andiko la mradi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mbalizi feedstuff

    JamiiForums Tanzania Naombeni muongozo kuhusu namna ya kuandika andiko la Mradi

    Kwa kweli sina uzoefu wowote kuhusu jinsi ya kuandika andiko la mradi. Kwa sasa ninahitajika kuandika, lakini sijui nianzie wapi wala niishie wapi. Hivyo basi, kama kuna yeyote hapa ambaye ana uelewa au uzoefu na uandishi wa maandiko ya miradi, naomba sana usisite kunielekeza au kunipa muongozo...
Back
Top Bottom