arusha

  1. Pre GE2025 Makonda uso kwa uso na Gambo kwenye mabanda Arusha, ona kilichotokea mbele ya Waziri Ndejembi

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda leo Jumatatu ya Machi 03, 2025 akiwa ameambatana na Waziri wa ardhi Deogratius John Ndejembi kutembelea mabanda kwenye maonyesho ya wiki ya mwanamke Jijini Arusha wamekutana uso kwa uso na Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Mashaka Gambo. Pia, Soma Kumekucha...
  2. Ni muda wa kufufua mradi wa safari City Arusha

    Habari Wakuu, Safari City ni mradi wa Satellite City uliobuniwa na NHC mwaka 2016 ni miaka 10 imepita bila mradi kuendelezwa ukienda sasa hivi unakutana na mapori, barabara zimefunikwa na nyasi, ni muda sasa wa kufufua mradi huu muhimu kwani uko pembezoni panapojengwa uwanja wa Afcon nashauri...
  3. Arusha: Mtoto wa miezi 9 alawitiwa na Baba yake mzazi hadi kufariki dunia

    Mtoto mwenye umri wa miezi 9 amelawitiwa na baba yake mzazi hadi kufariki dunia. Tukio hilo limetokea katika kata ya Olasiti mtaa wa Olasiti kati wilaya ya Arusha mjini. Mwenyekiti wa mtaa wa Olasiti kati Bwana Bruno amethibisha kutokea kwa tukio hilo mtaani kwake na kusema kuwa marehemu ni...
  4. Polisi watoa msaada kwa wanafunzi wenye ulemavu Arusha

    Jeshi la Polisi la Mkoa wa Arusha kupitia mtandao wa Polisi Wanawake limetoa msaada wa vitu mbalimbali kwa Wanafunzi wenye ulemavu wanaosoma katika kituo cha Mafunzo kwa Watu wenye ulemavu kilichopo wilaya ya Arumeru mkoani humo. Mwenyekiti wa mtandao wa Polisi wanawake Mkoa wa Arusha (TPF NET)...
  5. Makonda na usumbufu Jijini Arusha

    Heshima sana wanajamvi, Tangu Makonda ateuliwe Mkuu wa Mkoa wa Arusha amekuwa ni mtu wa harakati nyingi sana ambazo kwa kiasi kikubwa kawaweka watu busy pasipo sababu za maana. Makonda alianza na harakati za vipimo (Matibabu) katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid.Zoezi hili lilileta faraja hasa...
  6. Arusha: Kijana amchoma visu binti wa kazi hadi kumuua

    Binti mmoja ajulikanae kwa jina la Hadija mwenye umri wa miaka 17 amefariki dunia baada ya kuchomwa visu kadhaa na kijana wa mwenye nyumba aliyofikia kufanya kazi. Sababu za kijana huyo kufanya hivyo inaelezwa kuwa ni kijana huyo kutaka kumbaka binti huyo na ndipo yalipotokea kupishana kati...
  7. U

    Makonda asema kuanzia kesho Kila Mwanaume Arusha ampost mke wake

    Wadau hamjamboni nyote? Nukuu ya Mkuu mkoa Arusha Mheshimiwa Paul makonda akiwa jijini humo
  8. T

    Pre GE2025 Mawakili wa Samia Legal Aid kusimamia kesi za wananchi mahakamani

    Wizara ya Katiba na sheria imetuma Mawakili wa serikali takribani 50 ambao kwa siku nane mfululizo watakuwa Mkoani Arusha, kusikiliza na kutoa msaada wa kisheria kwa wananchi wa Mkoa huo kupitia kampeni ya Kitaifa ya msaada wa kisheria ya Mama Samia inayokwenda sambamba na maadhimisho ya siku ya...
  9. Pre GE2025 Bibi wa miaka 74 apewa bajaji na Tv na RC Makonda

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha , ameahidi kutoa Bajaji mpya na runinga kwa Bi. Arafa Yusuph Matoke (74),ambaye ni miongoni mwa maelfu ya wanawake wanaoshiriki shamrashamra za kuelekea Kilele cha siku ya wanawake Machi 08, 2025. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025...
  10. T

    Pre GE2025 Viongozi wa bodaboda Arusha wasema wana mashaka na Gambo sakata la Milioni 400

    Baada ya mkuu wa mkoa wa Arusha, Paul Makonda kuele mbunge Mrisho Gmbo ahojiwena TAKUKURU kuhusu upotevu wa Ths. Milioni 400 zilizochangwa na wadau kwa ajili ya kusaidia bodaboda. Hatimaye viongozi wa boda boda na wao wamaeeleza kuwa wana mashaka na Gambo kwenye upotevu wa pesa hizo na kwamba...
  11. Arusha: Siku 7 zatolewa ujenzi wa choo katika soko la Makuyuni ukamilike

    Kampeni ya Mtu ni Afya tarehe 1 machi 2025 imeendelea kutimua vumbi katika wilaya ya Monduli mkoani Arusha na kutembelea kata ya Makuyuni kujionea hali ilivyo ya utekelezaji wa afua tisa na kutoa elimu kwa wananchi. Evance Simkoko ni Afisa Afya kutoka Wizara ya Afya taifa amesema jambo hilo...
  12. FT | Coastal Union 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Sheikh Amri Abeid Arusha | 01 March, 2025

    Coastal Union VS Simba SC | NBC Premier League | Sheikh Amri Abeid Arusha | March 1, 2025 Soma Pia: FT: Simba SC 2-2 Costal Union | NBC Premier League | KMC Complex | 4 Octoba, 2024 Updates.... Mpira umeanza Dakika, 19 milango yote ni mingumu si Coastal wala Simba Dakika, 21 mashambulizi...
  13. Pre GE2025 Polisi wilaya ya Arusha, waaswa kujipanga kusimamia uchaguzi mkuu

    Jeshi la Polisi Wilaya ya Arusha limehimizwa kuendelea kutoa huduma bora kwa wananchi na kulinda raia na mali zao huku likikumbishwa kutambua kuwa mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi ambapo Jeshi hilo ndilo lenye dhamana ya kuhakikisha ulinzi na usalama wakati wote wa uchaguzi na baada ya uchaguzi...
  14. Nashauri Rais Samia ambadilishie kituo cha kazi Paul Makonda. Arusha inatosha, aende mahali pengine

    Joto la siasa mkoa wa Arusha hasa Arusha mjini limeanza kuchomoza kwa Kasi lakini kwa hulka ya Paul m Makonda na Mrisho Gambo mambo yatakuwa mabaya sana ! Inaonekana Makonda amesahau kwamba yeye ni mkuu wa mkoa ,anataka afanye kazi zote na za kibunge pia ! Makonda pia ni kama anadhani Yuko juu...
  15. Simba yaifuata Coastal Union Arusha bila Camara na Che Malone

    Kikosi cha Simba kimeondoka jijini Dar es Salaam leo asubuhi kuelekea jijini Arusha kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Coastal Union utakaopigwa keshokutwa Jumapili kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid. Simba yenye pointi 51 inahitaji ushindi katika mchezo huo ili kuendelea kuipa upinzani...
  16. Kampeni ya Mtu ni Afya kwa sasa imewafikia Namanga Arusha

    Kampeni ya Mtu ni Afya kwa sasa imeufikia mkoa wa Arusha na tarehe 27 Februari 2025 imeendelea katika Wilaya ya Longido mji wa Namanga na kata zake lengo ikiwa ni kuwafikia wakazi wa meeneo yote kuwaeleza manufaa ya afua tisa za kampeni hiyo. Judithi Meela ni Afisa Afya wa Wilaya ya Longido...
  17. DOKEZO Diwani wa Kimandolu Arusha akishirikiana na mwenyekiti wa mtaa wa Kitengare kugandamiza na kukwamisha haki ya mwananchi

    Hapo vip! Kwanza nianze kwa kumpa pole huyu mwananchi kwasababu viongozi wengi sana wa kiafrika ni watu wanaopenda rushwa,kuabudiwa,kunyenyekewa na kutukunza ila haya yote ni kwasababu ya umaskini,ujinga,IQ ndogo, na asili ya kiafrika..nimesema haya kwasababu wazungu hawana hizi mambo. Sasa...
  18. Meya jiji la Arusha: Tutahakikisha tunafunga CCTV Camera mitaa ya Arusha

    Meya wa Jiji la Arusha, Maxmillian Matle Iranqhe, amesema Halmashauri ya Jiji hilo imetenga zaidi ya shilingi bilioni 4 kwa mwaka wa fedha 2025 kwa ajili ya kuboresha miundombinu, ikiwemo ununuzi wa mitambo ya kutengeneza barabara. Akizungumza na waandishi wa habari Februari 26, 2025, Meya...
  19. T

    Pre GE2025 Makonda: Dalili mojawapo ya umasikini ni majungu na fitina

    Vita ya makonda na Gambo inaendelea kupaba moto huko Arusha, Makonda adai dalili mojawapo ya umasikini ni fitina na majungu. Yanini kupanda fitina, fitina, fitina huu ushirikina mtaacha lini jamani? Sababu unajua dalili mojawapo ya umasikini ni majungu, fitina, yani ukikuta sehemu kuna fitina...
  20. T

    Pre GE2025 Arusha: Waziri mkuu awasema viongozi wanaojipanga na kugombania vyeo

    Kunazidi kuchangamka sasa, ni kama ujumbe umetumwa kwa machalii wa Arusha, Gambo na Makonda === Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amewataka viongozi wa kisiasa na wa dini kuwa mstari wa mbele katika kuhubiri amani na mshikamano, akisisitiza kuwa migogoro mingi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…