angola

  1. beth

    TANZIA Rais wa zamani wa Angola, José Eduardo dos Santos afariki dunia

    José Eduardo dos Santos aliyeongoza Angola kwa takriban miaka 40, kuanzia mwaka 1979 - 2017 amefariki dunia akiwa na miaka 79 Taarifa ya kifo chake zimethibitishwa na Serikali ya Angola, ikielezwa amefariki akiwa Hospitalini Barcelona Nchini Uhispania kutokana na maradhi ambayo hayajawekwa wazi...
  2. JanguKamaJangu

    Rais wa zamani wa Angola Dos Santos yupo mahututi hospitali

    Rais wa zamani wa Angola, Jose Eduardo Dos Santos yuko katika hali mahututi hospitalini Jijini Barcelona Nchini Hispania, licha ya kuwa ugonjwa unaomsumbua haujawekwa wazi. Dos Santos, 79, aliyekuwa madarani mwaka 1979-2017, amekuwa katika matibabu tangu 2019, inaelezwa kuwa afya yake imezidi...
  3. beth

    Angola yadai kurejesha zaidi ya Dola Bilioni 11 zilizoibwa Serikalini

    Waziri wa Sheria Nchini humo, Francisco Queiroz amesema ndani ya miaka mitatu iliyopita Serikali imerejesha Mali na Fedha zinazofikia Dola za Marekani Bilioni 11.5 zilizoibiwa kutoka Serikalini na kufichwa katika Mataifa mbalimbali yakiwemo Uswisi, Uingereza na Singapore. Baada ya kuingia...
  4. Kichuguu

    Angola Pia Wanajua Kiswahili?

    Nimeangalia hii documentary ya mazishi ya Savimbi, nikagundua kuwa kuna wakati (kuanzia dakiaka ya 3:29) walikuwa wanaimba wimbo wa kwaya kiswahili. "Mungu ni Mwema". Je nako wanaongea Kiswahili?
  5. Echazzy

    Machache kuhusu kabila la Mumuila nchini Angola

    Pichani ni kabila la Mumuila kutoka nchini Angola Kabila hili lina urembo wa aina yake na wa kipekee haswa. Wanawake katika kabila hili husiliba nywele zao na aina fulani ya msago wa rangi nyekundu mithili ya samli mafuta haya wenyewe huyaita ‘Oncula’ Halafu huchanganya na mafuta mengine kutoka...
  6. B

    Katibu Mkuu wa CCM akutana na Balozi wa Angola nchini

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo amefanya mazungumzo na Balozi wa Angola nchini Tanzania Mhe. Sandro de Oliveira Mazungumzo hayo yamefanyika leo tarehe 09 Septemba, 2021 Makao Makuu ya CCM Dodoma, ambapo Balozi aliambatana na mwakilishi wa Chama Tawala cha Angola...
  7. Shadow7

    Watu 12 wafariki DR Congo kutokana na mgodi uliovuja sumu Angola

    Karibu watu 4,500 wameugua kusini mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kufuatia kuvuja kwa sumu kutoka kwa mgodi wa almasi katika nchi jirani ya Angola, waziri wa mazingira anasema. Eve Bazaiba alisema watu 12 walikuwa wamefariki dunia. Alisema kuwa DR Congo itauliza fidia ya uharibifu...
  8. Sky Eclat

    Queen Nzinga of Angola

  9. K

    #COVID19 Vita dhidi ya COVID-19 Angola imetuumbua, Balozi awajibike?

    Ndugu zangu tunazidi kuumbuka kuhusu janga la Corona. Hadi niandikapo uzi huu, msimamo wa Serikali ya Rais Magufuli (si ya wananchi wa Tanzania) ni kwamba hakuna COVID-19 isipokuwa "changamoto ya upumuaji" hivyo basi ni dhambi ya mauti kutamka kuwa kuna "korona" Tanzania hata kama tunapukutika...
Back
Top Bottom