Hivi siku hizi wako wapi wale waliosema Iran haiwezi kurusha hata jiwe ndani ya ardhi ya Israel?

Ni kweli kabisa. Kuna video mpya jengo la Mossad linashushwa. Kama kulikuwa na mtu mle hakuna aliyebaki maana jengo lote liligeuzwa kifusi
Ndiyo maana nasema Basho ya rocket za Iran zilikuwa pre-programmed kushambulia tasisi yeti za Israel - ndio maana mataifa ya magharibu yaliyo kuwa yanaisupport Israel blindly, mbinu hizi za Iran ziliwatisha sana sana, ndio maana Natenyahu alikimbilia kwa Trump kuomba msaada.
 
Hospital kwa chini pale ndiyo lilikua chaka lao, watu wakafumua hapohapo, ndiyo maana kesho yake makelele
Wanafanya maigizo ya kupiga makelele ya kudai eti Iran inalenga mahospitali kumbe Wairan walisha fanya upelelezi wao wakagunduwa kwamba Israel inatumia tasisi hizo kuficha mambo yao ya kijeshi na upelelezi na kuficha baadhi ya silaha.
 
Acha kupindisha maneno wewe!
Wagalatia mliongea mengi sana kuwa Iran hatoweza kuishambulia Israel,mara hatokua na uwezo wa kujilinda ,mara ataporomoka maneenoooo meengiiii.
Mwishowe dunia imejionea kuwa Israel hawezi kupigana peke yake na taifa imara kama Iran pasi na msaada wa bwana yake USA na EU.
Washaanza kutema bungo huko mara shinbet 70 wamekufa,mara wanasayansi wa Israel 7 wamekufa.
Bado hamjasema.
Makamnda 22 dead. Wanasayans 36. Wamekufa 680+ na 3993 wameachwa na vilema ndani ya siku 12 ya mapigano hivi ulikumbuka hata kutoa rambi rambi mkuu
 
Hilo haliondoi ukweli kuwa Israel imepigika tena sana.
 
Hivi Iran imepoteza majenerali na Wana sayansi wangapi vile?
 
Wako wapi waliosema Israel ikiijibu Iran inafutika duniani
 
Acha kupindisha maneno wewe!
Wagalatia mliongea mengi sana kuwa Iran hatoweza kuishambulia Israel,mara hatokua na uwezo wa kujilinda ,mara ataporomoka maneenoooo meengiiii.
Mwishowe dunia imejionea kuwa Israel hawezi kupigana peke yake na taifa imara kama Iran pasi na msaada wa bwana yake USA na EU.
Washaanza kutema bungo huko mara shinbet 70 wamekufa,mara wanasayansi wa Israel 7 wamekufa.
Bado hamjasema.
"Looh Idf hawawezi kuingia gaza wanajua Iran Itaingilia vita ooooh Idf wakianza ground offensive kule Rafar Iran hatakubali ataingilia" walisikika wafuasi wa mila na desturi za waarabu wa Njombe wakinena.
Hahaha
 
Mie sibishani na wewe psychopath.
Ulimwengu umeona jinsi Israel ilivyochakazwa hadi Trump kumuombea ceasefire.
 
Acha kupindisha maneno wewe!
Wagalatia mliongea mengi sana kuwa Iran hatoweza kuishambulia Israel,mara hatokua na uwezo wa kujilinda ,mara ataporomoka maneenoooo meengiiii.
Mwishowe dunia imejionea kuwa Israel hawezi kupigana peke yake na taifa imara kama Iran pasi na msaada wa bwana yake USA na EU.
Washaanza kutema bungo huko mara shinbet 70 wamekufa,mara wanasayansi wa Israel 7 wamekufa.
Bado hamjasema.
Wewe muislamu na shetani wenu, uliona kuna ndege ya US ikiiadabisha Iran wakati ule wa vita? Achia mbali zile B-2 Bombers zilizoenda kwa kazi maalumu smbayo vile vile walisafishiwa njia na F-35.
Sasa ni kwambie kitu? Israel ni akili kubwa kupita akili ya shetani allah. Utawala wa Kiayatollah haudumu. Mark my words. Kama si hii 2025 basi mwanzoni mwa 2026. Pezeshikian yaye siyo muumini wa sharia zenu, hivyo tunamuweka kando. Na huyo Urusi wenu mnayemtegemea the downfall of Putin has already been laid down. Upande wa Uturuki ambapo Islamist Edorgan anaota kurudisha Ottoman Empire, naye analiwa timing tu. Akijichanganya kuivamia Israel kupitia Syria au akijichanganya tu KUIVAMIA GREECE AJUE NDIYO MWISHO WA Islamist Edorgan
 
Mie sibishani na wewe psychopath.
Ulimwengu umeona jinsi Israel ilivyochakazwa hadi Trump kumuombea ceasefire.
Hahaha kwani amelazimishwa ceasefire si aendelee tu kushambuliwa. UKIZINGATIA KWA JICHO LA KIISLAMU HATA MAREKANI MWENYEWE ANAOGOPA IRAN
 
Ndugu kulikua na mtifuano humu jf baina ya waisrael wa buza na wa Iran wa yombo ila sioni fact za kutetea Israel kwa vita ya rising lion ya siku 12 nimemaliza uzi kwa kuuliza wako wapi waliosema Iran haiwezi rusha hata jiwe ?
Iran taifa limekuwa chini ya vikwazo kwa miongo kadhaa sasa.

Limetengeneza Makombora kwa teknolojia yake mwenyewe.

Limerusha Makombora hayo 2000+ Km na licha ya Makombora hayo kushambuliwa yakiwa angani na Muungano wa manuwari za kijeshi za US, UK, IDF, ndege za kivita za IDF, US, UK, France, Jordan, kambi za kijeshi pia zilirusha maroketi KULENGA Makombora hayo kutokea Iraq, Azerbaijan, Syria,Jordan, Qatar lakini Bado Iran ilifikisha idadi kubwa ya Makombora kwenye ardhi ya mazayuni na kupiga target kwa ufasaha mkubwa, what a great country!

Yanakuja mashoga ya Israel na Us kubwabwaja yameshinda vita😂

Muungano wa nchi 10+ kupigana na taifa 1 lenye Kila aina ya vikwazo na Bado wakapigwa mpaka wakaomba cease fire!

Aliyeshinda vita ni Iran
 
Ndugu kulikua na mtifuano humu jf baina ya waisrael wa buza na wa Iran wa yombo ila sioni fact za kutetea Israel kwa vita ya rising lion ya siku 12 nimemaliza uzi kwa kuuliza wako wapi waliosema Iran haiwezi rusha hata jiwe ?
Hii nayo ni thread?weka hata ushahidi maana unaonekana kama akili zako ni finyu as if mtu anayerusha jiwe kwenye shimo kupima urefu wake ili atumbukie kwa kukosa akili.
Unaleta kashfa bila ushahidi au mhusika.. mambo ya kesi za uhaini haya
 
Ni kweli kabisa. Kuna video mpya jengo la Mossad linashushwa. Kama kulikuwa na mtu mle hakuna aliyebaki maana jengo lote liligeuzwa kifusi
Nani kakuambia ni Jengo la Mossad? au ndio yale mambo ya Msikiti Tv, Hadi walisema Iran imekuwa nchi ya kwanza kuangusha ndege F-35 hahahaha..

Residential building wamepiga wakalibatiza jengo la Mossad,. hata ile Hospital walitoa mock up chini kuna vifaru israel imefika hahaha wakati vifaru vipo Gaza
 
Eti vifaru Israel nzima havipo vipo Gaza hahahaha
 
Mbona unaongea kinyume ewe mnafiki? Siku zote kelele humu zilikuwa Israel haithubutu kurusha hata kipande cha kokoto Tehran!
Nakumbuka uwepo wa watu waliokuwa wanasema Iran anatafutiwa sababu ya kufutwa hapo middle east.
Wewe haukumbuki?
 
Ndugu kulikua na mtifuano humu jf baina ya waisrael wa buza na wa Iran wa yombo ila sioni fact za kutetea Israel kwa vita ya rising lion ya siku 12 nimemaliza uzi kwa kuuliza wako wapi waliosema Iran haiwezi rusha hata jiwe ?
Echolimali,Mlaleo,Yoda na Imeloa wote wamekimbia.Achilia mbali Kiranga na mshangiliaji wao Smart911
 
Back
Top Bottom