Ety dada angu cocastic ni sawa?
Tayari mwalimuKwani shule zimefungwa??
mkuu kumuoa unavunja urafiki mnakuwa mke na mme inavyoonekana unampenda oaneni ila muishi kama marafiki siyo wapenz one day utakumbuka zone ya urafiki na huwezi ipata kwake kikubwa fata moyo wakoTabia zetu zinafanana sana ndo maana ni marafiki
Sawa sawa 😀Rasilimali zitumike bn.
Kama umemuelewa chukua mali hiyo.Kuna Rafiki yangu wa kike tulikutana Chuo na urafiki wetu ukaanza tangu mwaka wa kwanza mpaka leo. Ni rafiki ambae tumeshibana sana, ananijua kiundani namimi namjua kiundani kuliko ambavyo ata ndugu zetu wanatujua.
Amekua akigusia suala la mimi kumuoa mara kwa mara nachukulia tu kawaida kulingana na ukaribu tulionao, kipindi tupo chuo nilkua najua wapenzi wake na alikua akiniunganisha sana na madem hasa marafiki zake. Tumeshalala sana pamoja na kila mara tukimshinda shetani na hila zake.
Ni rafiki ambae ata nikiingia kwenye mahusiano na mpenzi mpya lazima nimtambulishe ili kuondoa sintofaham, kama hawezi kuvumilia suala la mimi kuwa karibu na rafiki yangu basi milango inakua ipo wazi. she’s my first priority ingawa hajawahi kuwa kikwazo kwenye mahusiano yangu na madem zangu wengi wanamjua.
Hili suala la kumuoa sijawahi kulitilia maanani, naombeni mtupe ushauri kama itakua sawa au tubaki kwenye reli maana ni mwanamke ambae sipo tayari kumpoteza kwa namna yoyote ile na namna nzuri ya kuendelea kutuweka karibu ni hii ya Urafiki, kuna ambao wana experience na situation kama hii wanipe uzoefu?
Kuna Rafiki yangu wa kike tulikutana Chuo na urafiki wetu ukaanza tangu mwaka wa kwanza mpaka leo. Ni rafiki ambae tumeshibana sana, ananijua kiundani namimi namjua kiundani kuliko ambavyo ata ndugu zetu wanatujua.

Kwan tutakuwa wakwanza kuachana 😁Mahusiano ya hivi huwa najiuliza yanaishia wapi?
Wewe ni mdau wa kubet, bet hapo kwa huyo bidada kumuoa tuone kama utatoboa
Kwan nini maana ya urafiki mkuu? Nishakula madem kibao tuliokua na mazoea kupitiliza kasoro huyo rafiki yangu.!! Mfano huyu hapa wa juzi tuKama mmeweza kumshinda SHETANI muda wote huu ina maana HAMNA CHEMISTRY, kitu ambacho kitafanya ndoa yenu isiwe na mwisho mwema na hivyo kuharibu urafiki wenu!
😇
👿 ... Mwanaume na mwanamke toka lini wakawa marafiki?
WE MUOE TU! ... YAKIONGOKA WALI, YAKIFUBAA MCHUZI!
Kuna Rafiki yangu wa kike tulikutana Chuo na urafiki wetu ukaanza tangu mwaka wa kwanza mpaka leo. Ni rafiki ambae tumeshibana sana, ananijua kiundani namimi namjua kiundani kuliko ambavyo ata ndugu zetu wanatujua.
Amekua akigusia suala la mimi kumuoa mara kwa mara nachukulia tu kawaida kulingana na ukaribu tulionao, kipindi tupo chuo nilkua najua wapenzi wake na alikua akiniunganisha sana na madem hasa marafiki zake. Tumeshalala sana pamoja na kila mara tukimshinda shetani na hila zake.
Ni rafiki ambae ata nikiingia kwenye mahusiano na mpenzi mpya lazima nimtambulishe ili kuondoa sintofaham, kama hawezi kuvumilia suala la mimi kuwa karibu na rafiki yangu basi milango inakua ipo wazi. she’s my first priority ingawa hajawahi kuwa kikwazo kwenye mahusiano yangu na madem zangu wengi wanamjua.
Hili suala la kumuoa sijawahi kulitilia maanani, naombeni mtupe ushauri kama itakua sawa au tubaki kwenye reli maana ni mwanamke ambae sipo tayari kumpoteza kwa namna yoyote ile na namna nzuri ya kuendelea kutuweka karibu ni hii ya Urafiki, kuna ambao wana experience na situation kama hii wanipe uzoefu?
Mimi kumpatia mwanamke pesa sio shida zangu mkuu. Ndo furaha yangu ✅Huyo Mwanamke ana kazi??? Kama Hana kazi anataka akufanye wewe kupe
Sawa. Na siku ukichapiwa na vidume mtaani usije ukaumia maana hizo Pesa unazompa anawapelekea vidume wenzio mtaani ili wamkune vizuriMimi kumpatia mwanamke pesa sio shida zangu mkuu. Ndo furaha yangu ✅
Haha naumiaje tena mzee wkt uchi ni wake anapanga mwenyewe matumizi yake.Sawa. Na siku ukichapiwa na vidume mtaani usije ukaumia maana hizo Pesa unazompa anawapelekea vidume wenzio mtaani ili wamkune vizuri
Kuna Rafiki yangu wa kike tulikutana Chuo na urafiki wetu ukaanza tangu mwaka wa kwanza mpaka leo. Ni rafiki ambae tumeshibana sana, ananijua kiundani namimi namjua kiundani kuliko ambavyo ata ndugu zetu wanatujua.
Amekua akigusia suala la mimi kumuoa mara kwa mara nachukulia tu kawaida kulingana na ukaribu tulionao, kipindi tupo chuo nilkua najua wapenzi wake na alikua akiniunganisha sana na madem hasa marafiki zake. Tumeshalala sana pamoja na kila mara tukimshinda shetani na hila zake.
Ni rafiki ambae ata nikiingia kwenye mahusiano na mpenzi mpya lazima nimtambulishe ili kuondoa sintofaham, kama hawezi kuvumilia suala la mimi kuwa karibu na rafiki yangu basi milango inakua ipo wazi. she’s my first priority ingawa hajawahi kuwa kikwazo kwenye mahusiano yangu na madem zangu wengi wanamjua.
Hili suala la kumuoa sijawahi kulitilia maanani, naombeni mtupe ushauri kama itakua sawa au tubaki kwenye reli maana ni mwanamke ambae sipo tayari kumpoteza kwa namna yoyote ile na namna nzuri ya kuendelea kutuweka karibu ni hii ya Urafiki, kuna ambao wana experience na situation kama hii wanipe uzoefu?
Ishu siyo uchi, ishu ni hela unazompa nae anawapa vidume wenzio mtaani tena wasimamia kucha wenye Matango Makubwa kuliko wewe kibamia anayekulia hela zakoHaha naumiaje tena mzee wkt uchi ni wake anapanga mwenyewe matumizi yake.
Kama unateswa na mapenzi pole mkuu wengine imebaki historia tu kuwa tumewahi teswa na mapenzi. Nipo upande wa pili wa watesaji tangu muda sanaIshu siyo uchi, ishu ni hela unazompa nae anawapa vidume wenzio mtaani tena wasimamia kucha wenye Matango Makubwa kuliko wewe kibamia anayekulia hela zako