arusha

  1. A

    DOKEZO Utoaji tenda Arusha DC kuna harufu ya Rushwa na matumizi mabaya ya madaraka, mfumo wa NeST unachezewa

    Kuna changamoto ambayo bila kuifuchua inaweza kuzidi kuwa kubwa na kusababisha ubadhirifu, rushwa na mengine mengi yasiyofaa kwenye jamii yetu. Uongozi wa Halmashauri ya Arusha DC imekuwa ikifanya michezo michafu kwenye utoaji wa tenda wa kukusanya ushuru wa Halmashauri pamoja na kuchezea mfumo...
  2. Pre GE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Arusha atoa simu wilaya zote kwaajili kusajili Wanachama wapya wa CCM

    Mwenyekiti wa UVCCM Arusha Simon Maximilian ametoa simu wilaya zote za Mkoa huo kwaajili kusajili wanachama wapya wa CCM. Amesema hizo zote ni jitihada za kumuunga mkono Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan. Soma Pia: Mbunge Norah Mzeru agawa simu janja (Smartphone)...
  3. Wadau mbalimbali wakutana Arusha katika Mkutano wa Kimataifa wa Uwazi na Uwajibikaji (ITAC) kujadili Mbinu za Kisasa za Ununuzi ili Kudhibiti Rushwa

    https://www.youtube.com/watch?v=Ii1HHXakCro Mkutano wa Kimataifa wa Uwazi na Uwajibikaji (ITAC) ulioanza Agosti 6, 2024 jijini Arusha unaendelea ambapo unajadili kuhusu Matumizi ya Mbinu za Kisasa kwenye Ununuzi wa Umma ili Kudhibiti Rushwa na Ubadhirigu, Kuhuisha Ununuzi wa Kielektroniki, Ubia...
  4. Yuko wapi Makonda? Kwanini Serikali mnaruhusu hali hii?

    Kwanza natanguliza samahani. Nimeona clip nyingi YouTube zikizungumza habari ambazo hazina Arya juu ya Arya ya makonda Inasemekana kwa week mobile RC makonda hajaonekana hadharani. Kama kuna mtu ana uhakika na habari hizi au anajua huyu kipenzi cha wa Tanzania alipo atujuze
  5. Mbunge Zaytun Swai Atimiza Ahadi Yake ya Milioni 12.5 kwa UWT Jiji la Arusha

    MBUNGE ZAYTUN SWAI ATIMIZA AHADI YAKE YA MILIONI 12.5 KWA UWT JIJI LA ARUSHA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha, Mhe. Zaytun Seif Swai ametoa Shilingi 12.5 kwa UWT Jiji la Arusha ikiwa ni ahadi yake aliyotoa kwa kutoa Shilingi Laki Tano (500,000) kwa kila Kata ya Mkoa wa Arusha kwaajili ya...
  6. Watu wa Arusha namuulizia shabiki yule kichaa mbabe yupo wapi?

    Exactly mwaka 1997 nilikua naenda Arusha kwenye kusaidia kibarua nikitokea moshi hapo nilikua form 3..sasa Nikiwa Pale Soko Kuu akaingia Jamaa Mmoja Mrefu Mbavu kweli kweli..kafanana kabisa na Damme wa Sinza kwa mnamjua Enzi zake aisee Jamaa alikua kapasuka kweli halafu ana bonge la Jibisu...
  7. Wizara ya Elimu yaweka Jiwe la Msingi ujenzi wa Chuo Ufundi cha Arusha Kampasi ya Kikuletwa Mkoani Kilimanjaro

    Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imeweka Jiwe la Msingi la ujenzi wa Chuo Ufundi cha Arusha Kampasi ya Kikuletwa iliyopo wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro kitakachokuwa Kituo cha Umahiri katika kutoa Nishati Jadidifu. Akizungumza Julai 30, 2024 baada ya kuweka Jiwe hilo la Msingi Waziri wa...
  8. Gavana wa Arusha atakuwepo uwanjani kuwaona wananchi?

    Kama mjuavyo leo yanga fc watakipiga huko southAfrica. Na kwa taarifa rasmi zilizotolewa na kiongozi ngazi ya mkoa hapo Arusha ni kuwa gavana wa arusha yupo likizoni akimalizia siku 28 za likizo za mtumishi hukohuko kusini mwa afrika. Sasa swali ni je ataenda kuwatia moyo wananchi hapo...
  9. Wachimbaji wa madini mererani wachachamaa wapinga soko la madini kuamishwa kwenda Arusha tunasimama na kauli ya Rais Samia

    SAKATA la kutaka soko la Madini ya Tanzanite kufanyika sehemu zote nchini sasa limeingia katika sura mpya baada ya wachimbaji wa madini hayo kusema kuwa wanaongoza agenda hiyo hawana nia njema na Serikali na wachimbaji kwani wametanguliza maslahi yao binafsi. Wachimbaji hao walisema na...
  10. Nitapata wapi Daktari wa ngozi Arusha?

    Nina vipele kwenye weusi kuzunguka chuchu. Nimetumia dawa vinaisha baada ya muda vinarudi tena. Nikashauriwa nitafute Daktari wa ngozi. Msaada tafadhali
  11. Uhalifu 2023: Zanzibar yaongoza ubakaji, Arusha yaongoza ulawiti

    Ripoti mpya kuhusu hali ya uhalifu nchini Tanzania imebaini ongezeko kubwa la kesi za ubakaji na ulawiti, ambapo mikoa ya Zanzibar, Arusha, na Morogoro inaongoza kwa kiwango kikubwa. Ripoti hiyo, inayoshughulikia takwimu kutoka Januari hadi Desemba 2023 pia inaonesha kwamba Mjini Magharibi ya...
  12. Watoto wawili wa familia moja wapotea baada ya kuaga wanakwenda shule Julai 24, 2024

    Watoto wawili wa familia moja wamepotea katika mazingira ya kutatanisha mkoani Arusha, baada ya kuaga wanakwenda shule jana Julai 24, 2024, lakini hawakurudi nyumbani na mpaka leo hawajaonekana popote. Watoto hao wanaosoma Shule ya Msingi Olosiva, wilayani Arumeru, wamedaiwa kupotea baada ya...
  13. Tutakuwa na Nane Nane Arusha, njoo ujipatie miche ya Pixie, Dragon na Tangarine

    Nitakuwepo nane nane Arusha na miche ya matunda kama Pixie Orange, Tangarine, Mineola na Clementine pia. Dragon fruits miche itakuwepo plus elimu ya kutesha Pixie ndio tutakuwa nazo nyingi na Dragons plus matunda yake. Pixie ni machungwa seedless ambayo ni cross ya Tangarine na Sweet...
  14. Mkoa wa Arusha haina msemaji?

    Kuna minong'ono imekuwa ikiendelea kwa siku kadhaa sasa kumuhusu RC wa Arusha, Paul Makonda, kwamba anaumwa sana na amekimbizwa South Afrika kwa matibabu. Hisia za baadhi ya watu ni kuwa kalishwa sumu kutokana na kuhatarisha maslahi ya "mafisadi" fulani. Kwa kipindi chote tokea hizo tetesi...
  15. Polisi wajengewa uwezo katika ukaguzi wa mitambo mizito, wasema wako tayari kwa ukaguzi wa mitambo hiyo

    Chuo cha Mitambo mizito (IHET) kimeendelea kutoa mafunzo kwa askari wa Jeshi la Polisi ambapo awamu hii kimeweza kutoa mafunzo na kuwataini askari ambao wamejengewa uwezo wa ukaguzi wa mitambo mizito huku washiriki wakibanisha kuwa utaalam huo walioupata unakwenda kuongeza ufanisi katika ukaguzi...
  16. Kwa huu utitiri wa mabasi mapya ya Arusha - Dar na masaa 24 yanasafiri, hivi ile treni ya Magufuli bado ipo?

    Kama kuna ruti ina mabasi mapya na kila siku ni Arusha - Dar Makampuni ya usafirishaji ni mengi mpaka yale makongwe yanapitwa sasa. Kuanzia Tilisho, Esther Luxury, Extra Luxury, Jader Luxury, wote huko mabasi ni makali sio kwa safari za Usiku au Mchana. Sasa nauliza, ile treni ya Arusha Dar...
  17. Mradi wa kuuza tofal wa halmashauri ya Arusha Dc umefeli vibaya madiwani waawajibishwe kwa kusababishia serekali hasara

    Niko ziara ya kikaz mkoa wa arusha na nikatembele arusha Dc ndipo nikabaini upigaji wa kutisha kwenye mradi mmoja wa ufwetuaji wa tofauli za bloku Kwanz nimebaini kuwa waliuziwa mtambo kwa bei ya juu ambao hadi sas hv haufanyi kaz tayari imearibika walinunua zaid ya milion. 120 mtambo ambao...
  18. J

    House4Rent Arusha, Nyumba inapangishwa

    Nyumba (double, 2 in 1) zinapangishwa. Ina master bedroom, sebule na public toilet, na sehemu ndogo kuweka meza ya kupikia. Kodi ni 100,000 kwa mwezi Eneo ni 1 km from Leganga (USA River). Iko karibu na Ngarasero Lodge Hakuna hela ya udalali.
  19. NMB - Arusha Business Center huduma mbovu

    Heshima sana wana jamvi, NMB ABC branch ni kwajili ya wafanyabiashara.Huduma zake unaweza kuziweka daraja moja na CRDB Premier mahususi kwa wafanyabiashara wa kati na wakubwa. Huduma za CRDB Premier zipo vizuri ukienda pale kama mtu wa level iliyokusudiwa wanakuelekeza tawi lingine. Huduma ya...
  20. Tetemeko mjini Arusha

    Wasalaam, Wandugu, ni kweli nimepata beer kadhaa za safari lakini sidhani Kama nimelewa kushindwa kusikia hiki nilichosikia around 8:33 up to 8:34 pm almost 30 seconds kumetokea tetemeko la kutisha maeneo ya, Ilboru na maeneo ya jirani mjini Arusha, Kuna mtu mwengine aliye shuhudia hili? Wasalamu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…