So kuna watu wanalalamika kua profile zao ni 100% lakini wakiomba kazi, application inafaili na kuambiwa waangalie vigezo.
Kama umekutana na tatizo hili basi mi nimepata suluhisho .
Kifupi ni kua ili maombo yafanikiwe, basi ni lazima uwe ume meet “minimum requirements”.
Swali, system...
'Application' and 'Device Update' ni kuruhusu toleo jipya la mfumo wa uendeshaji wa kifaa chako kuweza kuendesha programu au 'drivers'.
1. Kuongeza Ulinzi
Wadukuzi hutafuta njia mpya za kudukua kila wakati. Usasishaji (Updating) husaidia kuzuia mianya ambayo ingeweza kutumiwa na Wadukuzi hao...
Kwa yeyote ambae atahutaji usaidizi wa kuelekezwa au kufanyiwa HUDUMA zifuatazo asisite kunitafuta.
1.RITA verification ya VYETI vyote. VYETI vya KUZALIWA na VIFO
2.kufanya application za vyuo vyote.
3.kufanya application ya mkopo kwa wale wanafunzi wa vyuo.especially degree na level ya juu...
Dear Leaders,
I hope this message finds you well.
I am reaching out to seek assistance in finding employment or casual work. If anyone can provide me with information on factories or businesses that are hiring, I would greatly appreciate it.
I am a Tanzanian male, single, and flexible in...
Nssf ilikua na application ambapo mwanachama unawezo wa kuona taarifa za michango yako , Kama statement nk , Ila hivi karibuni wameitoa , sjajua kama play store bado ipo.
Kulikoni, kwa nini itolewe, ilkua inaleta transparency kwa wanachama.
Hakikisha unapakua Application kutumia 'Play Store' na 'App Store'
Kupakua 'Application' nje ya Play Store na App Store:
- Kunaweza kusababisha "virus" kwenye vifaa vyako kama Kompyuta na simu
- Kusababisha kudukuliwa kwa vifaa vyako
Kupakua 'Application' nje ya Play Store na App Store...
Android ni mfumo endedhi unaotumiwa sana kwenye vifaa vya kielectronic kama vile simu za mkononi na vifaa vingine vya kielectronic .
Utengenezaji wa application za simu za android ni mchakato wa kuunda na kuboresha programu za simu za android.
Application za simu za android zinaweza kuundwa na...
Habari,
kama wewe ni android developer na una account ya google console ambayo umeifungua kabla ya mwaka 2023.
Nina uhitaji wa google console account / play store developer account.
Njoo pm please
WhatsApp imeanzisha utaratibu wa kutuma sauti (voice note) ambayo mtumiwaji ataweza kuisikiliza mara moja tu (listen once) kama ambavyo ilivyo kwenye picha (view once).
Ni maendeleo mazuri ya kiteknolojia lakini nadhani inaweza kutumiwa kama chombo cha kumtukana mtu mwingine kwa maneno na...
Wapinzani, nawashauri mfanye uchunguz kuhusu hizi App hasa kujua wamiliki wa hizi applicatio za mikopo. ya online ambazo zinatumika kutoza riba kubwa ndani ya muda mfupi tena wakitumia ligha za vitisho na hata kudhalilisha wateja wao wanapochelewa kulipa kwa wakati.
Katika hii biashara, kuna...
Naomba kuuliza eti nimefanya application ya police ajira sasa Kwa bahati mbaya siku ya Leo tar 27 nimecancel application then mfumo ukaniambia ni deadline je Ina madhara yoyote?
Tanzania tuitakayo Selikari ianzishe Application inayo husiana na masuala ya afya ya akili vijana wengi wanaona ni aibu kwenda kuelezea matatizo yanayo wakabili wakiamini Depression ni magonjwa ya kizungu lakini app moja ikianzishwa inayo deal na maswala ya msaada wa afya ya akili ikatoa...
Tunaomba tujue kwani tasisi zote za kibenki ukingia kwenye mfumo unakuta application number ya mkopo ambayo inakuwezesha kusettle deni lako lakini hawa maboto uhuni gani ulitumiaka mpaka hazina wakawakubalia na kuwa N/A
Kwanini aisee hii inchi imechezewa sana tunaomba utumishi muwape namba hao...
Wakuu kuna nafasi ya kazi ninataka kuiomba ila moja ya document wanazotaka ni writing sample, yenye maneno maximum 1,000.
Ni kazi ya research assistant, naomba kusaidiwa ufahamu. Writing sample ni nini? Na inaandikwaje?
Britam is a leading diversified financial services group with presence in seven countries in Africa namely: Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, South Sudan, Mozambique and Malawi.
The company offers a wide range of financial solutions in General Insurance that includes Health Insurance. These...
Habari wakuu,
Anatafutwa mtaalam wa kudevelop mobile application na website.
Ikiwa una nia na ujuzi wa kutosha, tafadhali wasiliana nasi.
Tunatarajia kusikia kutoka kwako haraka iwezekanavyo.
Asante na tunatarajia ushirikiano mzuri.
Mawasiliano yetu:
Bright and Genius Editors...
Habari zenu jamani,
Nilikua nina apply cheti cha kuzaliwa online nikaambatanisha kitambulisho cha baba na leaving certificate wakadai ni-update kitambulisho cha mama na cheti cha la saba ila sasa nikitaka kuremove ili ni update walivyodai vile vya mwanzo vinagoma kuremove nifanyeje jamani msaada.
Naombe kujua, kwa kozi za ufundi I mean technical college. Muda wa application mwisho tarehe ngapi..?
Na je ukichaguliwa ukichaguliwa kozi ngazi ya certificate unaweza kufuta na ku apply kozi nyingine level ya diploma??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.