Wakubwa habari za jioni? Poleni na majukumu pia hongereni kwa kazi. Kubwa zaidi Naomba anayejua anisidie hapa. Nauliza lipi ni gari zuri,bora na imara kati ya Subaru Forester, Toyota rumion, Nissan x-trail,.
Upatikanaji wa spare, nakadhalika kwa matumizi binafsi Kama vile kwenda kazini. Pia...