Mgm-
JF-Expert Member
- Aug 15, 2019
- 6,077
- 8,794
Afu chuo ndo apangiwe dar, huyo kwa heri aseeMwambie Sawa nenda chuo kwanza ukimaliza tutazungumza,hapo ukitegemea nguvu ya ushawishi chuoni kukuongoza kumtoa kwenye hesabu zake,
NB kama humtaki hakikisha humgusi
Mi mwenyewe niko na situation kama hii, nikipiga tu hesabu ya gap la umri kati yangu na yeye tunapishana miaka 13. Afu eti nimsubiri miaka 5+ mbele afu hapo akimaliza chuo unakuta anapata ajira huko lindi na mm niko zangu kahama kudadeqNipo kwenye situation kama hii Ila sio mambo ya ndoa kuna binti mmoja naye kila siku ni kutuma salamu kupitia jamaa
sasa huyo ni mpemba na lafudhi yake sikumwelewa bado
Haya 👇
Mbona wanachuo wanaolewa vizuri tuu mzee kikubwa ni wewe kutuliza akili maake unahitaji ndoa na yeye the same
Hapo ni kukubaliana kama mpo tyr anza zoezi la utambulisho pande zote mbili, kingine hali ya familia yao ipoje asiwe anatafuta mtu wa kumpush kimasomo.hapo.juu
Nimechoka kutype waweke voice
Vp nikioa huyu msomi asie na ajira rasmi afu akaja kupata ajira rasmi, tunaishi mwanza ye kapata ajira arusha itakuaje hapoHapo kuna vitu vizuri kuna wasomi wenye ajira rasmi na wasomi wasio na ajira rasmi. Hawa wa mwisho wanaweza kuolewa chap kama wakiona inafaa