Aliyekuwa Meya wa Kampala Erias Lukwago, ambaye pia ni wakili wa kiongozi wa upinzani Dr. Kizza Besigye, ameripotiwa kukimbizwa Hospitalini kwa matibabu ya dharura baada ya kupata matatizo makali ya kiafya akiwa mahabusu.
Taarifa zilizotolewa na naibu wake wa zamani Doreen Nyanjura Omutatina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.