yeye the same

Hapo ni kukubaliana kama mpo tyr anza zoezi la utambulisho pande zote mbili, kingine hali ya familia yao ipoje asiwe anatafuta mtu wa kumpush kimasomo.hapo.juu

Nimechoka kutype waweke voice
 
Back
Top Bottom