Rais wa Nchi ya Zanzibar yuko Jijini Arusha kikazi maalumu Mkutano Mkuu wa CRDB.
Kama ulivyo utaratibu wa kuwapokea Viongozi wakuu wa nchi mbali mbali,leo mji wa Arusha umetembelewa na Rais wa Nchi ya Zanzibar kwa bashasha kubwa.
Adhaa pekee tunayokumbana na nayo ni foleni kubwa ambazo...
Habari!
Sisi ni chuo tupo Arusha tunatoa kozi mbalimbali zikiwemo za utalii
Katika kuhakikisha tunawafikia wanafunzi wengi tumeona ni vyema tuongeze team katika idara yetu ya marketing
Kama upo Arusha au mkoa wowote unaweza kuifanya kazi hii tafadhali wasiliana nasi kwa maelekezo zaidi 0658547794
Arusha 16 Mei 2024 - Serikali imeipongeza Benki ya CRDB kwa kutoa msaada wa pikipiki kwa Jeshi la Polisi mkoani Arusha ili kuimarisha doria zitakazoongeza usalama kwa watalii wanaokuja nchini. Pongezi hizo zimetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda alipopokea pikipiki hizo zenye thamani...
Jeshi la Polisi mkoa wa Arusha leo Mei 16, 2024 limepokea msaada wa pikipiki 20 toka benki ya CRDB kwa ajili ya kuimarisha usalama wa raia na mali zao katika Mkoa huo.
Pia soma:
LGE2024 - Yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha - Novemba 27, 2024
Akikabidhi pikipiki...
Mbona Makalla na Makonda wanakinzana? Kile kikao cha maadili alichoenda April hakikufanya kazi?
Anataka kutuambia kuwa anakubali watu huwa wanaonewa kutokana na umasikini wao na hivyo kukosa haki? Kwamba bila ya kuwa na hela huwezi kutoboa Mahakamani?
=====
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul...
Braeburn International School Arusha
INVITES APPLICATIONS FOR
Head Of Services
Braeburn International School Arusha is a co-educational day and boarding school catering for both the international and Tanzanian community. Accredited by the Council of International Schools, we have earned a...
Nimekuwa nikifuatilia wananchi wa Mkoa wa Arusha wakitoa kero zao mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Ndugu Makonda. Kwa asilimia kubwa lazima sheria zifuatwe na Mkuu wa Mkoa hayuko juu ya sheria. Inawezekana kero nyingi zilizotolewa tayari aidha ziko Mahakamani au uamuzi wa kisheria...
Mkazi wa Muriet Jijini Arusha akielezea changamoto aliyokutana nayo akidai Mtoto wake amelawitiwa na baadhi ya Watu huku Askari kadhaa wa Murieti wakimzungusha kupata haki yake licha ya vipimo vilivyofanyika katika Hospitali ya Murieti na Mount Meru kuthibitisha ukatili aliofanyiwa mwanaye...
Kinachotokea kwenye mikutano ya mkuu wa Mkoa wa Arusha kimeonesha kuwa, wananchi wengi wanateseka sana kwa kukosa haki zao kutokana na watendaji wabovu wa nafasi tofauti tofauti. Nafikiri hata viongozi wa juu wanashangazwa na uozo uliopo huku chini
Ikimpendeza Muheshimiwa Waziri Mkuu atoe TAMKO...
Kuna mada nimeziona nyingi kuhusu wadudu. Ukweli ni kwamba wanaotrend sana kama wadudu kipindi hiki sio wadudu.
Kwanza hao ni wakuja tu huyo kenyoyo sio wa Arusha ni wa Mto wa Mbu.
Wadudu OG ni wanaitwa Wadudu wa Dampo na wengie waliitwa Watato wa Mbwa ni madogo ambao labda wengine kwa sasa...
Bila Benki Kuu na Wizara ya Fedha kuongilia kati, naona mgomo mkubwa unanukia Arusha au Nchi Nzima kutoka kwa mawakala wa mabenki na taasisi za fedha wanaokusanya madeni mara baada ya Makonda kuanza kuwakamata baada ya kutimiza majukumu yao.
Hii itakuwa na athari kubwa kiuchumi kwa kuwa fedha...
Kumekuwa na wizi unaendelea majumbani mwa watu nyakati za usiku wa manane hapa Arusha , wanaiba haswa side mirrows za Land Cruisers, Exels za Land Cruisers na vifaa vingine vya magari ya Watalii!
Vifaa hivyo huuzwa kwa Wadau ambao huviuza tena kwa wahanga!! Vilio ni vingi mno!
Sakina, Kwa...
Tunaomba msaada mkuu wetu wa Mkoa, nafahamu jinsi ulivyo na moyo wa kuwasaidia wananchi. Tanfom wamejenga ukuta kwenye eneo Lao jipya la moshono losirway, wamejaza udongo barabarani zaidi ya miezi miwili sasa hawajatoa.
Kwa kweli tunapata shida tunapokuja usiku tunaachwa mbali na toyo inabidi...
Sheikh wa mkoa wa Arusha Sheikh Shaaban Bin Juma akiambatana na viongozi wengine wa BAKWATA mkoa wa Arusha leo, Mei 07.2024 ameongoza sala maalum ya kumuombea kheri Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Christian Makonda ili aweze kufanikiwa kwenye programu yake maalum inayoanza kesho Mei 08.2024...
Heshima sana wanajamvi,
Bank ya NMB ilifungua tawi (Branch) kwaajili ya wafanyabiashara (makampuni).
Jambo la kusikitisha siku hizo walimu,vibarua washona viatu,wauza ushanga,wauza mbege . ... wamejazana katika tawi hili ambalo lilikusudiwa kutoa huduma kwa makampuni.
Foleni zimekuwa kero...
A 30-year-old from Dar es Salaam is on the loose and craving some dinner company tonight! After a week of work in your lovely city, he's ready to spice up his evening with good food and even better conversation. If you're up for some laughs, great food, and maybe a bit of intrigue, why not join...
Nimewahi kuomba namna ya kuipata prospectus ya chuo cha ATC lakini sijapata msaada na bado naihitaji.
Pamoja na kuendelea na ombi langu ila najiuliza kwa nini chuo cha ATC hawaweki prospectus yao kwenye website yao wakati vyuo vingine vinavyotoa elimu ya juu vinafanya hivyo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.