Nani kakuambia waarabu hawapendi sana mpira? Mfalme wa Saudi Arabia (King Salman) ameitangaza kesho tarehe 23/11/20-11 kuwa siku ya mapumziko ili watu wapate nafasi ya kufurahia na kusherehekea ushindi wa kuifuinga Argentina yenye Messi kwenye mechi ya Kombe la Dunia!
Sipati picha kama...
Mara kwa mara nimekuwa nikijizuia kuandika chochote hapa JF chenye ubashiri kwa woga wa kuonekana ni muongo au mzushi, lakini baadaye ule ubashiri wangu (niliobakia nao akilini) kwa sehemu kubwa umekuwa ukitokea!
Na kwa kuwa JF ndio umekuwa mtandao wenye kueleweka au kuaminika zaidi hapa...
Mwanaume mmoja anashikiliwa baada ya jaribio la kutaka kumuua Makamu wa Rais wa Argentina, Cristina Fernandez de Kirchner alipokuwa akiwasalimia Wananchi nje ya nyumba yake Jijini Buenos Aires.
Mtuhumiwa amenaswa na picha za video zilizokuwa mubashara akiwa na bastola kisha kuielekeza kwa...
Tozo tunazochapwa ndizo zinafanya hii kazi ?
klabu ya Singida Big stars inayomilikiwa na Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba imeweka rekodi Tanzania kwa kuwa klabu ya (1) kusajili mchezaji kutoka Argentina
Anaitwa Miguel Alejandro Escobar, ana umri wa miaka (27) tu ni kiungo mshambuliaji
Bila...
Waziri Martin Guzmán amejiuzulu wakati mdororo wa Kiuchumi ukiendelea kushika kasi katika Taifa hilo. Guzmán aliyehudumu tangu 2019 ameashiria kuwepo mgawanyiko ndani ya Serikali
Inaripotiwa kuwa, Rais Alberto Fernández anatofautiana na Naibu wake, Cristina Fernandez de Kirchner kuhusu jinsi ya...
Tarehe 1/june, kutakua na mechi babkubwa, kati ya Argentina ambao ni mabingwa wa bara lao (Amerika ya kusini) wanakutana na Italy ambao pia ni mabingwa wa bara lao (Ulaya)
Game litachezwa tarehe 1/june, saa 3:45, usiku.
Jaribio la Rais wa Argentina Mauricio Macri kutoa zaidi ya dola milioni moja kwa hisani/msaada iliyoungwa mkono na mmoja wa watu wake maarufu nchini Papa Francis alirudishwa nyuma mapema wiki hii, wakati kiongozi wa Katoliki alipokataa zawadi hiyo inaonekana kwa sababu kiasi kilikuwa na nambari...
Usiku wa leo, Katika dimba la Maracana pale Brazil, kutapigwa mchezo wa kukata na shoka kati ya Argentina Vs Brazil kuanzia saa 9:00 Usiku kwa masaa ya Afrika Mashariki.
Mara ya mwisho Argentina kutwaa ubingwa huo ni mwaka 1993 wakati Brazil ni bingwa mtetezi.
Brazil imeandaa michuano hiyo...
Wadau wenzangu
PNC
The Icebreaker
Joseverest
King_Ngwaba
makaveli10
kilambimkwidu
Chukwu emeka
BAK
Anigrain
The Boss
Saint Ivuga
dingimtoto
Kanungila Karim
Van De Beek
FORTALEZA
tony92
Chaliifrancisco
adriz
Prince Kunta
OKW BOBAN SUNZU
DENLSON
Waterloo
Isanga family n.k...
Wasalaam,
Kumekuwa na Hadithi nyingi sana Kumuhusu diktekta maarufu , mwamba wa Ujerumani Adolph Hitler, katika hatma yake Wengine wakidai alichomoka kwenda kwa wafadhili wake wa Argentina kustirika Aibu ya kushindwa Vita, wengine Wakadai alijitumbukiza kwenye Tindikali Eti baadala ya Mabaki...
Baraza la seneti la Argentina, limepitisha mswada wa sheria wa kihistoria unaohalalisha uavyaji mimba katika taifa ambalo Kanisa Katoliki limekuwa na ushawishi mkubwa kwa muda mrefu.
Argentina imekuwa miongoni mwa kundi dogo la nchi za Amerika Kusini kuchukua hatua hiyo.
Muswada huo...
Seneta Norma Durango aliwasilisha muswada bungeni ili kumfanya kiungo huyo, ambaye alifariki wiki mbili zilizopita akiwa na umri wa miaka 60, kuwa kwenye noti ya 1,000 sawa na dola ($ 12, £ 9), noti ya juu zaidi.
Noti hiyo itakuwa na uso wa Maradona upande mmoja na picha ya moja ya mabao yake...
Mwamba hatunaye tena.
Alikuwa na miaka 60.
Masikitiko makubwa.
Rais wa Argentina katangaza siku 3 za maombolezo.
-----
Wasifu Wa Hayati Maradona
-----
Mmoja wa wachezaji waliobarikiwa, Argentina ilijivunia kipaji cha kipekee, madoido ya ajabu akiwa uwanjani, maono na kasi vilivyovutia...
Ni swali ambalo wanamichezo mbalimbali huwa wanajiuliza karibu kila siku, kwa nini timu ya taifa ya Argentina 🇦🇷 haina mtu mweusi?.
Kwanza kabisa tofauti na imani ya wengi baada ya Afrika bara la Amerika Kusini ndiyo lenye watu weusi wengi zaidi wakikadiriwa kuwa zaidi ya milioni 170 huku...
Jamhuri ya Ajentina | Argentine Republic au República Argentina
Argentina ni taifa linalopatikana bara la Amerika Kusini likiwa na mipaka baina ya Bolivia, Brazil, Chile, Paraguái, Uruguay na bahari ya Kusini Atlantiki.
Taifa hili lenye ukubwa wa Kilomita za mraba 2,766,890 millioni sawa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.