ardhi

  1. B

    Bunge la Wananchi wanatoa tamko muda huu, kuhusu ardhi

    23 February 2024 Morogoro, Tanzania https://m.youtube.com/watch?v=Z53l5mEXWwU Migogoro ya ardhi kutokana na wingi ya idadi ya watu nchini, matumizi ya ardhi kwa kilimo na ufugaji yanatakiwa kupatiwa ufumbuzi wa haraka. Pia ufafanuzi wa umiliki wa ardhi elimu ya uraia yatolewa na bunge la...
  2. Guelle Faure: Uchaguzi ni kama ardhi yenye rutuba yenye kumea taarifa nyingi za uongo

    Nyakati za Uchaguzi zimekuwa chanzo cha mlipuko wa habari nyingi potofu. Makundi mbalimbali yamekuwa yakipotosha kwa makusudi ili kuwadunisha au kuwanufaisha Wagombea na Vyama vya Siasa. Mwandishi wa AFP, anawatahadharisha Wanahabari kuwa makini zaidi na habari na madai yanayozuka wakati huu...
  3. Hakuna Kocha Aliemdharau Mchezaji kutoka Afrika na mizimu ya Kiafrika ikamuacha salama, TUCHEL waulize Pep na Klopp

    Tuchel anachopitia ni Adhabu kutoka kwa Mizimu ya Mababu wa Sadio Mane na Mizimu ya Kiafrika. Huwez ukaamua ugomvi ule wa SANE na MANE kwa dharau Vile,.. Muulize Klopp alimdharau MANE hakufuzu UEFA yupo huko anapigania kombe na Team kama MACCABI HAIFA Pep Alimdharau YAYA TOURE kahangaika na...
  4. Nchi za kiarabu zaizuia Marekani kutumia ardhi zao kupigana na Houth huku Erdogan aungana na Elsisi kuionya Israel isiendelee kupiga Rafah

    Nchi kadhaa za kiarabu zimeanza kuingia akili kwa kukataa kuachia Marekani kutumia ardhi zao kuanzisha mashambulizi dhidi ya wanamgambo wa Houth wa Yemen.Hatua hiyo itaifanya Marekani kushindwa kuwazuia Houth na itakuwa ni msaada wa nchi hizo kwa Palestina. Nchi hizo ni zile ambazo zimekuwa...
  5. D

    DOKEZO Rais Samia tupia jicho Wizara ya Ardhi Kanda ya Dar es Salaam, unahujumiwa

    Kwanza Kabisa nikupongeze kwa kazi nzuri unayofanya ya kuwaletea Maendeleo wananchi wako wewe Binafsi Mh. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan bila kujali ni kwa kiasi gani unaangushwa na baadhi ya wasaidizi wako. Sasa sikia haya na uyafanyie kazi. Miezi kadhaa iliyopita Waziri wa Ardhi Nyumba na...
  6. Zitto ahofia migogoro ya Ardhi kusababisha vita vya wenyewe kwa wenyewe

    "Migogoro ya ardhi na migogoro ya mipaka kati ya hifadhi na vijiji, maeno ya Kusini mwa Tanzania tumekuta malalamiko makubwa ya wakulima dhidi ya wafugaji kuvamia maeneo yao na hata kupelekea mauaji, vilevile maeneo ya wafugaji tumekutana na malalamiko ya wananchi kuporwa mifugo yao na Maafisa...
  7. Mbunge Juliana Masaburi Aibana Wizara ya Ardhi Kuhusu Kutumia Fedha za Kigeni Katika Malipo ya Upangishaji Nyumba

    MBUNGE JULIANA MASABURI AIBANA WIZARA YA ARDHI KUHUSU KUTUMIA FEDHA ZA KIGENI KATIKA MALIPO YA UPANGISHAJI NYUMBA Mhe. Juliana Didas Masaburi, Mbunge wa Viti Maalum, ambaye swali lake namba 15 kwa niaba limeulizwa na Mbunge wa Jimbo la Handeni Mjini, Mhe. Kwagilwa Reuben Nhamanilo...
  8. tukisema turudie kuhakiki NIDA,PASSPORT na hati za ardhi tunaweza kubaki mdomo wazi

    nakumbuka niko kwa madiba jamaa yangu alibahatika kupata uraia na kupata kitambulisho cha taifa ila kiligeuka mateso kwake sababu si rahisi hata mwenyeji kila mtu kupata kutokana taratibu zake. ukija huku kwetu yani nahisi hata mchina kukuta ana kitambulisho cha taifa,swala la passport ndio...
  9. Jerry Silaa anaweza kupunguza matapeli Ardhi? Wana mtandao, wamejazana wizarani, wana makampuni!

    Kwenye ardhi kuna utapeli wa kila aina ndio mana lukuvi alipokuwa waziri wa ardhi alipiga marufuku baadhi ya makampuni yaliyokuwa yanapima viwanja na kuuza maana walisababisha migogoro mingi sana ya ardhi. Viwanja vinatangazwa kwenye maspika katika vituo vya daladala kama vile nguo za ndani...
  10. Chuo kikuu Ardhi na adha ya maji

    Chuo kikuu Ardhi Dar es salaam kuna changamoto kubwa ya maji ambayo hayatoki katika hostel za kike na kiume. Wanawake wanateseka sana wanaingia siku zao lakini maji hakuna na waziri anajitahid kufuatilia changamoto inakua ni kwa wakubwa kutekeleza. Hostel za wanaume Zina wakazi zaidi ya 300 na...
  11. Pre GE2025 Ushawishi wa Makonda ni mbingu na ardhi na wa Nchimbi

    Vyovyote vile iwavyo, ukweli ni kuwa Makonda ana nyota ya ushawishi kuliko SG Nchimbi. Hata ukifuatilia namna mapokeo ya hadhira inayo hudhuria mikutano yao, wazi huwezi kuchelewa kung'amua hilo. Pamoja na wengi kumpuuza Makonda, lakini ukweli ni kwamba anao ushindi ulio bayana lijapo suala...
  12. Ukweli ni kwamba Mbagala ina ardhi nzuri kuliko Bunju, Tegeta na Msasani

    Bei ya Viwanja huko Tegeta, Bunju na Boko ni kubwa mno ukilinganisha na Mbagala, lakini linapokuja suala la Mvua Mbagala haina mafuriko kabisa kulinganisha na Tegeta, Bunju na Boko. Sasa kinachowafanya wengi kukimbilia huko ni nini?
  13. Pre GE2025 Makonda ampigia simu Waziri Silaa, amtaka akatatue migogoro ya ardhi Bunju

    Katibu wa itikadi na uenezi chama cha Mapinduzi CCM, Ndugu Paul Makonda akizunngumza na wananchi wa wilaya ya kinondoni kwenye mkutano wa hadhara wa chama hicho. Makonda amemtaka waziri wa Ardhi kufika katika jimbo la kawe na kutatua migogoro ya ardhi iliyopo ndani ya jimbo hilo.
  14. Kanali wa Iran auawa kwa mashambulio ya Pakistan katika ardhi ya Iran

    Pakistan ilishambulia maeneo saba mashariki mwa Iran na kusababisha kifo cha kanali wa IRGC na uharibu mwingine. Kwa hapa namuunga mkono Pakistan kushambulia Iran kwa sababu Iran hakutaka diplomasia badala yake alitumia nguvu kushambulia ardhi ya Pakistan...
  15. Wananchi wa Katavi wadai wanakerwa na migogoro ya Ardhi

    Wananchi wa Kijiji cha Songambele kilichopo Halmashauri ya Nsimbo Mkoani Katavi wametoa kero mbalimbali ikiwemo migogoro ya Wakulima na Wafugaji sambamba na huduma ya umeme kutokidhi viwango. Kero hizi zimetolewa mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Mpanda mara baada ya kufika katika kijiji hicho na...
  16. Ashambuliwa na watoto wake baada ya kutaka kuuza ardhi ya familia

    Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 50, Kanu Mugwere, ameshambuliwa na watoto wake wakipinga uamuzi wake wa kutaka kuuza ardhi ya familia kwa shilingi milioni 1.5. Kulingana na taarifa, Mugwere alikuwa akilenga kutumia fedha hizo kugharamia matibabu ya mtoto wake mmoja mwenye ugonjwa wa akili...
  17. Sasa Israel yaendeleza uchokozi kwa Misri. Yaitaka ifunge mpaka wa Rafah ili iweze kuwashinda Hamas na kujimilikisha Gaza mia kwa mia

    Katika maadhimisho ya siku mia za vita kati ya Israel na Hamas waziri mkuu wa Israel ameiamrisha Misri ifunge mpaka wake na Gaza na kuiachia Israel kudhibiti eneo lote linalounganisha Gaza na nchi hiyo ya kiarabu. Kipande hicho cha ardhi ambacho Israel kinakiita Philadelphi Corridor kina urefu...
  18. D

    DOKEZO Fidia ya Kipunguni A mbona danadana nyingi, TAA tuambieni ukweli

    Ni kipindi cha miaka karibu 23 hivi tathmini ya kwa ajili ya uhamisho wa Kipunguni imekuwa ikifanyika bila mafanikio, hivi karibuni imefanyika tena na Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba akathibitisha kuwa malipo yako kwenye hatua za mwisho, mwezi wa nane yatafanyika. Na kuwa hakuna mkutano...
  19. Pre GE2025 Vyama vya Upinzani nchini Tanzania vina uwezo wa kuitoa CCM madarakani?

    Ni utapeli unao fanywa na Vyama vya Upinzani nchini Tanzania kuwaaminisha watanzania kwamba vina uwezo wa kuitoa CCM madarakani wakati vinajua kabisa havina uwezo huo. Mtanzania kataa huo utapeli. # Come 2025, I will "Samia" my vote . What about u?
  20. L

    naomba kuuliza jinsi ya kupata ramani ya mipango miji ardhi

    habari za jioni wadau heri ya mwaka.mpya naomba kuuliza kama nimepata coordinate za eneo usiku kwaajili ya kurasimisha kiwanja changu nawezaje kupata ramani ya mipango miji ya eneo husika na gharama yake kupata ramani ni sh ngapi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…