Gazeti La Dunia
Pingpong porini na Savimbi
Mwandishi wa makala haya, Ahmed Rajab, akiwa kwenye handaki eneo la Jamba, Angola, ilikokuwa kambi ya kijeshi ya kundi la waasi la UNITA. Kunradhi kwa mwonekano wa picha. Mazingira ya ndani ya handaki yamefinya mwonekano. Picha kwa hisani ya Ahmed...
Wachungaji wawili wa dhehebu la kidini wamekamatwa na Maafisa wa Huduma ya Upelelezi wa Jinai (SIC) wakiwa wamevaa sare nyekundu zinazofanana na zile zinazovaliwa na Majenerali wa Jeshi.
Msemaji wa SIC, Manuel Halaiwa amenukuliwa akisema wawili hao watashtakiwa kwa matumizi haramu ya sare za...
Mahakama ya Juu (ASC) imetoa agizo la kuzuiwa kwa Mali za Isabel dos Santos kama ilivyoombwa na Wizara ya Umma baada ya kudaiwa kuwa zimetokana na #Ubadhirifu na #Ufisadi wa Mali za Umma.
Taarifa hiyo imeagiza kuzuiwa kwa Fedha katika Benki zote, Akaunti za Amana za Muda, Maombi yote ya Fedha...
Mwanasheria Mkuu, Helder Pitta Groz amethibitisha taarifa za Shirika la Polisi wa Kimataifa (Interpol) kumtafuta na kumkamata Isabel dos Santos, mtoto wa Rais wa zamani wa nchi hiyo.
Isabel ameshtakiwa kwa Matumizi Mabaya ya Mali na Ubadhirifu wa Fedha za Umma wakati Mwenyekiti wa kampuni ya...
Hafla ya uzinduzi wa Eneo la Viwanda la Huawei imefanyika jana jumanne wiki hii katika mji mkuu wa Angola, Luanda, na kuhudhuriwa na rais wa nchi hiyo, João Lourenço.
Kwenye hafla hiyo, Angola na kampuni ya Huawei zilisaini makubaliano kuhusu kuwaandaa watu wenye ujuzi wa kidigitali. Kutokana...
Yanga imeifunga Club kutoka Tunisia ambayo inashiriki Kombe la Dunia mwaka huu, na ni timu ambayo inafanya vizuri sana AFCON, na timu za taifa kutoka nchi za kiarabu kama Egypt, Tunisia, Morroco, Algeria huwa zinaundwa na wachezaji kutoka ligi ya ndani. Tofauti kabisa na timu za taifa za nchi...
Wololooooooooo haiya haiya haiya, watetezi wa Kanjanja Senior mnaruhusiwa kuja kuporomosha matusi na kudai nina chuki binafsi.
Kweli ulitarajia mtu ambaye huwa unachukia safari zake na lipstick yake una bifu nayo akuchekee tu kama ndalakyuya, wenye akili walijua hukuwa pale kwa nia nzuri.
Kama...
Haki ya Mungu walahi Mungu amlinde tu Barbara Gonzalez, ana maadui wa wazi wazi wa Simba wako ndani ndani kabisa wakishirikiana na makanjanja mazoefu.
Lile jitu linalokesha kusambaza habari za uongo za Simba kushoto na kulia liko Angola tayari na inavyoonekana hadi mipango ya ndani ya Simba...
Na kama ni takwa la kiufundi mwambieni huyo aliyeamua hivi kuwa hii ni hatari na itatugharimu kimatokeo.
Ningewaelewa Simba S.C. (hasa kiufundi) kama wangeenda Angola siku tatu kabla ila hii ya kwenda siku moja kabla ya mechi (yaani Jumamosi na kucheza Jumapili) ni hatari kimchezo...
By ELIUS KAMBILI
NILIKUWA pale Luanda, Angola na Namungo iliyokwenda kucheza na Clube Desportivo 1 de Agosto mwaka jana. Lakini wageni hawakugusa mpira hata wa mazoezi kutokana na vihoja kutawala nje ya Uwanja.
Simba msimu huu imepangwa kucheza na klabu hiyo katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa...
Leo natabiri mapema hapa kwa niliowaona wa kule Angola na wa Sudan ama Mafahari Wawili Wakatolewa ( Wakafurumushwa ) Wote au Mmoja wao tu ndiyo akabahatika Kufuzu Kundini lakini siyo Wote kwa pamoja ( kama Mafahari ) ndiyo watapita.
Wengine tumeumbwa kuwa Wakweli halafu tuna Macho ya Kimpira...
Mahakama ya kikatiba ya Angola imekataa madai ya Chama cha Upinzani cha #UNITA ya kutaka kubatilisha matokeo ya Uchaguzi Mkuu ww Agosti 24, 2022 kutokana na madai ya Uchaguzi huo kuwa batili
Mahakama imesema malalamiko ya UNITA hayakukidhi matakwa ya kuruhusu chombo hicho cha kisheria...
Chama Kikuu cha upinzani UNITA, kimewasilisha pingamizi la kisheria dhidi ya matokeo ya uchaguzi Mkuu wa Agosti 24 wa wiki iliyopita na kusema kuwa Uchaguzi huo ulikuwa na dosari
Chama tawala cha MPLA - ambacho kimekuwa madarakani tangu 1975 - kilitangazwa kuwa mshindi wa Uchaguzi huo kwa...
Chama Tawala cha Marxist People's Movement for the Liberation of Angola (MPLA) kimepata ushindi wa 51.17% baada ya kura zote kuhesabiwa kikifuatiwa na National Union for the Total Independence of Angola (UNITA) kilichopata 43.95%.
Kiongozi wa UNITA, Adalberto Costa Junior amekataa matokeo hayo...
Marais Wastaafu Dkt. Jakaya Kikwete wa Tanzania na Joaquim Chissano wa Msumbiji kwa pamoja wameungana na Timu mbalimbali za Kikanda na za Kimataifa za Waangalizi wa Uchaguzi wa Angola kutoa tamko kuhusu Uchaguzi Mkuu wa nchi hiyo uliofanyika tarehe 24 Agosti 2022
Chama tawala cha Angola kinatazamiwa kurefusha utawala wake kwa miaka mingine mitano, na kukipa jumla ya miaka 52 madarakani. Upinzani mkuu ulisema utapinga matokeo ya kura ya Jumatano.
Rais wa sasa Joao Lourenco wa chama cha People's Movement for the Liberation of Angola, kinachojulikana kwa...
Tume ya Uchaguzi imesema kuwa Chama cha MPLA kinaongoza baada ya matokeo ya mapema ya uchaguzi wa Rais na Wabunge uliofanyika Agosti 24
Tume hiyo ilisema kuwa kutokana na theluthi moja ya kura kuhesabiwa, Chama cha Rais João Lourenço kimepata zaidi ya asilimia 60 huku Chama cha Upinzani cha...
Tchize dos Santos, mtoto wa aliyekuwa Rais wa Angola, Eduardo dos Santos amekata rufaa dhidi ya uamuzi wa Mahakama ya Hispania iliyoagiza mwili wa Eduardo ukabidhiwe kwa mjane wake, Ana Paula ili urejeshwe Angola kwa maziko.
Dos Santos aliyeshika madaraka 1979-2017 alifariki Julai 8, 2022...
Hatimaye Watoto wa rais wa zamani, José Eduardo dos Santos wamekubali baba yao azikwe mjini Luanda, lakini tu baada ya uchaguzi mkuu wa Agosti 24.
Hapo awali familia hiyo ilipinga Uamuzi wa Serikali kuandaa mazishi hayo wakidai Baba yao alitaka kuzikwa Mjini Barcelona alipofariki Julai 8, akiwa...
Inaelezwa kuwa mzozo mkubwa umejitokeza kati ya Serikali ya #Angola na Familia ya Rais #JoseDosSantos baada ya Rais João Lourenço kuamuru kuundwa kwa tume ya Serikali kupanga mazishi ya kitaifa kwa mtangulizi wake, na kusema anategemea kila mtu kuhudhuria ikiwa ni pamoja na familia yake iliyopo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.