ardhi dodoma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Hati ya Kiwanja imebadilishwa bila ridhaa yetu, TAKUKURU wamebaini ‘mchezo’, aliyepewa hati na Ardhi Dodoma anakuja kutuvunjia nyumba

    Naomba niwasilishe taarifa hii tukiwa na uchungu mwingi kama familia, hapa tunapoandika ujumbe huu tunajiandaa nyumba yetu kubomolewa Jumamosi hii Juni 13, 2026. Sababu kubwa ikiwa ni dhuluma, mbinu chafu za baadhi ya maafisa wa ardhi kuhusu kiwanja na nyumba yetu iliyopo Mtaa wa Image, Kata...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wadaawa wa KIIRAQW wapata nafasi ya kusikilizwa kwa lugha yao, Baraza la Ardhi Dodoma latoa tumaini la haki sawa

    Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya, Mkoa wa Dodoma limewasikiliza wananchi wa jamii ya Kiiraqw waliofika katika Baraza hilo kuwasilisha hoja na ushahidi wao katika mgogoro wa ardhi, wakidai kumiliki kihalali shamba lenye ukubwa wa ekari nane lililopo Wilaya ya Chamwino, Mkoa wa Dodoma. Hatua...
  3. Ushirombomoya

    JamiiForums Tanzania Urasimu wa ofisi ya ardhi Dodoma Jiji na mikoa mingine.

    Binafsi ni mdau wa makazi yaliyopangwa na kupewa matumizi kulingana na mpango wa eneo husika. Kifupi uwa ninahisi kero kupita sehemu ambazo zina ujenzi holela, kwa mantiki hiyo nimekuwa nashawishika kununua maeneo yaliyopimwa. Nilifanikiwa kununua eneo Dodoma (mtumba) na kufanya malipo...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa mabadiliko ya matumizi ya ardhi (Variation)

    Mabadiliko ya matumizi yanatokea pale ambapo mmiliki anapobadilisha masharti ya umiliki tofauti na yale aliyopangiwa awali. Mabadiliko haya ni kwa mujibu wa kifungu cha 35 cha Sheria ya Ardhi Na. 4 ya mwaka 1999. Kwa upande mwingine, mabadiliko ya matumizi yanaweza kutokea pale ambapo kuna...
  5. africatuni

    JamiiForums Tanzania Nunua ardhi Dodoma leo, mji unakua kwa kasi sana na ardhi inazidi kupanda bei

    Hellow hope everyone is good. Leo nawaletea fursa ya kuwekeza dodoma. Hakuna uwekezaji mzuri kama wa ardhi maana kila siku inapanda thamani ukilinganisha na kuhifadhi fedha bank. Dodoma ni mji ambao unakua kila siku ambao wapo huku wanaelewa. Na ardhi zinapanda bei kwa kasi sana, hivyo wakati...
Back
Top Bottom