app store

An app store (or app marketplace) is a type of digital distribution platform for computer software called applications, often in a mobile context. Apps provide a specific set of functions which, by definition, do not include the running of the computer itself. Complex software designed for use on a personal computer, for example, may have a related app designed for use on a mobile device. Today apps are normally designed to run on a specific operating system—such as the contemporary iOS, macOS, Windows or Android—but in the past mobile carriers had their own portals for apps and related media content.

View More On Wikipedia.org
  1. Msaada kupata App bora ndani ya App Store zinazopatikana pia Playstore

    Habari wana jukwaa, ndani ya playstore kumekua na app (utiriri wa apps) nyingi ambazo zingine kimsingi wala hazina ufanisi au hata hazifanyi kazi kabisa. Lakini kiuhalisia ndan ya Apple store wao app zao ni chache ila zinaufanisi kwa kile kilichokusudiwa,sasa basi kupitia uzi huu tujuzane app...
  2. M

    Nimesahau password ya app store nofanyaje

    Wakuu nashindwa download application baadhi baada ya mim kusahau password ya app store nifanyaje ili niweze kupata password
  3. Msaada wa kurestore App store

    Wakuu nimepoteza simu ninayotumia sasa nina kimeo cha Oppo A57 imebidi kinistiri kwa muda lakini sioni app store ili niweze kuziupdate apps kama Whattsapp na mimi si mtundu kwenye angle hiyo naomba muongozo.
  4. K

    KERO NSSF wametoa application yao kwenye App store

    Nssf ilikua na application ambapo mwanachama unawezo wa kuona taarifa za michango yako , Kama statement nk , Ila hivi karibuni wameitoa , sjajua kama play store bado ipo. Kulikoni, kwa nini itolewe, ilkua inaleta transparency kwa wanachama.
  5. W

    Epuka kupakua Application nje ya 'Play Store' na 'App Store'

    Hakikisha unapakua Application kutumia 'Play Store' na 'App Store' Kupakua 'Application' nje ya Play Store na App Store: - Kunaweza kusababisha "virus" kwenye vifaa vyako kama Kompyuta na simu - Kusababisha kudukuliwa kwa vifaa vyako Kupakua 'Application' nje ya Play Store na App Store...
  6. App Mpya ya JamiiForums: Fuata hatua hizi

    Edited on Feb 14, 2024 Android users: Follow 👉🏾 DOWNLOAD JF APP iOS Users Users: Follow DOWNLOAD JF APP
  7. Programu ya VK yaondolewa App Store, Urusi yataka sababu

    Mdhibiti wa Mawasiliano ametaka Kampuni ya Apple kujieleza baada ya ‘Applications’ zinazoendeshwa na Kampuni ya Teknolojia inayodhibitiwa na Serikali ya Urusi, VK, kuondolewa kwenye ‘App Store’ VK inaendesha Mtandao Mkubwa zaidi wa Kijamii Nchini humo wa Vkontakte, wenye watumiaji zaidi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…