Nimewahi tumia dating app moja huko zamani ilikuwa inakitu natamani nikipata kwenye application ingine..
Ilikuwa kama kuna member wa hiyo site near you inakupa alert. Au ume bump na mtu eneo moja.
Inakwambia fulani yupo karibu na wewe right now. Au mko eneo moja...
Nimetamani kama kuna...
Naomba mwenye huo ujuzi wa kuinstall aps mbalimbali kwenye pc, mfano dictionary,bible nk. Au kama kuna link ya kuinstall hizo Apps naomba msaada na maujuzi zaidi, kumbuka sihitaji kuinstall bluestalk maana kwenye pc yangu inazingua sana yaani bluestalk inakuwa slow sana kuload engine...
Habari wanabodi? Ni matumaini yangu makubwa kuwa hamjambo humu ndani na manaendelea na ujenzi wa Taifa letu na harakati za kusaka mkate wa kila siku.
Bila kupoteza muda, ni kwamba kumekuwa na wimbi kubwa la wananchi kulalamika kuhusu usumbufu pindi wanapoenda kuomba kujisajili na namba ya mlipa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.