Isenye
JF-Expert Member
- Dec 22, 2024
- 1,985
- 5,167
Anakupambania wewe na huyo gelo wakoNimimi nilimpeleka Gerezani mzee?? simwamini mtu yeyote anaeitwa mwanasiasa.!!
Anakupambania wewe na huyo gelo wakoNimimi nilimpeleka Gerezani mzee?? simwamini mtu yeyote anaeitwa mwanasiasa.!!
Asijisumbue, labda aache siasaAnakupambania wewe na huyo gelo wako
Katiba mpya ni msingi wa uchumi bora na jumuishi kwa taifa.Pambania uchumi wako mkuu achana na mambo ya katiba. Wanaopewa dhamana ya kuongoza wengine wote ni maku***ma hata iletwe katiba ya Marekani haitosaidia kitu
Poa. Good luckKatiba mpya ni msingi wa uchumi bora na jumuishi kwa taifa.
Usipuuzie ishara anazokupa, Kama amekuwa akigusia ndoa mara kwa mara, zungumzeni wazi kuhusu hisia na matarajio yenu badala ya kubaki kutabiri. Usiingie kwenye ndoa kwa sababu ya ukaribu tu, lakini pia usiache jambo hilo liendelee bila ufafanuziKuna Rafiki yangu wa kike tulikutana Chuo na urafiki wetu ukaanza tangu mwaka wa kwanza mpaka leo. Ni rafiki ambae tumeshibana sana, ananijua kiundani namimi namjua kiundani kuliko ambavyo ata ndugu zetu wanatujua.
Amekua akigusia suala la mimi kumuoa mara kwa mara nachukulia tu kawaida kulingana na ukaribu tulionao, kipindi tupo chuo nilkua najua wapenzi wake na alikua akiniunganisha sana na madem hasa marafiki zake. Tumeshalala sana pamoja na kila mara tukimshinda shetani na hila zake.
Ni rafiki ambae ata nikiingia kwenye mahusiano na mpenzi mpya lazima nimtambulishe ili kuondoa sintofaham, kama hawezi kuvumilia suala la mimi kuwa karibu na rafiki yangu basi milango inakua ipo wazi. she’s my first priority ingawa hajawahi kuwa kikwazo kwenye mahusiano yangu na madem zangu wengi wanamjua.
Hili suala la kumuoa sijawahi kulitilia maanani, naombeni mtupe ushauri kama itakua sawa au tubaki kwenye reli maana ni mwanamke ambae sipo tayari kumpoteza kwa namna yoyote ile na namna nzuri ya kuendelea kutuweka karibu ni hii ya Urafiki, kuna ambao wana experience na situation kama hii wanipe uzoefu?
Kwani ukiitwa hivyo Kuna sehemu yoyote ya mwili unameguka?Njoo pwani uone watu wanavyoishi pengine unaweza ukabadili msimamo wako na kuwaona wanawake nao pia wanahaki ya kuishi sio kidogo tu unampa kipondo hadi kumchinja kisa eti kakuita ******.Hilo neno huku Tanga ni kama salamu tuMwanaume na akili zako timamu unakubali mwanamke akuite mkund*u kwa sababu tu, nyie ni marafiki?
Aisee mkuu, Mbona unashusha hadhi za uanaume wako?
Utani gani wa kuitwa namna hii?
Hakuna mwanamke hapo,,,na ukija ukioa hyo mwanamke utajuta.Kuna Rafiki yangu wa kike tulikutana Chuo na urafiki wetu ukaanza tangu mwaka wa kwanza mpaka leo. Ni rafiki ambae tumeshibana sana, ananijua kiundani namimi namjua kiundani kuliko ambavyo ata ndugu zetu wanatujua.
Amekua akigusia suala la mimi kumuoa mara kwa mara nachukulia tu kawaida kulingana na ukaribu tulionao, kipindi tupo chuo nilkua najua wapenzi wake na alikua akiniunganisha sana na madem hasa marafiki zake. Tumeshalala sana pamoja na kila mara tukimshinda shetani na hila zake.
Ni rafiki ambae ata nikiingia kwenye mahusiano na mpenzi mpya lazima nimtambulishe ili kuondoa sintofaham, kama hawezi kuvumilia suala la mimi kuwa karibu na rafiki yangu basi milango inakua ipo wazi. she’s my first priority ingawa hajawahi kuwa kikwazo kwenye mahusiano yangu na madem zangu wengi wanamjua.
Hili suala la kumuoa sijawahi kulitilia maanani, naombeni mtupe ushauri kama itakua sawa au tubaki kwenye reli maana ni mwanamke ambae sipo tayari kumpoteza kwa namna yoyote ile na namna nzuri ya kuendelea kutuweka karibu ni hii ya Urafiki, kuna ambao wana experience na situation kama hii wanipe uzoefu?
Mkisha ingia kwenye ndoa you can't keep distance from her, mtarushana ngumu, maneno etc lakini usiku baado mtalala kitanda kimoja na chakula mtakula kimoja. Unless otherwise ukimbie familia yako uliyo ianzsha.Umenena vyema sana mkuu, pamoja ni kuwa ni anonymous ila binafsi maisha na mapenzi sio vitu navyovichukulia sana siriaz bali huwa navitazama kwa angle nyingine tofauti kabisa na wengine. Mimi ni mtu nisiependa stress, huwa siruhusu mtu aniharibie amani badala yake huwa nakeep distance kwa sababu huo uwezo ninao mpaka na wa ziada
🤣🤣🤣Kama kuna kitu naweza kukushauri ni pambanieni katiba mpya...
Na Tanga ndio mkoa wenye watu wavivu na wajinga wajinga.Kwani ukiitwa hivyo Kuna sehemu yoyote ya mwili unameguka?Njoo pwani uone watu wanavyoishi pengine unaweza ukabadili msimamo wako na kuwaona wanawake nao pia wanahaki ya kuishi sio kidogo tu unampa kipondo hadi kumchinja kisa eti kakuita ******.Hilo neno huku Tanga ni kama salamu tu
Na hiyo pia kwa upande mwingine imewafanya jaziba kwao zipungue ni mara chache kusikia pwani eti mwanamke amechinjwa kwa wivu wa mapenzi.
Kabisa mkuu.Hapo kwenye urafiki wa matusi ni a Capital NO
Hiiiiiiiiiiiiii 😧