Ni muda wa TCRA kulazimisha (apple na google) waruhusu malipo nje ya app store (Marekani wameweza)

stakehigh

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2019
Posts
40,702
Reaction score
41,213
Hatimae mahakama za marekani zimeamuru apple kutolazimisha wateja wake kufanya malipo kwa lazima kutumia mifumo yao ya in app payments ambayo wanakata 30% kwa kila mwamala, hivo basi kwa tanzania tuna njia zetu bora sana za malipo za mitandao ya simu, ni muda mwafaka sasa wa TCRA kufikiria hili swala: asilimia 30 ni nyingi sana

TiiSiiAraEi hii hii ya Bi Kizimkazi? ambayo ipo busy kufungia X ila Ikulu na Tanpol wanatumia VPN waliyoipiga marufuku
 
siasa za upinzan zmekukolea sana mpaka vitu vya kuchangia vya kutumia akili unaweka mzaha
 
Oops sorry, kumbe mtandao wa X haujafungwa?
wangekuwa wanawaza ki-akili kama unavyotaka wewe wasingewafungia X na kusababisha maelfu ya vijana wanaotegemea mitandao kupata ajira na kulipa kodi!
 
x sku izi inatoa ajira 🤣 🤣 , yaani wewe unafurahia watu kchapisha conent za kipumbavu ili elon awalipe
 
u-chawa unakusumbua!

kaoge kwanza uondoe uchafu wa magamba ya kijani
 
x sku izi inatoa ajira 🤣 🤣 , yaani wewe unafurahia watu kchapisha conent za kipumbavu ili elon awalipe
Kumbe hata wewe ni wale wale mabozozo nilitaka nishange nzi gani wa kojani anajifanya ana akili?
 
x sku izi inatoa ajira 🤣 🤣 , yaani wewe unafurahia watu kchapisha conent za kipumbavu ili elon awalipe
Aisee kweli kabisa kwa akili yako timamu umesema hivi ?...kwanini usingeuliza kwanza? Na unamcheka jamaa alosema x wanatoka ajira. Are you for real ?
 
Back
Top Bottom