artan azuiwa marekani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mwamuzi wa Somalia, Artan baada ya kuchezesha UEFA Super Cup asema 'Hili lilikuwa Kombe langu la Dunia'

    Baada ya kunyimwa ruhusa ya kuingia Marekani kwa ajili ya Kombe la Dunia, Omar Artan alikuwa mwamuzi wa kwanza kutoka Afrika kuchezesha fainali ya UEFA Super Cup Agosti 12, 2026 mjini Salzburg, nchini Austria katika Uwanja wa Red Bull Arena (pia unajulikana kama Stadion Salzburg), ambapo klabu...
  2. JamiiForums Tanzania Mwamuzi Omar Artan atalipwa Posho yote ya Kombe la Dunia, licha ya kunyimwa Visa ya Marekani

    Mwamuzi wa Womalia, Omar Artan, ambaye alinyimwa visa ya kuingia nchini Marekani kuchezesha Kombe la Dunia linaloendelea la 2026, atalipwa posho yake yote ya mashindano hayo. Vyanzo vya habari vimeiambia BBC Sport kwamba, ingawa Artan hatashiriki kabisa katika Kombe la Dunia, Shirikisho la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…