Hivi siku hizi wako wapi wale waliosema Iran haiwezi kurusha hata jiwe ndani ya ardhi ya Israel?

LOVE U JF

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2015
Posts
2,157
Reaction score
1,681
Ndugu kulikua na mtifuano humu jf baina ya waisrael wa buza na wa Iran wa yombo ila sioni fact za kutetea Israel kwa vita ya rising lion ya siku 12 nimemaliza uzi kwa kuuliza wako wapi waliosema Iran haiwezi rusha hata jiwe ?
 
20250630_143406.jpg
 
Bado wapo kwenye mapango
 
Attachments

  • 20250701_062044.jpg
    20250701_062044.jpg
    150.8 KB · Views: 39
Mbona unaongea kinyume ewe mnafiki? Siku zote kelele humu zilikuwa Israel haithubutu kurusha hata kipande cha kokoto Tehran!
Acha kupindisha maneno wewe!
Wagalatia mliongea mengi sana kuwa Iran hatoweza kuishambulia Israel,mara hatokua na uwezo wa kujilinda ,mara ataporomoka maneenoooo meengiiii.
Mwishowe dunia imejionea kuwa Israel hawezi kupigana peke yake na taifa imara kama Iran pasi na msaada wa bwana yake USA na EU.
Washaanza kutema bungo huko mara shinbet 70 wamekufa,mara wanasayansi wa Israel 7 wamekufa.
Bado hamjasema.
 
Ndugu kulikua na mtifuano humu jf baina ya waisrael wa buza na wa Iran wa yombo ila sioni fact za kutetea Israel kwa vita ya rising lion ya siku 12 nimemaliza uzi kwa kuuliza wako wapi waliosema Iran haiwezi rusha hata jiwe ?
Nikikumbuka mikobaaz mibusha walivyokuwa wakiisifia Iran, na jinsi Iran ilivyotandikwa vibaya, Tehran imekuwa nyumbani kwa myahudi anaingia tu na kutoka Ayatollah ikawa auliwe kibudu, Trump akamuombea msamaha kwa Nyau kuwa please kizee mibusha usikiue, nuclear sites zimeharibiwa dah kweli Iran kubwa jinga, simba wa kuchora, nyuki wa mashineni
Ayatollah kwa sasa anaishi mashimon ameshindwa hata hudhuria msiba wa makamanda na wanasayansi wake waliouliwa kibudi na myahudi kwa hofu ilivyompata.
 
Acha kupindisha maneno wewe!
Wagalatia mliongea mengi sana kuwa Iran hatoweza kuishambulia Israel,mara hatokua na uwezo wa kujilinda ,mara ataporomoka maneenoooo meengiiii.
Mwishowe dunia imejionea kuwa Israel hawezi kupigana peke yake na taifa imara kama Iran pasi na msaada wa bwana yake USA na EU.
Washaanza kutema bungo huko mara shinbet 70 wamekufa,mara wanasayansi wa Israel 7 wamekufa.
Bado hamjasema.
We nawe kweli maamuma Iran ipi inaweza pigana peke yake?
Hujui kuwa anasaidiwa na russia
 
Ndugu kulikua na mtifuano humu jf baina ya waisrael wa buza na wa Iran wa yombo ila sioni fact za kutetea Israel kwa vita ya rising lion ya siku 12 nimemaliza uzi kwa kuuliza wako wapi waliosema Iran haiwezi rusha hata jiwe ?
Unaongea kinyume chake
 
kobazi kwa unafiki na uwongo mko vizuri mnageuza maneno yenu wenyewe mliokuwa mnasema hakuna wakuishambulia Iran hivi kwenye uislamu unafiki na uwongo mnaruhusiwa kwa maslahi ya dini?
 
Acha kupindisha maneno wewe!
Wagalatia mliongea mengi sana kuwa Iran hatoweza kuishambulia Israel,mara hatokua na uwezo wa kujilinda ,mara ataporomoka maneenoooo meengiiii.
Mwishowe dunia imejionea kuwa Israel hawezi kupigana peke yake na taifa imara kama Iran pasi na msaada wa bwana yake USA na EU.
Washaanza kutema bungo huko mara shinbet 70 wamekufa,mara wanasayansi wa Israel 7 wamekufa.
Bado hamjasema.
😂😂😂😂 Ukisikia time will tell ndio hii
 
Wamemuua Hadi mkuu wa Mossad akiwa chini ya Bunker. Hizi habari zinaendelea kutoka baada ya vita kusimama. Wanasayansi wa Nyuklia wa israel zaidi ya 7 pia,
Hayo hawayasemi, kazi kuitukuza tukuza Israel,waliokufa si baadhi ya maafisa wa MOSSAD tu hata maafisa wa Sheinbet na baadhi maafisa wa vyeo vya juu wa jeshi la Israel!!
 
Ni kweli kabisa. Kuna video mpya jengo la Mossad linashushwa. Kama kulikuwa na mtu mle hakuna aliyebaki maana jengo lote liligeuzwa kifusi
 
Back
Top Bottom