No kwa sababu hapa ni anonymous, Unapo omba Ushauri ainisha umri wako Ili hata sisi washauri tujue tunashauri mtu wa aina age gani!!
By the way kitendo Cha rafiki yako kukuita Mkuu*** ni wazi kabsa mnaishi kisela mno..
Kwa kitendo hicho huyo rafiki yako anakosa ile haiba ya kike, aibu, upole, na utii.
Mwanamke akikosa hivyo, hafai kwenye ndoa, atakuchukulia kama rafiki na heshima yake kwako ni ya kirafiki.
Hatakupa heshima kama Mme wake wa ndoa.
Kwahiyo kijana kua makini, kwenye uchaguzi wa kuoa hawitaji kujichukulia tu hovyo kwa sababu tu mmezoeana!!! Utaacha ndala.