Rais wa zamani wa Argentina, Albero Fernandez (65) anatuhumiwa kwa mashtaka ya Unyanyasaji dhidi ya mke wake wa zamani Fabiola Yañez (43)
Waendesha mashataka nchini humo wameanza uchunguzi dhidi ya tuhuma hizo baada ya Fabiola kuwasilisha mashtaka ya kupigwa na kulazimishwa kutoa ujauzito...
Hilo bomu alilipua mwaka wa 1994 kule Argentina......
---
The Argentinian Foreign Affairs Ministry made an official request to arrest Iranian Interior Minister and former Quds Force commander Ahmad Vahidi for his role in the 1994 AMIA bombing, the ministry announced Wednesday morning.
The AMIA...
Baada tu wachezaji kuingia uwanjani mashabiki wa Brazil walianza kuwarushia vitu mashabiki wa Argentina, ndipo vurumai kubwa lilipotokea.
Wachezaji wa Argentina wakiongozwa na nahodha wao Lionel Mesi wamerudi vyumba vya kubadilishia jezi na hawajatoka mpaka sasa.
Kutana na mwamba wa kuitwa 'The Madman' ambaye ameshinda uchaguzi wa urais wa Argentina.
Huyu mwamba ni mfuasi wa mrengo mkali wa kulia ambaye anamu-inspire sana "Madman" mwenzake Donald Trump.
Ni mfuasi mkubwa wa Israel na ameahidi mageuzi makubwa sana nchini Argentina, sasa wamemkabidhi...
Argentina akicheza katika uwanja wake wa Estadio La Bombonera jijini Buenos Aires amekubali kipigo cha goli 2 bila majibu kutoka kwa mtani wake wa jadi Uruguay katika Derby ya kusisimua.
Argentina na golikipa wake Emiliano Martinez walikuwa hawajaruhusu goli lolote katika mechi nane walizocheza...
Mpira wa Kibrazili unakupa Matokeo japo kwa kila mara Kumuomba Mungu, ila baada ya Mechi unalazimika kutafuta Panadol Extra na Dawa za Kushusha Presha ili Unywe.
Mpira wa Argentina tangu unaanza tu unakupa Raha Kuutizama, husikii Njaa, huhisi Pepo wa Ukichaa Kukupanda, Maji na Juice vinashuka...
Sasa BRICS itakuwa na wanachama 11 wenye sifa zifuatazo
● BRICS itakuwa na mataifa 6 kati ya 9 ambayo ni wazalishaji wakubwa wa mafuta na gesi duniani.
● BRICS itakuwa na mataifa ambayo yana 80% ya oil reserve duniani.
● BRICS itakuwa na mataifa yenye jumla ya GDP $30.76 trillion. Asilimia...
Baada ya Afrika, bara la Amerika Kusini ndilo lenye watu weusi wengi zaidi wakikadiriwa kuwa zaidi ya milioni 170 huku Brazil ikiongoza ikiwa na watu weusi takriban milioni 120.
Nchi ya Argentina inatajwa kuwa mpaka sasa watu weusi ni chini ya laki mbili wakiwa takriban asilimia 0.5% kutoka...
Habari ndugu kuna Eneo linauzwa Manzese Argentina. Eneo linatazamana na barabara kuu ya Morogoro road jirani kabisa na kituo cha Mwendokasi cha Argentina
Eneo linafaa ujenzi wa hotel, shell au kuweka kitega uchumi chochote
Bei 400ml maongezi yapo
kwa maelezo zaidi What's up number
+255628891673...
Hello,
Yanga SC halali yao kuitwa utopolo na yeboyebo, mdebwedo, hii ligi ya makocha hamtaiweza Simba SC member mwanzilishi wa African Super League.(ASL).
Yanga SC wamesajili kocha kituko,
Hongera yanga Kwa usajili wa Angelina
Wakati mataifa mengine yanafikiria kuachana na dola ya Marekani katika biashara ya kimataifa kuna mataifa mengine yanafikiria kutumia sarafu hiyo adhimu kama sarafu ya nchi.
-----
While some emerging economies have demonstrated an eagerness to untangle themselves from the dollar's dominance...
Ni moja kati ya wanasoka nguli waliowahi kutikisa ulimwengu wa soka zama zake, Fatilia mkasa wake..
Part 1:: Diego alizaliwa sehemu masikini alishindwa kuweza hata kumudu nauli ya kwenda kufanya majaribio ya kujiunga na academy, Rafiki yake anampigia connection ili apate nauli:
WHILE THIS...
Waziri wa mambo ya nje wa Argentina Santiago Cafiero amesema tayari ameshamjulisha mwenzake wa Uiengereza James Cleverly nia ya nchi yake kujitoa kwenye mkataba wa mashirikiano uliosainiwa mwaka 2016.
Wakati wa utawala wa Margret Thatcher nchi hizo mbili ziliwahi kupigana mwaka 1982 kuhusiana...
Messi amenunua simu 35 aina ya iPhone14 za dhahabu na kuwazawadia kikosi cha Timu yake ya Taifa ya Argentina kwa kutwaa Ubingwa wa FIFAWorldCup2022
Inaelezwa kuwa Nyota huyo wa PSG ametumia takriban Tsh. Milioni 409.5 kununua simu hizo, huku 1 ikikadiriwa kugharimu zaidi ya Tsh. Milioni 14...
Nimekuwa shabiki wa soka kwa muda mrefu sana. Kwa muda wa miaka 20 sasa. Nimeangalia mechi nyingi sana na za kutosha, zaidi ya 1000 hadi leo hii.
Toka enzi za goli la dhahabu hadi leo hii ambapo goli la ugenini limefutwa kwenye mashindano ya Ulaya na technolojia ya VAR inatumika.
Nimeangalia...
Shirikisho la soka ulimwenguni, FIFA limetangaza kufungua kesi za kinidhamu dhidi ya timu ya Argentina kutokana na kile ilichokitaja kama tabia zisizo za kiungwana ilizoonyesha baada ya kuchukua ubingwa wa kombe la Dunia mwezi uliopita.
Mlinda mlango wa Argentina Emiliano Martinez alionyesha...
Kwa Tafsiri ya Kiswahili ni " Ingekuwa sio haki Kama Messi angestaafu bila kushinda kombe la Dunia"
Kumbuka na Hawa walishatabiri Argentina itabeba kombe baada ya kuona Mambo yalivyokuwa yakienda
Huyu ndiye golikipa wa timu ya Taifa ya Argentina ambaye mchambuzi maandazi wa soka TBC alidai anaidakia timu ya Sevilla la liga Hispania.
Ukweli ni kuwa ni golikipa wa Aston Villa EPL UIngereza. Huyu mchambuzi maandazi aliyepewa jukumu la kuchambua soka TBC wakati wa kombe la dunia sijui...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.