Licha ya kuwa Viongozi wengi wa Kiserikali wamekuwa mstari wa mbele katika kusisitiza usafi kwenye mazingira ya ofisini na hata kwenye makazi ya watu lakini upande mwingine wapo ambao huwa wanasahau kujitazama wao.
Hivi ndivyo hali ilivyo katika Vyoo vilivyopo Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es...
Kuanzia Oktoba 14 na kwa siku chache zinazofuata unaweza kuangalia Kimondo mkia ATLAS Tuchinshan upeo wa magharibi mara baada mara baadanya machweo angani palipooneshwa katika picha hizi za 14-19 Oktoba.
Kwa hiyo kuanzia usiku huu wa Jumatatu tarehe 14 Oktoba ambapo sayari Zohai itafichika...
WATCH TONIGHT - Lunar Occultation - Moon will hide Saturn today October 14 from 8 pm to 9:30 pm
ANGALIA LEO USIKU - Sayari Zohali kufichwa na Mwezi leo Oktoba 14 kuanzia saa 2 usiku hadi saa 9:30
English version is below the Kiswahili information
Sayari Zohali kufichwa na Mwezi leo usiku...
Picha linaanza kwa ndege kunusa hatari! Mpe Mungu maua yake!
Angalia urefu wa hilo wimbi! Mpe Mungu maua yake!
Kisha mwamba Milton akatua! Mpe Mungu maua yake!
https://twitter.com/home
Nb: Watu wanakimbia kuokoa roho zao na siyo fedha! Mpe Mungu maua yake!
Tanzania tunachukulia vitu poa sana.
Weka VPN ingia BBC iPlayer angalia kipindi kinaitwa ‘war games’ uone jinsi usalama wa taifa wa marekani walivyoogopa hii scenario na kutaka kujifunza hii situation isitokee tena kwa siasa za demagogue na wapotoshaji.
Sasa endeleeni kuwachekea...
Kuna kamanda ameuawa na Hezbollah huko Lebanon, ukiangalia umri wake halafu ndiyo kiongozi, napata shida kidogo! Wajuzi wa vita tupeni elimu!
Israeli commander killed in Lebanon, Israel says
The Israeli military says an army squad commander has been killed in Lebanon.
It's the first combat...
Ndugu zangu Watanzania,
Ukiachana na uchapakazi , uzalendo na kubadilika kulingana na Mazingira kwa Mheshimiwa Jenista Mhagama.
Lakini ukweli unabakia kuwa heshima na unyenyekevu wake ni miongoni Mwa vitu vinavyomfanya kujenga ushawishi kwa kila Rais anayeingia Madarakani kumuweka katika...
Kama head inavyojieleza, hivi kuna uwezekano mdaiwa akaangalia deni analodaiwa HESLB pasipo kwenda ofisini kwao?
Na kama hakuna huo uwezekano kwanini wasiweke mifumo online watu tukawa tunafuatilia mwenendo wa madeni yetu?
SOME ADDITIONAL CONTENTS.....
JAMANI NIMEINGIA KWENYE ACC YANGU KAMA...
Mimi ni mtu ambaye ninatumia computer for hours basi kutokana na kuumwa kwa kichwa, macho kuwasha (not all tge time but mara nyingi huisi macho kukaza)
Nilipima nikaonekana nipo fresh(mimi naona poa tu) ila ni alergy na mwanga
Dokta akasema ninunue miwani ya mwanga
Nilikaa baadae nikaenda...
1. Kushambuliwa kwa Lissu: Kimya mpaka sasa mwanzo Lissu akiwa Ubelgiji walisema hatoi ushirikiano. Sasa Lissu yupo na amewataja kwa majina wabaya wake lakini serikali kimya hakuna hata panya aliyekamatwa.
2. Kutekwa na jaribio la kumuua Sativa: Waziri mwenye mashavu makubwa kasema eti Sativa...
Kwani kuukubali ukweli kuwa kila kitu kina mwanzo na mwisho ni huwa ni ngumu?? Huu ukatili wote wa nini? Halafu wote wanaujiuguza majeraha!
Ugandan athlete in hospital after Kenya petrol attack
Ugandan athlete Rebecca Cheptegei is in a critical condition in a Kenyan hospital, after allegedly...
Ushawahi kujiuliza wanasiasa mfano mawaziri wana utajiri kiasi gani? Je unajiuliza kwanini matajiri wakubwa duniani wanaingia kwenye siasa? Siyo nchi za kiafrika tu, hata Ulaya?Fuatana nami nikupe uhondo!
Hivi majuzi Rais wa Kenya William Ruto aliteua majina ya mawaziri wateule, hii ni baada ya...
Mwezi wa kwanza: Sasa ndugu yangu unajua kwanini nimekwita tukutane hapa?
Nepi: Hapana ndugu yangu, hebu niambie..
Mwezi wa kwanza: Mimi nina nia ya kupambana na yule mama katika kinyang'anyiro cha kumpitisha mgombea wa chama katika uchaguzi mkuu, hivyo kama katibu mwenezi mstaafu, ninaomba...
Sijui kama leo unaweza kuwa na wazo kama la Masoud kutaka kuzalisha kitu chochote cha kiubunifu na serikali yetu pendwa ikakuunga mkono kwa support kama wanayopewa wawekezaji wengine, sijui!!.
Basi hapo majuzi jamaa yetu huyu mtangazaji alipokuja na ile idea yake nzuri na kigari chake huku...
Hii ni risasi iliyomkosa mgombea urais wa Marekani kupitia chama cha Republican Donald Trump. Nawaza kule kugeuka geuka ndiyo kulimsaidia! Au mnasemaje CIA, FBI, MOSSAD na MI6 wa bongo??
Source: Sky news.
Kiukweli ndani ya Africa mashariki na Kati hakuna nchi yenye wananchi wenye UZALENDO NA uchungu na nchi Yao kama wakenya.
Hawa jamaa wamekunywa maji ya bendera sio poa, nchi nyingine MASKINI na zisizo na UZALENDO NA DEMOCRACY ya kweli zinanatakiwa ziangalie WAKENYA.
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 🔥🔥🔥
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.