ardhi

  1. BARD AI

    Mtu mmoja auawa, Raila atangaza maandamano ya kuingia Nairobi Julai 12, 2023

    Chama cha Azimio La Umoja One Kenya Coalition Party kimetangaza kuwa kitaendelea na maandamano ya kupinga serikali nchini kote Jumatano wiki ijayo, kikiahidi kuzidisha maonyesho kutokana na kile kilichoshuhudiwa Ijumaa wakati wa Siku ya Saba Saba. Viongozi hao washirika wa upinzani wakiongozwa...
  2. Tukuza hospitality

    SoC03 Mtanzania afutiwe Kodi za Ardhi na Majengo

    ConstantineJ. Samali Mauki Utangulizi Kila mara huwa nawaza, ikiwa serikali itatekeleza sheria zake kuhusu malipo ya kodi za ardhi na majengo kikamilifu, ikiwa ni pamoja na kupiga mnada viwanja/nyumba ambazo hazazijalipiwa, ni Watanzania wangapi watakosa makazi na kwenda kuishi mitaani? Sipati...
  3. chiembe

    Rais Samia, suala la ardhi la Shirika la Maendeleo Dar es Salaam na wananchi ni saizi yako. Futa hati, gawia wananchi, DDC waje Serikalini tumalizane

    Hawa watu wa DDC hata kama Wana hati, hawakutimiza sharti la msingi la kulinda ardhi yao. Hili ni shirika la umma, liko chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano, sioni sababu kwa nini lisumbue wananchi. Rais akilifutia umiliki kwani litamfanyaje? Si ni shirika la umma? Na kiongozi ni Rais...
  4. RAMAKISIMA

    SoC03 Uwazi katika huduma ofisi za ardhi

    Ardhi ni rasilimali hitajika katika nyanja za kiuchumi, kijamii, kisiasa. Mahitaji ya ardhi yakuwa kwa kasi kutokana na kuongezeka kwa idadi ya watu na shughuli za kiuchumi. Serikali ya Tanzania Kwa kujua umuhimu wa ardhi imeweka wizara ya ardhi na maendeleo ya makazi kwaajili ya kuratibu...
  5. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Mnzava Asisitiza Kuwa na Mpango wa Matumizi Bora ya Ardhi ili Kumaliza Migogoro ya Ardhi Nchini

    MHE TIMOTHEO MNZAVA ASISITIZA KUWA NA MPANGO WA MATUMIZI BORA YA ARDHI ILI KUMALIZA MIGOGORO YA ARDHI NCHINI "Nampongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri anayoifanya ya kujali maisha ya wananchi wa nchi hii. Maazimio haya ni ushahidi wa namna...
  6. F

    Baraza la Ardhi la wilaya ya Ubungo, ofisi zao ziko sehemu gani?

    Habari wadau. Naomba msaada wa kuelekezwa zilipo ofisi za baraza la ardhi wilaya ya ubungo zilipo. Zipo sehemu gani?
  7. FaizaFoxy

    Kwanini Taasisi za kidini zinahodhi maeneo makubwa ya Ardhi Tanzania? Wapewe wananchi

    Siyo siri, Tanzania taasisi za kidini takriban zote, kwenye mikoa na wilaya zote zinahodhi maeneo makubwa ya ardhi ambayo hayatumiki kabisa au utakuta kwenye maeneo yao makubwa wanayohodhi kinejengwa kijumba kimoja au viwili vya kuzuga tu. Wakati huohuo tunasikia mara kwa mara migogoro ya...
  8. Stephano Mgendanyi

    Hakuna Uuzwaji wa Ardhi Mkataba wa DP World na Tanzania

    MHE. ELIBARIKI KINGU - HAKUNA UUZWAJI WA ARDHI MKATABA WA DP WORLD NA TANZANIA "Tukiwa kama wabunge tuna nafasi ya kusema vitu vinavyotoa muelekeo wa nchi. Mafanikio tunayoyazungumza ya Serikali ya awamu ya sita nyanja za Kiuchumi, Kijamii, Kisiasa kwa dhati ya moyo niseme Waziri wa Fedha na...
  9. Stephano Mgendanyi

    Serikali yashauriwa kuongeza bajeti kwenye tume ya taifa ya matumizi bora ya ardhi

    MHE. JAFARI WAMBURA AISHAURI SERIKALI KUTENGA FEDHA ZA KUTOSHA KWAAJILI YA TUME YA TAIFA YA MATUMIZI BORA YA ARDHI NCHINI Mbunge wa Jimbo la Rorya Mhe. Jafari Chege Wambura tarehe 22 Juni 2023 amechangia hotuba ya Bajeti ya Serikali Kuu kwa mwaka 2023-2024 bungeni jijini Dodoma "Namshukuru...
  10. Father of All

    Je ikitokea likaja wazo kuwa uchague kati ya kubinafsisha ardhi, bandari, mbuga, kwa uchukuaji uitwao uwekezaji na ikulu, utachagua kipi?

    Rais Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Ujumbe kutoka Kampuni ya DP World uliongozwa na Mwenyekiti wa Kampuni hiyo kutoka Falme za Kiarabu (UAE)Bw. Sultan Ahmed Bin Sulayem, wakati Ujumbe huo ulipofika Ikulu Dar es Salaam leo tarehe 17 Nov 2021 (pichani ikulu Dar). Tangu tuanze sheria za...
  11. ChoiceVariable

    Kuhusu Mbowe, Bandari na Ubaguzi: Je, huwezi kufanya ukosoaji bila kuleta ubaguzi wa kikanda?

    Je, hii ni sawa? Hongera kibajaji Kwa kuhoji huu Ubaguzi uliofanywa na Mbowe. Si ajabu watu Huwa wanawashutumu Wachaga Kwa Ubaguzi na ukabila. Hivi msimamo wa Chadema kuhusu Muungano ni upi? Akina Salum Mwalimu na yule anajiita Mwenyekiti wa Baraza la Wazee bila shaka wamepata ujumbe wao kutoka...
  12. Annie X6

    Tofauti ya pango la ardhi na kodi ya nyumba

    Katika matangazo yanayotolewa Kuna Kodi zinatajwa Kwa wadaiwa sugu. Ile inayokatwa kwenye umeme na inayodaiwa ikalipwe wizara ya ardhi zinatofaiti ipi. Wananchi sijamuona hata mmj anayekwenda kulipa hizi Kodi. Msaada wa utambuzi
  13. Ngongo

    Kwanini Viongozi kutokea Zanzibar wanapenda kuuza ardhi ya Tanganyika?

    Heshima kwenu wanajamvi, Kumekuwa na sintofahamu kila mara kiongozi mkuu wa nchi (Rais wa JMT) akitokea nchi ya Zanzibar jambo la kwanza ni kuuza ardhi ya Tanganyika. Rais wa awamu ya pili Mzee Ally Hassan Mwinyi aliuza ardhi ya wamaasai huko Loliondo kwa waaarabu wa Dubai UAE. Rais Samia...
  14. MK254

    Kiongozi wa Wagner apatwa na hasira baada ya Ukraine kuendelea kurejesha ardhi ya Bakhmut

    Ikumbukwe Warusi walikufa zaidi ya 60,000 huku wengi wakiwa wapiganaji wa Wagner kipindi walikua wanajaribu kuteka mji wa Bakhmut, kiongozi huyu alijitangazia ushindi na kuondoka na kuacha wanajeshi wa Urusi wakijipambania, sasa amehamaki sana baada ya taarifa kumfikia kwamba maeneo mengi...
  15. Expensive life

    Hivi kweli wanayanga leo mlikuwa na Matumaini ya kuchukua Kombe kwenye ardhi ya Mwarabu?

    Wale jamaa wana kila mbinu za kuhakikisha kombe linabakia kwenye ardhi yao, week ikiyopita nikiandika hapa mkanibeza. Yale mafataki yalikuwa yanapigwa kwa vipindi maalumu siyo kama sisi tunavyoyapigaga hapa kiholela. Ratiba ya mafataki ilikuwa kama ifiatavyo; 1. Hotelini walipofikia Yanga. 2...
  16. Pascal Mayalla

    Wabara ondoeni shaka, ardhi ya SMZ Bagamoyo si sehemu ya Zanzibar. SMZ haina hati; limetelekezwa miaka 45 ila Zanzibar inamiliki kihalali

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huja na kwa maslahi ya taifa. Maslahi ya leo ni hii issue ya SMZ kumiliki eneo la ekari 6000 Bagamoyo. Tangazo la SMZ Zanzibar: Hekta 6,000 zilizopo Bagamoyo ni mali yetu limeleta taharuki na sintofahamu kubwa kwenye mitandao ya kijamii hadi...
  17. Stephano Mgendanyi

    Serikali Itenge Maeneo Maalum kwa Ajili ya Wakulima na Wafugaji ili Kuondoa Migogoro ya Hifadhi za Ardhi

    SERIKALI ITENGE MAENEO MAALUM KWA AJILI YA WAKULIMA NA WAFUGAJI ILI KUONDOA MIGOGORO YA HIFADHI "Nchi zilizoendelea mfano Afrika ya Kusini, Durban ni sehemu inayohusika na viwanda tu. Johannesburg ni sehemu inayohusika na Biashara tu. Tanzania tutenge maeneo yawe ni Maalum kwa wafugaji wetu tu...
  18. Mr Dudumizi

    Swala la ardhi ya Bagamoyo ni strategy ya kisiasa tu, lakini kiuhalisia serikali ya Zanzibar haimaanishi kile ilichoongea

    Habari zenu wana JF wenzangu, Kuna mshituko mkubwa umetukumba watanganyika, hasa kuhusu hili swala la serikali ya Zanzibar kudai kuwa ina eneo lake la ardhi huko wilayani Bagamoyo mkoani Pwani. Kama ilivyo kawaida ya baadhi yetu, huwa hatukurupuki kulalamika bila kufuatilia kwa makini kina cha...
  19. P

    Rais wa Zanzibar tafuta washauri wazuri suala la ardhi ya Bagamoyo

    Hili sakata la ardhi ya Bagamoyo ya hekari elfu sita kuwa ni mali ya Zanzibar lina ukakasi na halifai kupita bila ya kupata mawazo mbalimbali yenye lengo la kuboresha uelewa mpana wa raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni kweli Mwalimu Nyerere aliwapa Zanzibar ardhi ya Bagamoyo ili waweze...
  20. monakule

    DOKEZO Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi Sengerema achunguzwe

    Kwa wahusika, Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi wilaya ya Sengerema hajatoa nakala za hukumu ya kesi nyingi na leo ni siku ya 36 baada ya hukumu kutolewa, na ikumbukwe kuwa muda wa kukata rufani ni ndani ya siku 45 tu. Hadi sasa mwenyekiti huyo hajulikani alipo na karani wake amepokea hela bila...
Back
Top Bottom