angalia

Angalia (Tazama) - Neno hili linamaanisha kuelekeza macho kwenye kitu fulani ili kukiona.
  1. Kusoma VETA hakutakusaidia lolote kwenye nchi hii, tatizo ni mifumo wezeshi mibovu. Angalia madereva wa mabasi yanayowakuta kwa ground.

    Nenda kasome tu for your own benefits and risks. Ila kwa ground mambo ni tofauti sana. Kasomee ufundi unaotaka wewe, ila the moment umefungua ka kibanda kako tu, hujaanza kuingiza hata senti 5, TRA hawa hapa. Hata wale walioajiriwa, siku wakikuonesha salary slip zao, utawaonea huruma. Usione...
  2. Angalia kazi yangu kabla na baada, ikikupendeza nicheki.

    Hii ni kazi niliyofanya, picha ni kabla ya na baada ya kufanya kazi. Nilianza kwa kupiga ukuta plasta, nikamalizia kwa kuweka vipande vya tailiz chini. Ukihitaji nipigie 0624254690
  3. Fursa za hela Msimu huu wa uchaguzi. Angalia hapa inayokufaa

    Nimewahi shiriki shughuli za kisiasa directly 2015, 2020 kama Msafirishaji, uchaguzi ni mchakato wenye hela sana. Nimeiuliza CHATGPT namna gani unaweza tengeneza kipindi cha uchaguzi huu wa 2025. Pitia kama kuna namna itakufaa. Ni kweli kwamba mwaka wa uchaguzi huleta fursa nyingi za...
  4. Angalia Zelensky Alivyonywea

    Trump ni Rais wa watu wa Marekani, ni lazima atetee maslahi ya watu wake Hata sisi watanzania tunatamani tupate kiongozi wa kutetea maslahi yetu Nimefuatilia vijana wa Marekani wanampenda sana Rais wao Hawa CNN na BBC wanatudanganya tu
  5. Dharau za Rais wa Ukraine ni za level nyingine, anawakoromea Marekani nyumbani kwao. Angalia video

    Hii dharau na kiburi na kujiamini kwa rais wa Ukraine ni kwa level nyingine kabisa ambayo hainawahi kuonekana Duniani. Zelensky yuko oval ofisi ama ikulu ya Marekani na awajibi Trump na Vance kwa dharau na kiburi cha hali ya juu sana. Trump amesema Zelensky ameidharau sana Marekani tena mbele...
  6. Ukitaka ujue ujinga wa watanzania angalia Azam sasa hivi ishu ni Simba na Azam

    Watanzania mambo ya msingi hawayapi kipaumbele ila mambo ya ujinga ndio wanayapa chapuo.
  7. M

    Amri Kiemba angalia gemu ya Coastal vs Azam sasa hiv uone kama kweli Azam wataweza kucheza na Simba hiyo February 24

    Azam hawajui hata wachezeje hapa Tanga vs Coastal union, sioni mipango yoyote ya wao kupata goli hapa, they are playing as if they have forced to play, hawa msije kusema Simba wamebebwa maana uwanja mzima namuona Fei na Nurdin t yule mmanga aliyetoka Singida Black stars. Butua butua nyingiiiii
  8. Scholarship kwa Waafrika wote angalia nchi yako

    Scholarships now open!! — Curtin University warmly welcomes students from eligible African countries to apply for the Australia Awards Africa Scholarships for our Master's degrees commencing in 2026. Curtin has a developed a holistic platform for engaging with the African continent and...
  9. T

    Angalia umri wako ujue kundi lako

    Kumbuka umri wako Vyombo Kumbuka kikundi chako cha umri leo katika mwaka huu 2025 usije ukasahau kusudi lako maishani! Umri wa nyongeza 1925 - miaka 100 1926 - miaka 99 1927 - miaka 98 1928 - miaka 97 1929 - miaka 96 1930 - miaka 95 1931 - miaka 94 Umri wa jua 1932 - miaka 93 1933 - miaka 92...
  10. Angalia na Useme neno ( Symbolism ).

    Mkitoka kuswali ndugu zangu mje mtueleze Mola gani anayemuomba kijana wenu
  11. Angalia picha ya nyumba hii toa ushauri

    Nyumba hii ina 1 Master bedroom LIving room KItchen Dinning Store Public toilet Kama una ushauri unaweza kutoa ushauri Kama unahitaji tukuchoree raman yenye muonekano huu nichek 0743257669 Turudi kwenye mada unaonaje hii design
  12. Kumbe mlikuaga mnakula misaada ya Marekani alafu mkija humu JF mnawaita mashetani mara sijui firauni, etc 😂

    https://youtu.be/ShzDBSbPbm4?si=F3MM9-KNiFf54Oqm
  13. A

    Je kunawezekana kuwepo wakati ujao kwenye internet?

    Je kunawezekana kuwepo kwa tomorrow kwenye kitu kinaitwa habari au later today? ? Wajuvi wa mambo mniambie
  14. KAKA angu pita kwenye maduka ya nguo za ndani angalia rangi uzipendazo si unajua size yake kama hujui muulize wala usimwambie kuwa unamnunulia chupi

    KAKA angu pita kwenye maduka ya nguo za ndani angalia rangi uzipendazo si unajua size yake kama hujui muulize wala usimwambie kuwa unamnunulia chupi au blazia, wewe nunua rangi uzipendazo kumuona amevaa📌 Unaweza kuchukua 20k ukanunua nusu dozen ya chupi kiwango ukampeleke kipenzi chako au...
  15. Wadau wa ujenzi pitia hii toa maoni.

    Hii ni idea ya ramani ya nyumba. Mdau naomba uipitie utoe maoni yako wapi pa kuboresha. Natanguliza shukrani.
  16. A

    Angalia picha ustaajabu hapo chini

    Ule mradu wetu wa bwawa umefika asilimia ngapi?
  17. Angalia umri wa afisa mpya wa mawasiliano/habari wa ikulu ya Marekani (White House) pamoja na elimu yake! Njoo bongo!

    Trump amemchagua afisa habari wa ikulu ya Marekani kwa muhula mpya unaokuja. Ni afisa kijana na siyo mara ya kwanza kwa nafasi yake! Angalia umri wake pamoja na elimu yake, hatishi sana kielimu (mtazamo finyu wa watanzania). Unahisi nini kimembeba?? Pamoja na uzoefu wake akiwa ikulu plus...
  18. Kuna njia nyingi sana za kupata mke mwema. Angalia usifanye kosa hili utajuta

    Binti aliyelelewa na mama peke yake mara nyingi Huwa hawana utii Kwa Waume zao. Sikilizia hapa. PIA SOMA - Je wazijua sifa kumi (10) za mke mwema
  19. Angalia hii video uchangie, je unajifunza nini kuhusu bedroom politics?

    Katika mkutano wa COMESA, mke wa rais wa Burundi alifika kwa gari la kifahari aina ya limosine, jambo lililowashangaza wengi. https://www.youtube.com/watch?v=XS4TEkbAsZ0
  20. Video: Angalia wanachofanyiwa Wanajeshi wa Israel na Hezbollah

    Wanaukumbi. Mungu ni mkuu, Mungu ni mkuu, Mungu ni mkuu, na sifa njema ni zake. Tazama Mujahidina wa upinzani wakipambana kwa mbali na jeshi la wasomi wa Kizayuni waliokuwa wakiingia, na wengi wao waliuawa kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu. Maombi yako kwa Mujahidina wa Gaza na Lebanon Ewe Mola...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…