Oya wewe . . .Na ndiyo maana nikalileta kwenu kwa mawazo ya hekima
Kazi yangu me mchoraji wa maandishi na picha hiyo ndo kazi niliyonayo,nawanao husika kumsomesha ni wazazi wake,nawala siwezi kamwe kumsomesha bintiSwali la kizushi
Una elimu ya kiwango gani na unajishughulisha na nini?
Usije kuwa unaandaliwa kuwa sponsor wa elimu yake
AminaAmina mkuu nimekuelewa hakika kama ni mapenzi ya Mungu itakuwa
Wazo la maana mkuu hongera sana,hilo pia niliwahi kuwaza mtu ameajiriwa mfano ualimu huko Dar me nipo Mwanza hiyo shuhuli nyingineAchana na hizo biashara huyo anamihamko ya barehe,akifika chuo atagundua alikuwa fara kukupenda wewe.
Chuo miaka 3/4 bado ajira 1 year halafu apate kazi ww upo Dar yeyey anapangiwa Kerwa,Kagera-ndio utajua hujui.
Tafuta mwanamke mwingine uoe,acha ujinga.
Kumbuka 95% ya wanawake wanaenda chuo,wanamaliza wakiwai makopo huko ukeni.