Zamani ilikuwa inajulikana kuna vijana wa hovyo walikuwa wakijiita wadudu wa dampo jijini Arusha ambao hasahasa walikuwa wakijihusisha na muziki wa Hiphop. Na hata wengi wao walikuwa wakivuka adolescence hubadilika na kuwa na tabia za kiutu uzima ikiwamo kuacha kujiita mdudu wa dampo. Hawakuwa...
Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP) Silvester Mwakitalu, Leo amewasilisha katika Mahakama kuu ya Tanzania masijala ya Arusha ombi la kuiondoa Rufaa No.155 ya Mwaka 2022 Aliyokua ameikata dhidi ya Aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya Na wenzake.
Rufaa hiyo ilikatwa na Jamhuri baada...
Arusha imebarikiwa sana katika maliasili, mazingira na hali ya hewa. Bahati mbaya INA WATU WASHAMBA SANA.
Nimewaona hata hawa vijana wanaojiita wadudu nikajisemea tu kuwa hiki ni kielelezo kimojawapo cha TABIA ZA KISHAMBA ZA WATU WA ARUSHA.
Mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi kuvutiwa na...
Arusha inasifika kwa utalii.....Arusha ni jiji linalokutanisha watu wa makundi mbalimbali kwa sababu ya hali yake ya hewa.
Katika ukanda wa Afrika Mashariki DAR imeshindwa kushindana na Nairobi kwa sababu hali ya DSM ni joto na hivyo uvutia watu wachache kuishi ikilinganishwa na Nairobi ambayo...
Ndugu zangu Watanzania,
Mwamba Makonda hapoi wala hakauki midomoni mwa watanzania.ni mtu na kiongozi wa kugonga na kuteka vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kila uchwao utafikiri field Marshall anayerejea kutoka uwanja wa vita na mapambano.
Baada ya kuwa na utaratibu wa kukutana na...
Wakati serikali ikiendelea na ujenzi wa uwanja wa mpira jijini Arusha kwa ajili ya Afcon 2027,
Sio vibaya Arusha iwe na timu ligi kuu kwa lengo la kuufanya mji uwe busy na pilika za kimichezo.
Hata kama mpaka kufikia muda huo hili litashindikana basi TFF waangalie namna ya kupanga mechi...
Fuatilia kinachojiri kwenye Maadhimisho ya siku ya Mei Mosi Kitaifa, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha, leo Mei 1, 2024
https://www.youtube.com/live/ou5SjfKQdUs?si=ZGhP6q5GsAM4R5SS
Maadhimisho haya yamehudhuriwa na Makamu wa Rais, Philip Mpango, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge...
Kumekucha Arusha naona mwitikio mkubwa wa wafanyakazi je! Wamelazimishwa?(tetesi) na je kama ni Kwa hiari yap wanamategemeo Gani?
Sina hakika kama Kuna jipya maana Kwa mara ya kwanza mgeni rasmi(rais) kaingia mitini,makamo Hana maamuzi ya papo Kwa hapo ataahidi kumfikishia ujumbe rais(changa...
Kufuatia agizo la Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alilolitoa Aprili 4, 2024 akiwaapisha viongozi mbalimbali alitoa maelekezo mahususi kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, kuhusu kuhamasisha uwekezaji katika sekta ya utalii kwa kushughulikia changamoto ya upatikanaji wa...
Mwenyekiti wa bodi ya wakala wa usalama na afya mahali pa kazi Adelhelm James Meru ametembelea maonyesho ya mabanda katika viwanja vya General teyre Jijini Arusha kukagua mabanda pamoja na kujionea majukumu ya utekelezaji wa vifaa vinavyo tumika mahala pakazi kwa tahasisi mbali mbali za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.