Habari, ninamasikitiko kwa jinsi ya zoezi la interview linavyoendeshwa huko Arusha.
Kuna issue ya age limit 25 kwa diploma na degree 30,mfumo wa utumishi(ajira portal) umechuja kulingwna na age labda 25 sawa sasa watoto wameitwa baada ya miezi miwili au mitatu before alikuwa 24 wakati anaomba...