Mbalizi feedstuff
JF-Expert Member
- Feb 23, 2025
- 238
- 269
Kwa kweli sina uzoefu wowote kuhusu jinsi ya kuandika andiko la mradi. Kwa sasa ninahitajika kuandika, lakini sijui nianzie wapi wala niishie wapi. Hivyo basi, kama kuna yeyote hapa ambaye ana uelewa au uzoefu na uandishi wa maandiko ya miradi, naomba sana usisite kunielekeza au kunipa muongozo.
Kama unayo sample ya andiko la mradi au sehemu yoyote ya mfano, unaweza pia kuambatanisha. Itanisaidia sana.
Ahsanteni sana.
Kama unayo sample ya andiko la mradi au sehemu yoyote ya mfano, unaweza pia kuambatanisha. Itanisaidia sana.
Ahsanteni sana.