MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 5,824
- 14,757
Kuna Rafiki yangu wa kike tulikutana Chuo na urafiki wetu ukaanza tangu mwaka wa kwanza mpaka leo. Ni rafiki ambae tumeshibana sana, ananijua kiundani namimi namjua kiundani kuliko ambavyo ata ndugu zetu wanatujua.
Amekua akigusia suala la mimi kumuoa mara kwa mara nachukulia tu kawaida kulingana na ukaribu tulionao, kipindi tupo chuo nilkua najua wapenzi wake na alikua akiniunganisha sana na madem hasa marafiki zake. Tumeshalala sana pamoja na kila mara tukimshinda shetani na hila zake.
Ni rafiki ambae ata nikiingia kwenye mahusiano na mpenzi mpya lazima nimtambulishe ili kuondoa sintofaham, kama hawezi kuvumilia suala la mimi kuwa karibu na rafiki yangu basi milango inakua ipo wazi. she’s my first priority ingawa hajawahi kuwa kikwazo kwenye mahusiano yangu na madem zangu wengi wanamjua.
Hili suala la kumuoa sijawahi kulitilia maanani, naombeni mtupe ushauri kama itakua sawa au tubaki kwenye reli maana ni mwanamke ambae sipo tayari kumpoteza kwa namna yoyote ile na namna nzuri ya kuendelea kutuweka karibu ni hii ya Urafiki, kuna ambao wana experience na situation kama hii wanipe uzoefu?