Hii inasaidia sana kuwa productive na kuweza kufocus na mambo muhimu badala ya kukesha instagram au ukicheza candy crush saga.
Ingia settings
bofya screen time
turn on screen time kama hujawasha
bofya App limits
bofya add limits
chagua application yako
kisha set muda wako unaotaka utumie hiyo...
Job no: 496269
Work type: Regular Full-Time
Location: Tanzania – Dar es Salam
Categories: Strategic Information/Surveillance/Monitoring & Evaluation
ICAP at Columbia University, a global health leader situated within the Columbia University Mailman School of Public Health in New York City...
Wakuu natumaini mu wazima wa afya, karibu hapa tujadiliane kidogo kuhusiana na maswala ya Android application development.
Kuna baadhi ya watu wamekuwa wakihitaji kuingia kuna Android Development lakini wanakosa pa kuanzia sasa hapa nazani patawafaa sana.
Natambua kuna nyuzi kadhaa zimewahi...
POST DESCRIPTION
I. POSITION INFORMATION
SVN
IOM/DAR/009/2022
Position title
CVAC Client Service Assistant (Canada Visa Application Centre)
Position grade
G4
Duty station
Dar es Salaam
Durations
Six (6) Months Special Short-Term with possibility of extension
Position number
N/A...
Habari wadau, nahitaji muongozo wa kutengeneza desktop application yenye sifa zifuatazo.
Iwe networked .
Aina ya database nayoweza kutumia.
Na vitu vingine muhimu katika flow nzima.
Nafanya project ya kuhitimu.
Nawasilisha na asanteni.
Habari za mwaka mpya waungwana.
Natafuta msichana wa kufundisha watoto basic computer application. Hakuna masharti mengi ni haya tu.
1. Uwe Dar es salaam
2. Ujue computer applications (Basic)
3. Uwe na uwezo kumuelekeza mtoto
Kazi ni ya muda tu ila panapo majaaliwa inaweza kuwa ya kudumu...
Habari wadau
Hivi nifanye nini ili niweze kuandika kisahili vzr katika Microsoft Office application km ms word nakadhalika ukidownloadi Kiswahili languange pack na ukiiweka humo bado maneno mengi hayamo je kuna extension yoyote inaweza kusaidia katika hili
Natanguliza shukrani za dhati...
HESLB Four Days For 2982 Applicants To Complete Loan Application Procedures The Higher Education Student Loans Board (HESLB) has given four days from October 4-7, this year to 2,982 students who applied for loans in 2021/2022 to make adjustments to complete their application procedures.
For...
Wakuu habarini za saa hizi.
Husika na mada tajwa hapo juu... Mimi ni miongoni mwa walioomba mkopo, lakini kuna swala linanitaniza kidogo..
Juzi siku ya Jumatatu, nilipokuwa natembelea GOOGLE, kitu cha kwanza nilichokutana nacho kilikuwa kinasema hivi.. (YOUR APPLICATION FORM WAS VERIFIED AND...
Habari ya mchana,
Kwa wana it wote lakini kwa upande wakutengeneza mambo haya
Mobile Application
Desktop Application
Website
Kama umewahi kutana na changamoto ya kazi kushindikana kwa vitu hivyo au unayo kazi imeshindikana au umetafuta mtu akufanyie kazi ikashindikana. Basi weka komenti yako...
Kujua aplikesheni zinazotumia zaidi data.
Nenda sehemu ya settings(Mipangilio)
Kisha bonyeza kitufe cha
Network & internet/connections(mtandao na miunganisho)
Kisha bonyeza Data Usage(Matumizi ya data) kisha Mobile data usage(matumizi ya data ya simu).
Kudhibiti matumizi.
Nenda kwenye...
Habari zenu ,
wapendwa mm naitwa elia,nmemaliza diploma ya ualimu secondary mwaka huu,sasa changamoto yangu ni wakati huu wa ku apply chuo kikuu ambapo kila nikitaka verification number inakataaa na napokea ujumbe kwamba sikuwa na vigezo vya kusoma Diploma.
Kwa o level nilikuwa nna c tatu na...
hello people,,naombeni msaada wa kupata link ya application kwenye chuo cha mbeya school of dental therapist au hata official website yao maana mtandaoni siwaelewi elewi
Hellow wanajamii?Habari,Ninatafuta kazi ya kufundisha soma la Basic Computer Application katika vitu vifuatavyo.
1.Introduction to Computer
2.Microsoft Word
3.Microsoft Excel
4.Microsoft Publisher
5.Microsoft Powerpoint
6.Microsoft Excel
7.Internet and email
Pia nafundisha na basics of...
Karibu sana ujipatie mfumo huu madhubuti kwa bei nafuu kabisa..
Tunza biashara yako na epuka kuibiwa!!
Ni mfumo mrahisi sana kuutumia.. Ni Mfumo wa Microsoft Excel uliotengenezwa kwa kutumia Visual Basic for Applications (VBA)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.