Habari wakuu,
Naomba msaada kwa anayejua lilipo darasa la lugha ya Kichina Arusha na mawasiliano ya simu ikiwezekana. Nataka nimpeleke mdogo wangu kwa miezi michache wakati anasubiri matokeo ya kidato cha sita.
Natanguliza shukrani.
Hapa ndio utajua anayejua baba wa mtoto ni mama na ndio maana tukasema nani km mama maana mama hazingiziwi mimba wala mtoto ila baba wengi wanalea watoto sio wao.
Mgawanyo wa majukumu huo, Mmoja yupo kwajili ya pesa mwengine yupo kwajili ya mapenzi na shoo.
Ukitaka uujue uchawi weka mashine ya...
Jamaa yangu alinipitia tuende somewhere kusherehekea sikukuu yetu ya Muunganisho wa Tanganyika na Tangapwani.
Alikuja na gari yake mpya Toyota Rumion mwaka 2008 engine ya 1.8 actually hizi gari huwa naziona tu sikuwahi panda au dhania zingekuwa nzuri.
Ndani mambo si mengi saaaana. Ila imetulia...
wakuu habari na Poleni na majukumu
Kuna ndugu yangu amemaliza accounting technician level 2 inayotolewa na NBAA anaulizia namna ya kupata membership namba msaada wenu wakuu
Habari,
kwa anayejua suluhu ya "application failed" kwenye ajiraportal ilihali upo kwenye category sahihi na ulishawahi ku apply awali but for now inagoma mno.
Nani alishapata solution?
Za mchana wana tech,
Jamani wanajf me ni m1 wa watu ambao hupenda kudadisi sana vitu sasa katika pitapita zangu youtube nikaona video za kutengeneza wireless earphone mwenyewe kwa kutumia kale kataa ka remote(remote sensor) na earphone ya zamani.
Sasa naomba kujua kama itafanya kazi, kwa...
Habarini jamani,
Kama kuna mtu anajua jinsi ya kulipia huduma ya NHIF kupitia TIGOPESA naomba maelezo, maana nilisahau kuwalipia madogo, kwenda ofisini kwao uvivu😬
Case in point, video za instagram na TikTok baadhi ya wadada Especially wa Marekani, wanajigamba kupewa hela nyingi na wanaume ndani ya mda mfupi, huku wakiwaona hao wanaume kuwa ni wajinga.
Kwasababu wanatoa hela, sasa sijaelewa which is which, Ina maana kwa mfano nikimpa Tshs. elf 50 mdada...
Habari Wana JF,hivi karibuni Tumefungua Online Media ambayo bado ni changa...inayojihusisha na mambo ya Burudani hivo Tunaitaji Kijana anayeweza kuendesha Akaunti zetu za Online kama
1.Youtube
2.Website
3.Instagram page
4.facebook page
Pia Ajue program za Editing angalau...
Habari Wana JF,hivi karibuni Tumefungua Online Media ambayo bado ni changa...inayojihusisha na mambo ya Burudani hivo Tunaitaji Kijana anayeweza kuendesha Akaunti zetu za Online kama
1.Youtube
2.Website
3.Instagram page
4.facebook page
Pia Ajue program za Editing angalau kidog...Tutafanya...
Wakuu naona kama tumepigwa. Sijui pesa za serikali na mikopo zinaenda wapi. Mimi kama mtanzania wa kawaida najaribu kutupia jicho huku na kule kuona kama kuna chochote cha maana kinaendela hasa miundo mbinu ya barabara na ambayo ina faida kwa wanyonge. Sisi hatupandi ndege kama wao.
Barabara...
Wadau salama? Naomba kwa mtu anayejua hizi Paid Social Media ajaribu kutoa ufafanuzi hapa maana nimefuatwa na raia ananihamasisha kwamba kuna hizo jobs ambazo unazifanya remotely! Na wewe unaendelea na mambo yako mengine huku unapiga mpunga! Lakini kuna kiingilio kwanza cha kama U$ 30 hivi...
Habari wanaJF, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimepita Bookshops kadhaa hapa Dsm nimekosa hicho kitabu,kama kuna mtu anaweza kunisaidia sehemu nikakipata nitashukuru.
Asante kwa msaada wako
Amani iwe nanyi wanaJf,
===
Nilikuwa napitia hotuba na machapisho mbalimbali ya Rais wetu kipenzi Hayati Dk Johnb John Joseph Pombe Magufuli kunajambo naomba wenye ufahamu watusaidie japo na mimi nitachagiza kidogo kwa uelewa nilionao||
===
Kwenye hotuba zake karibu zote Katika kila...
Wakubwa habari za jioni? Poleni na majukumu pia hongereni kwa kazi. Kubwa zaidi Naomba anayejua anisidie hapa. Nauliza lipi ni gari zuri,bora na imara kati ya Subaru Forester, Toyota rumion, Nissan x-trail,.
Upatikanaji wa spare, nakadhalika kwa matumizi binafsi Kama vile kwenda kazini. Pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.