Niko Mbeya jamani mimi ni kijana nauliza kama kuna Kiwanda chochote au kampuni yoyote inayotafuta wafanyakazi.kwa Maana nimezunguka mkia sehemu Lakini wapi
Kuna wimbo wa zilipendwa unaimbwa hilo oooh oooh, unaongelea jitu zima lililokuwa linaleta ujuai na hatimaye likapigwa na katoto. Jirani yangu ni Simba damu nataka niweke hiki kibao aburudike
Anayejua historia ya baba yake Hayati Mwinyi atuambie
Mara nyingi tunaambiwa mengi kuhusu Mwinyi lakini hatujui mengi kuhusu baba yake
Na je ni nani aliyemuibua winyi kwenye siasa?
Wakuu kama kuna yeyote aliyewahi fanya kazi za security au anayejua mazingira ya kazi za security maeneo ya Dubai na Oman anipe mrejesho maana kuna dili nimepata huko ili nijue kama pananifaa au laah
Wakubwa naomba kwa mwenye uzoefu na hii simu anipe ABC nimeikuta sehemu nimependa tu ukubwa wa betri ila mambo mengine sijajua naomba kwa ambaye ameshatumia au anatumia anipe ubota/udhaifu wake
Jf tech huwa napata suluhisho. Watu wanajua.
Kwa dar naomba kujua napata wap wireless earphones zenye bass na mchujo mzuri kama au zaidi ya wired earphones.
Najua maduka yamejaa hizo lakin tatizo ni bass kuipata vyema.
pia napenda brands kubwa kama sony, bose, beats etc.
Muundo huo
Naomba kujua kwa sasa kilo moja ya mwani ni shilingi ngapi?
Gharama za kusafirisha mwani kutoka Tanzania hadi UAE ni shilingi ngapi?
Nawasubiri kwenye komenti zenu. Asanteni.
Niliwahi kuhoji taarifa za mchongo kuwa eti ligi ya NBC ni ya 5 kwa ubora na wengine wamekuwa wanajitangazia tu eti derby ya Kariakoo ni moja ya derby 3 kwa ubora na ukubwa Africa, watu wakanibishia.
Kuna kaclip kanasambaa kakionyesha Rais wa Yanga akiwa South Africa akisambaza umbea kwa Rais...
Jana Jumamosi 04/11 wakati ninaangalia taarifa ya habari usiku, niliona picha ikionesha kikosi cha jeshi la polisi jijini Mbeya kikiwa kimebeba silaha nzito wakiandamana.
Jambo lililonivutia ni mama mmoja namkadiria umri wa miaka 80 na zaidi alipowauliza waandamanaji kunani? Mbona mtaani kwetu...
Ukiona mpaka GENTAMYCINE (mwana Simba SC tukuka na lia lia ) navutiwa Kumtizama Mfalme wa Kipaji cha Mpira kutoka nchini Burkinafaso Stephane Aziz K ( pamoja na kwamba siipendi Yanga SC ) jua ya kwamba huyo Mtu anajua hasa kwani Kiasili huwa sipendi Vibovu Vibovu.
Kuanzia leo hii GENTAMYCINE...
1. Njiwa Weusi tu wanaotamia
2. Kucha za Fisi Jike
3. Mkojo wa Mamba
4. Jasho la Chatu
5. Bendera ya Taifa lolote la nchi za Kiarabu ila ikipatikana hasa ya Egypt ( Misri ) Itapendeza zaidi
6. Mate ya Kifaru Dume na yachukuliwe akiwa anakuangalia kipindi ana Njaa sana
7. Ulimi wa Mjusi...
Inauma sana Kiukweli yaani Wenzako wakiwa Wanaongozwa na Ving'ora kwenda Estadio Du Lupaso Wengine wanakatiza tu Mitaani, Majarubani huku Wakikanyaga Nyanya za Watu, wakigonga Makopo ya Mkaa na kupigia Kelele Wakazi wakiitafuta Mbande Mbagala Kucheza na Waliofeli Wenzao.
ANGALIZO
Ukijijua tu...
Members kwa yeyote yule anayeipata vyema historia ya mwafrika(mtu mweusi) aje hapa aielezee kitalaamu tupate kuelimika.
Kwa namna tulivyo hakika kuna kitu kabisa hakipo sawa katika historia maana hii hali tuliyo nayo sio ya kawaida huwezi kuipata bara lengine zaidi ya Afrika na kwa...
Wana familia ya Jf,
Naomba kujuzwa kampuni yenye mabasi mazuri yanayosafiri kuanzia Dodoma mjini kuelekea Mwanza mjini anifahamishe.
Sijawahi kufika Mwanza, ndio mara yangu ya kwanza na safari naanzia hapa Dom mjini.
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu mtakao nipa taarifa njema, na pia...
Ninaomba kwa anayejua eneo lililopo godown la pipi za jumla au wasambazaji wakubwa wa pipi za jumla Arusha, ambao wanahusika na kuwasambazia watu wa maduka ya jumla naomba anipe connection.
Kama nilivoandika hapo juu anayeajua ratiba za hii MINADA inayokuwepo ndani ya hii MIKOA naomba anisaidie na maeneo inayo patikana na siku gan ndan ya wiki.
Hasa Dodoma
ππππ
Siku haipiti bila kusikia malalamiko juu ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulioanzishwa kwa shinikizo la Marekani na tamaa ya madaraka ya Abedi Amani Karume na genge lake la mapinduzi. Je huu mnyukano ulioibuliwa na kutaka kuwekezwa kwenye bandari zetu utatufikia wapi kama taifa? Je muungano...