Yaani kwa kifupi kichwa kinaniuma hapa
Kuhusu hii app..inafanyaje kazi
Inakuaje mpaka nyimbo karibia nusu ya zote..zinajulikana katika hii app.
Je, ni msanii anaweka?
Je, ni bloggers
Au
Ni hatua gani zinatumika wimbo upatikane kwenye hii app
Msaada please.
Habari za mda huu wadau, ningependa kujua ni wapi naweza kununua au kupata vitabu vya programming language kama javascript na java kwa Dar es Salaam, Nimejaribu kutafuta maduka mbalimbali ya vitabu bila mafanikio.
Yeyote anayeweza kunisaidia tafadhali
Niliapply chuo mwaka Jana nikachaguliwa zaidi ya chuo kimoja ,Ila sikufanikiwa kwenda na pia siku confirm vyuo vyote viwili . Je? Naweza kuapply Tena mwaka huu
Programming Language
Dart
IDE for development
VsCode
Android Studio
intellij
User Interface
Widgets
statefull widget
stateless widget
accessibility
Inherited widget
Theming
Localization
Style
Material...
Habari Jf,
Application ya photos ya pc window 10 imeharibika bila sababu.
Naomba wenye ujuzi wa hili wanisaidie jinsi gani nitaitengeneza maana ndio ninayotumia tu.
Kama kuna application nyingine naomba mniambie ili niipakue.
Nisaidieni tafadhari.
Kama kichwa cha thread kunavyojieleza hapo
Kwenye hizo applications tajwa hapo juu kuna baadhi ya features huwezi kutumia mpaka uwe umelipa.
Sasa kwa mwenye ufahamu nawezaje kutumia hizo applications katika features zote for free?
Nahitaji free application ya kuhamisha text msg zote kutoka iphone 7 kwenda iphone X, nimefanya kwa icloud imekubali kuhamisha picha na contact peke yake.
School Results Management Spreadsheet Application!
Mkombozi wa Mashule mbalimbali Tanzania! Ni Spreadsheet (Excel) Application ambayo nimeiandaa kwa ajili ya kuchakata Matokeo ya wanafunzi (Kwa sasa ni kwa ajili ya Pre and Primary School) pamoja na Kutoka reports za wanafunzi za kutuma kwa...
Anahitajika mfanyakazi awe mwanamke umri kati ya miaka 26 hadi 35 kwa ajili ya kazi ya computer application
Mwenye cheti cha certificate au Diploma ya Information Technology, computer science, computer application au course yoyote ya computer.
Mshahara Tsh 200,000 kwa mwezi
Awe anatokea...
Hello,
If you want an application to be able to watch sports channels in Brazil, especially football. You can download playtv geh at TechBigs
Do you know other good apps?
Habari za muda huu vijana,
Jana katika pitapita zangu website za vyuo mbalimbli nilifanikiwa kuingia website ya chuo kikuu STELLA MARIS kilichopo Mtwara mjini, ni SAUTI BRANCH Ila kitu kilichonistaajabisha ni nikukuta application zao ni bure kabisa for certificate, diploma na undergraduate...
Wadau, wakati nafanya application SUA. Nimekutana na kipengele kinachohitaji namba ya NIDA..
Sasa kama hauna inakuwaje hapa.!!, kuna mtu yeyote kakutananacho hiki kipengele..?
Vijina..,
Nimeoomba AVN kwaajili yakuombea chuo.
Ila kiukweli hatua ni nyingi mno nimepambana Nazo japo sina uzoefu ni mara ya kwanza na nimefanikiwa kumaliza pia wameniambia nisubiri ndani ya masaa 120..
Sasa nauliza ninaweza ku-edit kama itatakiwa kufanya hivyo hali kuwa nimetuma tayari...
Naombeni msaada wadau,
Nimetuma kimakosa application za ualimu, nilienda internet cafe kufanya application bahati mbaya aliyenihudumia akawa amechanganya taarifa zangu na mtu mwingi kwenye vyeti sasa tatizo linakuja nashindwa kuviondoa vyeti vya mtu mwingine kwenye account yangu.
Habari wadau wa Elimu, Samahani naomba kuuliza maswali mawili.
Kwa matokeo haya;
PHYSICS -D
CHEMISTRY -C
BIOLOGY -B
MATHS -D
ENGLISH -C
(i) Je, niombe chuo gani cha afya cha serikali ili niweze kukubaliwa kwa urahisi?
(ii) Ni, kozi ipi ya afya niombe zaidi?, asanteni.
Inaonekana kozi zingine bado dirisha kufunguliwa ukiacha za afya, je kozi zingine lini dirisha litafunguliwa?
Tangazo lao linasoma hivi:
Welcome to Student's Admission Verification System for Certificate and Diploma Applicants.
The System allows you to apply for Admission into Certificate and...
Wanabodi
Habari za mchana kwa member wote wa humu JF.Wengi ni walezi wa watoto ambao bado wanasoma (Advance) ningependa kutoa pole kutoka kwa moyo wangu mkunjufu kwa mihangaiko ya hapa na pale maana Sanitizer, Barakoa,Kilo za Tangawizi na Malimao sio poa.Uchumi umeyumba sana pia niweke Hongera...
Tunaingia humu JF kwa kutumia hizo njia mbili embu tuambie wewe unatumia ipi kati ya hizo?
Muambie mtu ambae hatumii njia yako vitu ambavyo vinakukera na vinavyo kuvutia zaidi katika njia yako...
Kuna sehemu niliona mtumiaji wa Browser akimuambia mtumiaji wa App kwamba App wanatumia wazee 😀...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.