Khanji kapoor
JF-Expert Member
- Oct 19, 2024
- 3,861
- 9,909
Jeshi la iran kwa mujibu wao limefungulia mlango wa kuzimu jana
Kwa kurusha drones za kubahatisha yaani iue yoyote
Kwa maskitiko imeua watu watatu wasio na hatia
Je hili jesh tofauti yao na magaidi wa hamas na hezbolla ni ipi?
Jeshi lenye ueledi haliwezi kurusha mabomu km kichaa huo unakuwa ugaidi
Je israel ingeamua kushusha mabomu yake tehran yaue yeyote tehran ingebaki?
Km hiyo ya jana ndio iran wameifungua kuzimu basi iran walitudanganya sana hapo nyuma
Kwa sasa iran kila atakachoongea ataonekana kubwa jinga tu
Ni vigumu kuwatofautisha hamas na jeshi la iran