application

  1. Wanafunzi wa vyuo na application ya AI ya chatGPT! Watoto wetu siku hizi hawafikirii kabisa!

    Kuna application ya artificial intelligent inaitwa chatGPT. Sasa hivi wanafunzi wetu hawafikirii! Mzungu katumaliza kabisa! Kila kitu anaulizwa huyu jamaa na yuko vizuri kila idara! Tunaingia kizazi tegemezi!
  2. F

    Erasmus Mundus GOALS Scholarship 2025/27: A Fully-Funded Master's Degree in Sports Management: Application assistance will be given

    Navigate www.researchlinktz.com and view the "Opportunities' page to see this scholarship. If you want to apply we can give assistance. You can write to info@researchlinktz.com or see contacts in the website above.
  3. We have reached the peak of invention we are now on application, and that is bad for western world, specifically USA.

    The great power of the western world particularly USA was based on technology, the famous silicon valley. For years, the USA has been the center of inventions. These inventions gave the western world the upper hand on various crucial part of life like economy, communication, energy...
  4. Download kitabu cha "Guidance and counselling in education institution" na ict and computer application for teachers(pdf)

    VITABU HIVI NI VIZURI KWA WALIMU, NA WANAFUNZI WANATAKA KUA WALIMU VITAWASAIDIA
  5. M

    Application yangu hii hapa kwa sasa ni ya android ipo testing naomba ushauri wako..

    Hello wakuu nimetengeneza application ya simu inayohusiana na Real estate jisajili tumia weka comments...
  6. Kuna aliyefanikiwa kufungua application ya Ardhi Kiganjani?

    Habari wakuu, Kuna hii application ya Wizara ya Ardhi inayoitwa ardhi kiganjani kuna aliefanikiwa kufungua account maana inasumbua sana sijui tatizo nini nataka nifanye maombi ya hati.
  7. Benki Kuu ya Tanzania (BoT) yaanika Application 69 zilizofungiwa kwa utoaji mikopo kidijitali bila leseni

    Benki Kuu ya Tanzania inapenda kuufahamisha Umma kuwa imebaini kuwepo kwa Majukwaa na Programu Tumizi 'Applications" zinazojihusisha na utoaji wa mikopo kidijitali bila ya kuwa na leseni na idhini kutoka Benki Kuu ya Tanzania. Aidha, Majukwaa na Programu hizo zimeshindwa kukidhi matakwa ya...
  8. Samia Suluhu awa Rais wa Kwanza nchini kumiliki application yake kwa ajili ya kazi Siasa na Uongozi

    Nimepita katika pitapita zangu mitandaoni, pale mjini Instagram nakutana na page inayoitwa @samia.app nikawa natazama ajali ya kariakoo ambayo bwana Alikiba alikuwa anahojiwa na page hiyo ya Samia.app kuhusu ajali hiyo ambayo yeye pia alifika kutoa msaada na kuangalia namna zoezi linavyokwenda...
  9. Hivi siwezi kupata application kwa ajili ya kufuatilia biashara yangu ya miamala?

    Aslaam, Wakuu hivi hakuna app, au siwezi kupata application ambayo itanifanya kufuatilia biashara yangu ya MIAMALA? Nawaza kufanya biashara ya uwakala wa pesa kupitia laini za simu na bank, lakini nataka nimtumie kijana wakati mi mwenyewe nikiwa kwenye shughuli zingine za kujiongezea kipato...
  10. Application za kukopesha za simu, kuhack majina ya simu za mteja bila ruhusa tofauti zile ambazo umewapa kama wadhamini

    Udharura wakati mwingine hutupata sisi binadamu hata wakati mwingine uwe na mali za wingi wa kiasi gani lakini Udharura ipo siku utakupigia hodi. -My question is that, wakati unapoazima fedha kwenye kampuni hizi, hukuomba namba yako ya simu, na namba mbili, za watu ambao huwa kama wadhamini...
  11. SOFTWARE Tunatengeneza na kudesign logo, website pamoja na application kwa gharama nafuu

    Je? Unamiliki biashara ya aina yoyote na ulikuwa unahitaji kufikia wateja wengi,kujitangaza pia kuuza bidhaa zako kupitia njia ya kidigitali. Wasiliana nasi Leo tutakutengenezea website kwa gharama nafuu ya Tsh; 300,000/tu. Gharama zinajumuisha; Free .co.tz domain/year Free hosting for 6...
  12. Visa Application & Appointments

    Services offered: 1. Visa Consultation: We provide guidance on visa requirements, eligibility criteria, and application procedures for various countries. 2. Application Assistance: We help applicants complete visa application forms accurately and gather required documents. 3. Documentation...
  13. Kuna application inayoweza kurudisha contacts zilizofuta.?

    Nimejaribu kutafuta playstore badluck nilizokuta nazo zimeshindwa kurecover namba ambazo nilizofuta intentionally.
  14. F

    Masters and PhD scholarships for international students. Researchlink International offers application assistance to qualified and serious students.

    You must be a graduate and are serious in making impactful application to these prestigious scholarships from UK and Denmark. ResearchLink International ResearchLink International offers technical assistance to a few serious students from Tanzania. Visit the organization website and go to the...
  15. K

    Itengenezwe application tupige kura kwa Simu zetu tusipotezeane muda

    Hivi wafrika ni lini tutadhamini muda wetu Kwenye foleni saa kadhaa eti nasubiri nimpigie diwani kura. Twendeni na technology inavyotaka watu wapige kura wakiwa nyumbani ofisini Serikali inapoteza fedha nyingi eti kuweka mawakala waandikishe watu wachague wenyeviti!!!! Hii SI sawa zaidi ya...
  16. Wakali wa IT Programming, wazee wa Games na application za computer zinazohitaji machine ya maana hii hapa sio ya kukosa

    SOLD
  17. F

    University and college graduates assistance to scholarships, research planning, job application and grant, thesis organization data analysis.

    We're a registered Non-Governmental Organization dedicated to fostering professional collaboration, career advancement and job creation among Tanzanian professionals. ResearchLink International welcomes you to explore various opportunities. Do you have any research and grant proposals? Do you...
  18. Applicant's Application Status Information: A-LEVEL/DIPLOMA SPONSORSHIP FORM Not Stamped.

    Habari zenu wakuu, kama inavyosomeka katika title hapo juu, hizo ni habari za mdogo wangu ambaye ameomba mkopo kupitia bodi ya mikopo kwa ajili ya elimu ya juu(heslb). Swali tunalojiuliza hiyo stamp inayohitajika ni stamp ya taasisi gani. Mwenye kujua tafadhali atujuze. Asante.
  19. F

    University students: ResearchLink inatoa usaidizi katika mambo mbalimbali ikiwapo data analysis, thesis planning, scholarhip application, etc

    Fuatilia link ya shirika la ResearchLink International kupata usaidizi kwenye mambo mbalimbali ya kitaaluma na hata scholarship application assistance.
  20. Content Creators mnaoanza (Episode III): Unatumia Application au Software gani kwa Editing?

    Baada ya kuona Episode I: Kuchagua Camera, Episode II: Kuset light, sasa simply nikukumbushe Kufanya Editing. Edit ni process ndefu, na inachukua muda kujifunza. Ila hainamaana uogope, kikubwa keep on trying kila siku kuimprove quality ya video na audio yako. Software na Apps ambazo unaweza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…