Yani mimi na kufanya yote nchi hii ila suala la kununua ardhi ni muoga sana. Ukiona malalamiko kesi za ardhi ni nyingi kuliko nyingine.
Kuna jamaa alinunua ardhi kwa ajili ya sheli kumbe wana mirathi wengine walikuwa hawajapata stahiki, ilibidi kuongeza pesa tena ili kukamilisha manunuzi.
Namshukuru Mungu kwa wema wake kwangu. Pamoja na changamoto mbalimbali ninazopitia hapa duniani, bado wema wake ni mkuu mno kwangu.
Ndugu wasomaji wa ujumbe huu, nawasihi tuwe na tabia/desturi ya kumshukuru Mwenyezi Mungu hata kwa kidogo tulichopewa. Shukrani hufungua milango mingine ya baraka...
25 March 2024
Muheza, Tanga
Bi Yosefa Komba wa CHADEMA jimbo la Muheza azungumza mazito ktk mkutano mkubwa
CHADEMA YAONGEA KUPITIA MKUTANO NA WANANCHI WA MUHEZA
Kamanda Yosefa Komba aitisha mkutano kuzungumza na wananchi wanaokabiliwa na changamoto nyingi ambazo hazifuatiliwi na mkurugezi...
Source: Youtube-wakiliTv, taarifa ya Wakili Dickson Matata
Nilisema kwamba haya mambo ya kujifanya mwendesha mashitaka na hakimu anayofanya Jerry Silaa yasipoangaliwa, ataitia nchi hasara kubwa sana.
Sasa watanzania wataingia hasara ya bilioni 20 ili kumlipa Johnson Mahululu baada ya Jerry...
Huyu ni Waziri, kazuia watu kushauriwa waende Mahakamani, na ndiye anapaswa kusimamia utawala wa sheria, anataka watu wachapane makonde mitaani? Amewapa maafisa ardhi gepu la kufanya bomoa bomoa nchi nzima kama yeye anavyofanya?
Ajabu kabisa huyu ni mwanasheria!
Kuna mtu ambaye hajui hawa ndio...
Tunakupongeza sana kwa juhudi zako katika kutatua migogoro ya ardhi katika nchi hii lakini ninakushauri uende pole pole na usikilize pande zote mbili yaani mlalamikaji na mlalamikiwa.
Juzi ulikuwa hapa Mwanza na uliamuru nyumba ya Wakili msomi kuvunjwa.
Wakati nyumba inavunjwa Wakili...
Habari. Naomba kujua garama na utaratibu wa kutangaza kwenye gazeti kupotea hati ya ardhi.
1. Muda inayotakiwa kutangaza.
2. Garama na gazeti gani kutangaza.
3. Mawasiliano yao
Hali ikoje huko uliko?
Hapa Moro limepita tetemeko la ardhi na dakika kadhaa kabla yake wamesikika kuku, mbwa wakitoa milio iliyoashiria kuwepo kitu kisicho cha kawaida.
Unaweza ukajiuliza kwanini migogoro ya ardhi inaongezeka kila siku na hakuna mtumishi wa serikali anayekamatwa wala kuchukuliwa hatua. Ukweli ni kwamba wizara hii na Idara zake wamegawana watoto wa viongozi wa chama na serikali.
Lakini pia watumishi wa wizara hii kwa uelewa ni weupe sana, ni...
"Simamieni haki za watu kwenye ardhi" - Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania.
---
Migogoro ya Ardhi imekuwa mingi sana, watu hawana raha kwa migogoro ya ardhi. Wana viardhi vyao vinanyang'anywa nyang'anywa.
Kuna wababe wao ndiyo wanajifanya Master Ardhi wanapita munyang'anya...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema baadhi ya Viongozi wakiwemo Madiwani wa Halmashauri mbalimbali wamekuwa na utaratibu wa kuanzisha Vijiji kwa lengo la kujinufaisha kwenye masuala ya Uchaguzi, hali inayochangia kuibuka kwa migogoro ya Ardhi
Akizungumza baada ya kuapishwa kwa Viongozi aliowateua...
Natafuta Mashamba ya Bei Rahisi kwenye Mikoa ya Kagera na Tabora. Mashamba yenye ukubwa wa zaidi ya ekari 50, yawe na upatikanaji wa maji ya kutosha na hali bora ya hewa.
Mwenye taarifa za kutosha au mawazo juu ya upatikanaji wa hayo mashamba, pamoja, tricks na ushauri, wanakaribishwa sana...
Habari.
Naomba niende moja kwa moja kwenye hii issue.
Kuna taarifa ambayo kwa sasa inatambaa sana hapa jf na hata kwenye mitandao ya kijamii kama x,na you tube.
Issue inahusu swala la mapacha wawili waliokuwa wanafunzi wa ardhi kusema kuwa kuna Mtihani mmoja wa supplementary walishawahi...
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Kuna hiki kipande cha video kinachobamba mtandaoni kuhusu mapacha wawili ‘wanaokiri’ hadhrani kufanyiani mtihani ‘chuoni’.
Ukisikiliza kwa makini na kwa utulivu wa hali ya juu, utagundua kuwa hawa watu wanaigiza tu. Haiingii akilini watu...
Kwa haraka haraka kifuatacho ni majanga kama ya ujane na watoto.
Nashauri baharia wote tukae mkao wa kula tugawane hizo toto's.
Hio inaitwa wamrambee, wamnyonyoee, hawavumi ila wako Ardhi.
Ndio hivyo tu
Wadiz
Hivi unakiri vipi kwenye kweye TV inayotazamwa na watu wengi hivyo jambo linaloweza kukuingiza matatani? Haya sasa mambo yameharibika!
Chuo Kikuu Ardhi kimepata taarifa kupitia Wasafi FM, chaneli ya YouTube ya mahojiano kati ya waandishi wa habari na mapacha wawili wanaofanana. Mahojiano hayo...
#UWAJIBIKAJI: Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Paul Makonda amesema katika ziara zake alizofanya katika Mikoa 23 nchini, amebaini matatizo na kero kubwa zinazowakabili Wananchi ikiwemo Watu kudhulumiwa Ardhi na tatizo la Hati Batili.
Amesema Ipo dhulma kubwa kwenye Sekta ya Ardhi, huko...
Idara y ardhi matatizo wanayoyasababisha ni haya
1. Double allocation hii inafanywa makususdi na maafisa wa ardhi waandamizi
2.Vishoka ambao wanashirikiana na watumishi waandamizi wa Idara ya ardhi. Kwa kushirikiana na vishoka wanavamia eneo la mtu, wanapima kinyemela kwa kumtumia kishoka, idara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.