ardhi ya israel

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hivi siku hizi wako wapi wale waliosema Iran haiwezi kurusha hata jiwe ndani ya ardhi ya Israel?

    Ndugu kulikua na mtifuano humu jf baina ya waisrael wa buza na wa Iran wa yombo ila sioni fact za kutetea Israel kwa vita ya rising lion ya siku 12 nimemaliza uzi kwa kuuliza wako wapi waliosema Iran haiwezi rusha hata jiwe ?
  2. JamiiForums Tanzania Kwa shambulizi la jana la iran ndani ya ardhi ya israel je wanautofauti wowote na Hamas?

    Jeshi la iran kwa mujibu wao limefungulia mlango wa kuzimu jana Kwa kurusha drones za kubahatisha yaani iue yoyote Kwa maskitiko imeua watu watatu wasio na hatia Je hili jesh tofauti yao na magaidi wa hamas na hezbolla ni ipi? Jeshi lenye ueledi haliwezi kurusha mabomu km kichaa huo...
  3. JamiiForums Tanzania Na Ukristo wangu huu ninaichukia the so called Israel hadi natetemeka

    Ninajua Wapalestina sio wakazi halisi wa ile ardhi hilo linafahamika ila shida ni hawa wazungu wa Ulaya ya Mashariki na Kaskazini kujifanya wao ndo Waisraeli na kuwauza wenzao ilhali wamewakuta pale. Eti wanajinasibu wao ndo wazawa wa ardhi ile kisa wanaongea Kiebrania na kutenda tamaduni za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…