ndugu wa na jukwaa mimi nilikuwa mtumishi wa kampuni ya bia tanzania tbl miaka ya nyuma tulikuwa na madai yetu tukafungua kesi mahakama kuu ya Tanzania.
kampuni ikaweka pingamizi kuwa kabla ya kwenda mahakamani tuanzia kwa msuluhishi tukapelekwa mahakama ya usuluhishi tukapewa jaji mstaafu...
Habari wa kuu nilikua naulizia kwa mwenye kujua wale matechnician wanaosaidia wanafunzi during practicals huwa range za mishahara yao ipoje kuanzia kwenye bachelor, master na hata PhD.
Karibuni wadau
Habari zenu wadau,
Naomba mtu anayeishi Abbeyhill ,ottawa Street nchini Canada, nina shida moja hapa Natambua humu kuna watu mbalimbali na maeneo mbalimbali
Hivi karibuni dunia imeshangazwa baada ya kusikia Rais Ashraf Ghan wa Afghanistan amekimbia mji mkuu wa nchi hiyo Kabul, baada ya mji huo kuzingirwa na wapiganaji wa kundi la Taliban. Kukimbia Kabul kwa Rais Ghani kuna maana kuwa ni wazi kuwa kundi la Taliban sasa limetwaa madaraka ya uongozi wa...
Tuna zaidi ya wiki sasa tangu tuchanjwe chanjo ya COVID19 kwa mbwembwe sana huku makao makuu ya nchi lakini mpaka sasa hakuna taarifa ya uhakika juu ya lini na kwa njia gani tutapata hizo kadi za chanjo.
Nikiuliza pale Benjamini Mkapa Hosp naambiwa mara tunasubiri za online mara tunasubiri...
Kutokana na wimbi la CORONA sasa hivi ofisi nyingi zimefungwa na raia wanafanyia kazi majumbani! Sasa juzi kati nimepata deal kutoka ofisi nyingine wanataka waniajiri. Sasa nikawa nawaza kwa sauti kwa vile mwajiri wangu yuko kwenye mchakato wa kufunga ofisi jumla muda si mrefu, nikapata...
Habari wakulungwa?
Nakuta tu huko fb kumepamba moto, mara Raptcha afukuzwe na mawe, mara aokolewe mara alaumiwe.
Please help me to understand what's going on?
Asanteni .
--------
Jibu:
Ndugu zangu habari zenu,ninahitaji msaada wa fundi alieko mkoa wa mbeya au kijana yeyote alieko mbeya mwenye uelewa wa kuweka custom rom mbalimbali kwa simu.
Ndugu yangu ana simu aina ya redmi note 9pro 5g chinese version sasa now kumekua na ban ya matumiz ya google services kwa chinese...
Dodoma!
Akizungumza Leo katika kongamano la Muungano jijini Dodoma, Makamu wa Raisi Dr . Philip Mpango amesema Raisi Samia Suluhu Hassan ameelekeza Fedha zilizotakiwa kutumika katika shughuli za maadhimisho ya miaka 57 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zigawanywe pande hizo mbili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.