Kwa shambulizi la jana la iran ndani ya ardhi ya israel je wanautofauti wowote na Hamas?

Mataifa makubwa yote yana waonea huruma Iran, wanawasihi waachane na Israel itawafanya vibaya. Lakini naona Ayatollah kaangalia movie za Rambo akadhani anaweza.

Kazi ikianza hatoamnini, Putini kamuomba Netanyahu asiharibu nuclear facilities za Iran nahisi yeye ndiye sponsor, lakini sijui kama Netanyahu atamsikiliza au ataendelea na mipango yake.

Ufaransa imewaambia Iran waache vita wakubaliane na deal wanalopewa na Trump au la wataumia sana.

Mimi hapa nasema 'Mtoto akililia wembe mpe".
 
Mataifa makubwa yote yana waonea huruma Iran, wanawasihi waachane na Israel itawafanya vibaya. Lakini naona hayatola kaangalia movie za rambo akadhani anaweza.

Kazi ikianza hatoamnini, Putini kamuomba Netanyahu asiharibu nuclear facilities za Iran nahisi yeye ndiye sponsor, lakini sijui kama Netanyahu atamsikiliza au ataendelea na mipango yake.

Ufaransa imewaambia Iran waache vita wakubaliane na deal wanalopewa na Trump au la wataumia sana.

Mimi hapa nasema 'Mtoto akililia wembe mpe".
Kitu kimoja ayatolah anakosea ni kudhani anapigana vita vya kidini
 
Iran imechoka sanaa aisee kuna WAJINGA wanasifia kuwa hawa jamaa wana Akili nyingi ila Kwa tukio la Jana la kurusha makombora bila target ni UJINGA wa Hali juu.
Kujua kwamba Iran ni magaidi ni kauli Yao iliyotoka Leo kuwa watafunga eneo lote la bahari ili meli zinabeba mafuta zisipite yaani kwakifupi Iran inataka kuona dunia inapata shida kwenye mafuta, hawa jamaa hawana Akili na huwezi kuzuia mafuta yasisafirishwe duniani kisa Tu unapigana na Israel

View: https://youtu.be/KjuPrjqrTxY?si=2kpmaRw89ImHUA9F
 
Ni vizuri utumie maarifa kabla ya kuleta hoja yako mezani
Kwa hiyo Israeli iliyopiga Irani bila sababu yoyote kwako hilo sio tatizo ILA kwa Irani kujibu mapigo kwa kurusha drone kwako ndiLo tatizo ?
HOJA KAMA HIZI NI ZA KUDHALILISHA JUKWAA KUWA, TUNA WATU WENGI AMBAO HAWANA MAARIFA!
Bila sabab yoyote ? Hizbollah ww ndo huwa unawapa silaha? Hlf umeandika kwa uchungu kbs , punguanj mmoja ww
 
1000095788.png
 
Yaani Mtanzania ambae hata barabara za kupita mnajengewa na mkandarasi mchina nyie mbao hata kijiti cha meno mnaagiza nje unatukana Ayatolaah ambae anatengeneza Silaha zake mwenyewe na kupambana na US plus NATO WOTE HAPO..nyie watu temeni mate chini mna hata rocket launcher nyie??? achilia mbali ballistic misile?? Israel imepiga Mitambo ya Gas sasa hiyo inahusikaje na Vita??
 
Ni vizuri utumie maarifa kabla ya kuleta hoja yako mezani
Kwa hiyo Israeli iliyopiga Irani bila sababu yoyote kwako hilo sio tatizo ILA kwa Irani kujibu mapigo kwa kurusha drone kwako ndiLo tatizo ?
HOJA KAMA HIZI NI ZA KUDHALILISHA JUKWAA KUWA, TUNA WATU WENGI AMBAO HAWANA MAARIFA!
Wamepiga bila sababu 😂😂??? wewe umekula maharage gani
 
Yaani Mtanzania ambae hata barabara za kupita mnajengewa na mkandarasi mchina nyie mbao hata kijiti cha meno mnaagiza nje unatukana Ayatolaah ambae anatengeneza Silaha zake mwenyewe na kupambana na US plus NATO WOTE HAPO..nyie watu temeni mate chini mna hata rocket launcher nyie??? achilia mbali ballistic misile?? Israel imepiga Mitambo ya Gas sasa hiyo inahusikaje na Vita??
Acha kujiaibisha, hakuna mtu mwenye akili anaweza support ujinga wa kufuta Taifa lingine
 
Yaani Mtanzania ambae hata barabara za kupita mnajengewa na mkandarasi mchina nyie mbao hata kijiti cha meno mnaagiza nje unatukana Ayatolaah ambae anatengeneza Silaha zake mwenyewe na kupambana na US plus NATO WOTE HAPO..nyie watu temeni mate chini mna hata rocket launcher nyie??? achilia mbali ballistic misile?? Israel imepiga Mitambo ya Gas sasa hiyo inahusikaje na Vita??
Iran hawana akili wanabebaje ajenda ya dini ya kiazi ambaye hata hakujua kusoma😁
 
Mkuu Mohamed Said kwenye vita yeyote duniani lazima madhara yawepo Kwa pande zote kwasababu hata uwe na uwezo kiasi gani Kwa mifumo ya ulinzi bado utapata madhara Tu ndiyo maana Iran huwa anarusha zaidi ya ballistics 100 na hautaweza kuzuia zote.

TANZANIA Vs Uganda tuliathirika lkn mwisho wa siku tulipata ushindi , hivyo hata vita hii inayoendelea kuna mshindi Tu atapatikana kwasababu vita havina droo
 
Back
Top Bottom