Rafiki yangu wa kike anataka nimuoe, je tutakua tumefanya maamuzi sahihi?

Unaweza kuwa na advantage ni rafiki yako uko huru hata kumwambia lolote na yeye hivyo hivyo yuko huru zaidi kwako...mko close na mna chemistry hii inaweza kuwa positive ila binafsi nadhani kama hamkutamaniana kimahusiano punde mlivyokutana sidhani kama mtaweza kutamaniana sasa hivi....mkiingia ndoani nyinyi mtakuwa ni mabestie mlioingia ndoani ..lazima mtaweka boundaries kwenye baadhi ya mambo (sex) ndani ya uhusiano wenu na wala hamtaifurahia hio ndoa..
 
Asante kwa ushauri, kila mtu anamtamani mwenzie ni vile nmekua strong kujizuia kwenye ilo suala
Unaweza kuwa na advantage ni rafiki yako uko huru hata kumwambia lolote na yeye hivyo hivyo yuko huru zaidi kwako...mko close na mna chemistry hii inaweza kuwa positive ila binafsi nadhani kama hamkutamaniana kimahusiano punde mlivyokutana sidhani kama mtaweza kutamaniana sasa hivi....mkiingia ndoani nyinyi mtakuwa ni mabestie mlioingia ndoani ..lazima mtaweka boundaries kwenye baadhi ya mambo (sex) ndani ya uhusiano wenu na wala hamtaifurahia hio ndoa..
 
Kuna Rafiki yangu wa kike tulikutana Chuo na urafiki wetu ukaanza tangu mwaka wa kwanza mpaka leo. Ni rafiki ambae tumeshibana sana, ananijua kiundani namimi namjua kiundani kuliko ambavyo ata ndugu zetu wanatujua.

Amekua akigusia suala la mimi kumuoa mara kwa mara nachukulia tu kawaida kulingana na ukaribu tulionao, kipindi tupo chuo nilkua najua wapenzi wake na alikua akiniunganisha sana na madem hasa marafiki zake. Tumeshalala sana pamoja na kila mara tukimshinda shetani na hila zake.

Ni rafiki ambae ata nikiingia kwenye mahusiano na mpenzi mpya lazima nimtambulishe ili kuondoa sintofaham, kama hawezi kuvumilia suala la mimi kuwa karibu na rafiki yangu basi milango inakua ipo wazi. she’s my first priority ingawa hajawahi kuwa kikwazo kwenye mahusiano yangu na madem zangu wengi wanamjua.

Hili suala la kumuoa sijawahi kulitilia maanani, naombeni mtupe ushauri kama itakua sawa au tubaki kwenye reli maana ni mwanamke ambae sipo tayari kumpoteza kwa namna yoyote ile na namna nzuri ya kuendelea kutuweka karibu ni hii ya Urafiki, kuna ambao wana experience na situation kama hii wanipe uzoefu?
Swali la kihuni.Wewe ni mwanamke au maanaume?
 
Jibu Kumbe unalo,muoe Sasa!
 
Ubaya was mapenzi, mkishaoana ndipo sasa mtaanza kuoneshana uhalisia wenu wenyewe, mtajikuta mnapoteza urafiki na mapenzi kwa Pa1
Tatizo liko apo namimi sitaki ukaribu wetu ufe kwa namna yoyote ile
 
Back
Top Bottom